Hebu leo wakumbuke wahadhiri wa vyuo vikuu waliokufurahisha kwa jinsi ya umahiri wao wakufundisha na walivyokuwa 'fair'

Temu ni shida.Munishi ninamkumbuka vizuri mkuu,alinifundisha na aina fulani ya Prof ambae hana kujivuna,yuko simple sana

Hah umenikumbusha mbali Sana Yule mzee (munishi) alikuwa hapendi kufanya maisha yawe magumu, akifundisha mpaka mitihani yake unaeza sema maisha ndio haya sasa 😂

Let's meet at the top, cheers 🍻
 
Hah umenikumbusha mbali Sana Yule mzee (munishi) alikuwa hapendi kufanya maisha yawe magumu, akifundisha mpaka mitihani yake unaeza sema maisha ndio haya sasa 😂

Let's meet at the top, cheers 🍻
😂😂 Munisi hana tofauti na Late Prof Madofe.
Prof Migunga unamkumbuka?
 
Madofe yeah though intake yetu hatukumu enjoy sana umauti ukamkuta, same to Migunga, hajanifundisha, alikuwa Wlm au forest?

Madofe lecture ya mwisho aliipiga darasani kwetu,ndani ya wiki hiyo akafariki.
Migunga yuko forestry engeering
 
Nowadays amekuwa akionekana sana kwa TV labda ni ile issue ya kuungua kwa Kilimanjaro
Lazima aonekane maana yeye ndo kamishna wa TFS kama nilivokwambia na kila anapoonekana lazima anaongelea maswala ya misitu.

Swala la kuungua mlima Kilimanjaro halipo chini ya mamlaka yake lile lipo chini ya Tanapa.
 
De professor DAMIAN GAMBAGAMBI ktk degrees angu ya uchumi SUA,( Alinifanya niuelewe uchumi kinagaubaga na kuwa mdadavuaji binafsi Mungu amlaze mahali pema yule Prof.maana juz kafark,)..

De proffessor BET WAIZED( jina cjui nmepatia kizee Mimi..) Nakumbuka enzi hzo natoka Ukraine for the first time...alitusimamia vzr ktk degree yangu ya pili..Mimi na Dr.Dyetabulla..kiukweli huyu mama anaroho nzuri sana,Nilipenda kumuita Mzungu mweusi...alikuwa anacheka tu,na Proffessor Xvael Arishité(cjui nmekosea)...huyu alikuwa mahili kwa mifano kama Mwl.Lewis (wa Relativity theory)...

Nmebatika kuwapata walimu wazuri na wenye kunipenda zaid ya maelezo.

#R.I.P PROF.DAMIAN GAMBAGAMBI
 
Huyu jamaa (marehemu Prof. Gambagambi) amesifiwa na wengi sana miongoni mwa ''alumni'' wa SUA, hasa waliosoma mambo ya uchumi na uchumi kilimo. Inaelekea alikua vizuri sana. RIP kwake.
 
Huyu jamaa (marehemu Prof. Gambagambi) amesifiwa na wengi sana miongoni mwa ''alumni'' wa SUA, hasa waliosoma mambo ya uchumi na uchumi kilimo. Inaelekea alikua vizuri sana. RIP kwake.
Zaid ya vizuri na roho yake ya utu,ili ufanikiwe maishani ukiwaza nje ya BOX
 
Prof. Kahimba Fred,Prof. Kihupi,Prof.Mganilwa,Dr.Mwampamba (R.I.P),Dr.Kalugila (mzee wa MTH),Babu Sembuche.
Kuna mwamba mmoja Prof. Mulengera utamuelewa darasani lakini kwenye mitihani yake utatoka jasho.

Sent using Jamii Forums mobile app

mistari miwili ya mwisho imenikumbusha Dr mmoja yeye darasani semester nzima sikuwahi kumuelewa hata kitu kimoja,na hata nilivowauliza wenzangu nao walikuwa hawamuelewi kabisa,basi ili kujiandaa na UE yake nilikalili kitini chake chote nikaingia kwenye paper na mtihani alileta mrahisi sana,ila matokeo yalipotoka aliwapa supp watu zaidi ya nusu ya darasa japo walijiandaa na paper ila kufaulu ule mtihani ilikua ni mipango tu ya mungu.na sep ilipofika alileta mtihani mgumu yani watu wametoka kwenye paper macho mekundu
 
Back
Top Bottom