Hahahahaaaaa interesting.Duu nimekamata wanafunzi wanavuta bangi ndo nshabeba mzigo napelekwa wana
Hahahahaaaaa interesting.Duu nimekamata wanafunzi wanavuta bangi ndo nshabeba mzigo napelekwa wana
Mkuu umenikumbusha vichwa vingine profesa mwandosyaProf.Mwandosya
Dr.Bagile
Prof.Mgombelo
Dr.Kisaka
Ndugu ulikua T. ngapi?
Ishengoma wa SUA?
Prof .RPC Temu nitamkubali mpaka kesho.Alikuwa na msemo wake mmoja"Mimi ndio botanist nikiebaki Tanzania nzima,tulikuwa wawili mwenzangu amekufa"😃😃Sokoine University of Agriculture (SUA)
Prof/Mama Apollinaria Pereka Dept. Physiology
Prof. R.J Assey , Dept. Anatomy
Prof. RPC Temu Coll. Forestry
Prof. Pantaleo KT Munishi Coll. Forestry
Prof. Vedasto Ndibalema Dept. Wildlife
Prof. Shombe Dept. Wildlife
😂😂😂😂😂😂 hii kaliDk. flani hapa chuo namkubali sana. Siku moja akadai
"Mlivyo wanafiki chupi mnaita nguo ya ndani na matako mnaita makalio. Tako ni tako tu, kalio jina. Mbona sijawahi kusikia miguu mnaita matembeleo"
nami naongeza kwa kuwataja dk.sungwa,Tito,dk tandika,dk kano,dk ndibalema,dk mgonja,prof. Kabigumila, dk mtahabwa,mkanachi,dk msangi wa ICT, mbabe mbaula, e.t.cDean of student pale UDOM-COED Dk Mlaki..asee Maza hujawah kunifundsha ila ulitulea Kama wanao..natafta hela nije nikupe zawadi nzuuuriii...Mr kwambaza..Mr yohana..Mr Mwenda..dah. ..Mungu awape maisha marefu Mara elfu hamsa....
Prof .RPC Temu nitamkubali mpaka kesho.Alikuwa na msemo wake mmoja"Mimi ndio botanist nikiebaki Tanzania nzima,tulikuwa wawili mwenzangu amekufa"😃😃
Temu ni shida.Munishi ninamkumbuka vizuri mkuu,alinifundisha na aina fulani ya Prof ambae hana kujivuna,yuko simple sana😂Haha msemo wake wa miaka nenda rudi huo,..sema sio uongo kile kichwa botany imelala pale.,nilimuinulia mikono zaidi wakati wa field.
Unamkumbuka prof, Munishi ?
Let's meet at the top, cheers 🍻
Dr Mashindano yupi?Yule aliyekuwa anafundisha watu wa Economics hukoDkt Hamza Mkai (r.i.p) alikuwa anasema dont complicate things. Thiings are'nt hard as u think
Dr Chris Mauki guidence and counselling hakika jamaa anaifanya kazi yake kutoka damuni. The guy was soo smat in presentation even exams
Dr Mashindano.
Good bless them
Sent using Jamii Forums mobile app
La Kopoka !Yule Mzee Kuna Rika aliruka ....nafikiri miaka 18 -35,kwa kuwa matendo ya umri ule alikuja kuyafanya akiwa na 50'Professor Kopoka UDSM mzee wa DS na notice...mnaandika notice mpaka mkione wakati huo alikuwa Dr....why Europe underdeveloped Africa.
Mihanjo udsm mzee wa philosophy mzee wa ufilipino mzee wa kodrai
Maisha ya chuo kuna namna ukiyakumbuka yanafurahisha
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbaula mzee was DS....dah kumbe mgonja kawa doctor.. ! Kongole kwakenami naongeza kwa kuwataja dk.sungwa,Tito,dk tandika,dk kano,dk ndibalema,dk mgonja,prof. Kabigumila, dk mtahabwa,mkanachi,dk msangi wa ICT, mbabe mbaula, e.t.c
La Kopoka !Yule Mzee Kuna Rika aliruka ....nafikiri miaka 18 -35,kwa kuwa matendo ya umri ule alikuja kuyafanya akiwa na 50'
Nawewe kumbe ulifanikiwa kusikia sauti ya profeeee😅😅😅
Prof.Shirima A.k.a Mabenzi aaah jamaa alikuwa akikufundisha somo la Building Materials daah utazani kavumbua yeye.Bila kusahau prof.Msambichaka mtaalamu wa Theory of structuresJamani, ni hulka ya wanadamu kutotangaza mema ya watu lakini wepesi sana kutangaza mabaya ya watu.
Hivi karibuni kuna madaktari kadhaa walitangazwa na wanafunzi wao kwa ubaya sana! Sijui kama tuhuma walizotangazwa kwazo zilikuwa na ukweli au la!
Huu uzi naomba tufanye kinyume, tuwaseme wakufunzi wetu wa vyuo vikuu kwa majina yao kwa namna walivyo 'committed', 'fair' na mahiri ktk kutoa mashule na hata walivyo fair ktk kutoa na ku'mark' mitihani yenu!
Kama hukujariwa kufika chuo kikuu ww muweke mwalimu aliyekufurahisha kwa umahiri wake wa kufundisha ktk kiwango cha juu kabisa cha cha elimu ulichofikia!
Tafadhari bandugu, muelezee kidogo kivipi alikufurahisha ili kama atajua basi atiwe moyo na hayo afanyayo! Kumbuka tukitaka kuwananga huwa walimu wetu kwa ubaya huwa hatuishii kutaja majina tu bali tunaelezea kwa kirefu hata kujaza gazeti. Leo eleza hata kwa mstari mmoja tu kumjurisha alivyougusa moyo wako! Niishie hapo