Heaven on desert nimenasa kwa binti msomi(masters)

Wazazi wako walikukosea sana!!hawakukupa uwezo wa kujikubali na kuamini wewe ni bora!!
Ndo mana huishi kwenye kujinasibu kwa yale unayoamini yanakupa au yatakupa hadhi katika ubinadamu wako.
Hawakukutendea haki!!
Kabisa!!
 
we hata cjajsumbua kusoma mpaka mwisho ..nakujua upogo negative tu kwangu..
cnui nilikunyima nin aisee
 
Tatizo lako unapenda sana kulelewa.
Habari wakuru,siyo jukwaa langu hili

ila naombeni mnikaribishe tu kwa leo

kwa hili linalonisibu

Sikuwa na mpenzi kwa mda kidogo kutokana na kazi yangu

kuniweka busy mda mwingi

kiasi nakosa mda wa kukaa nifanye searching ya binti wa kutulia nae

japo kazi yangu inanikutanisha na wadada wa kila aina kila siku.

napengine ni vile nimetulia siyo player otherwise
ningekuwa na Burungutu la wadada (wakiwemo wa JF maana PM zao zilivyojaa nafahamu mwenyewe).

Hatimae siku chache zilizopita tukiwa kwenye event flan iliyohusisha mameneja na watu toka makampuni

mbali mbali,

ndipo nillikutana na huyu mdada ninaetaka kumzungumzia sasa.

Ni mrembo sana,i mean sana ,kichwani yupo vizuri(masters)

anaishi Mikocheni(kwake na si kwao)

na anafanya kazi kwenye kampuni flani kubwa nchini

na zaidi nikiri ananizid hata kipato

Nafahamu kanipenda mimi kama mimi

Sababu kawaida yangu nitafutapo mwenzi wa maisha

huwa sipend kufake naisha

napenda kuishi maisha yangu harisi

na sipendi kujionyesha..means kama mdada anaamua kuwa na mimi

anakuwa na mtu aliyemridhia

Na kingine kanizidi umri (2)
Kiukweli ananipenda si kwa maneno bali vitendo sababu anadai nina sifa za mwanamme aliyemhitaji

Wapendwa wazoefu wa haya makitu(mapenzi)naombeni mnifahamishe kuna changamoto zipi nitakumbana nazo

na nifanye nini niziepuke

je ni sahihi kuwa nae kwa mahusiano ya seriouz??

Ahasanteni
 
Afadhali kama umepata demu maana mi niliishaanza kukushtukia
Halaf unaitia hiyo masters au k akiwa na k tamu ndio mpango
Nenda kaonje uje utuambie maana umeshoboka na masters za vichochoroni
 
kanizid vyote elimu na pesa..anadai alivutiwa na nilivyo..tabia yangu na upole wangu.pamoja na yote ananiskiliza na kuniheshim
kinachonitatiza ni hivyo alivyonizd huko mbelz kutakuwaje?

Kimbia hakufai huyo..Muongo..

Je akikutana na mpole zaidi yako?

Akimuona mwenye tabia njema kuliko wewe?

Wewe pia una vigezo vyako katika kuchagua..Anavyo?
heaven on desert mapenzi ni ubinafsi kila mtu anavutia kwake...
 
Last edited by a moderator:
Habari wakuru,siyo jukwaa langu hili

ila naombeni mnikaribishe tu kwa leo

kwa hili linalonisibu

Sikuwa na mpenzi kwa mda kidogo kutokana na kazi yangu

kuniweka busy mda mwingi

kiasi nakosa mda wa kukaa nifanye searching ya binti wa kutulia nae

japo kazi yangu inanikutanisha na wadada wa kila aina kila siku.

napengine ni vile nimetulia siyo player otherwise
ningekuwa na Burungutu la wadada (wakiwemo wa JF maana PM zao zilivyojaa nafahamu mwenyewe).

Hatimae siku chache zilizopita tukiwa kwenye event flan iliyohusisha mameneja na watu toka makampuni

mbali mbali,

ndipo nillikutana na huyu mdada ninaetaka kumzungumzia sasa.

Ni mrembo sana,i mean sana ,kichwani yupo vizuri(masters)

anaishi Mikocheni(kwake na si kwao)

na anafanya kazi kwenye kampuni flani kubwa nchini

na zaidi nikiri ananizid hata kipato

Nafahamu kanipenda mimi kama mimi

Sababu kawaida yangu nitafutapo mwenzi wa maisha

huwa sipend kufake naisha

napenda kuishi maisha yangu harisi

na sipendi kujionyesha..means kama mdada anaamua kuwa na mimi

anakuwa na mtu aliyemridhia

Na kingine kanizidi umri (2)
Kiukweli ananipenda si kwa maneno bali vitendo sababu anadai nina sifa za mwanamme aliyemhitaji

Wapendwa wazoefu wa haya makitu(mapenzi)naombeni mnifahamishe kuna changamoto zipi nitakumbana nazo

na nifanye nini niziepuke

je ni sahihi kuwa nae kwa mahusiano ya seriouz??

Ahasanteni

Umempenda yeye au MASTERS yake.
Nakuona jinsi unavyojiandaa kugegeda shahada ya uzamili.
Kumbuka hakupendi kwa kuwa anakupenda.
amekuona ---- wa kuweza kuishi naye kwa kuwa amekuwa Nungayembe
Kidato cha Sita akatoka bila bila
Shahada ya kwanza akatatoka suluhu
Shahada ya uzamili hakuna goli hata la Ndondocha.​
alipokuona wewe unambabaikia, unamsobokea na kuleta shobo
Akaona nafuu afunge hata goli moja.

Tumika mwanakwetu kwa kuwa atakuwa Mwanaume kama Binti
Sio kwa kupenda bali kwa kuwa atakuwa analinda usimponyoke na wewe.
Mwanawane tumia nguvu za mwanamke
Kwani wametunyonya sana, wametutumia sana na bado wahajali.

Hongera kwa maana halisi ya hongera.

Ndimi Bazazi!

​
 
Yaani wewe kama wewe umependa huyo mtu sababu ya hiyo shule yake, kipato,au a real love from heart? Maana hatujakusoma. Kipi ulipenda. All in all take care of your self. Give your heart what is deserve. That is mine.
 
Habari wakuru,siyo jukwaa langu hili

ila naombeni mnikaribishe tu kwa leo

kwa hili linalonisibu

Sikuwa na mpenzi kwa mda kidogo kutokana na kazi yangu

kuniweka busy mda mwingi

kiasi nakosa mda wa kukaa nifanye searching ya binti wa kutulia nae

japo kazi yangu inanikutanisha na wadada wa kila aina kila siku.

napengine ni vile nimetulia siyo player otherwise
ningekuwa na Burungutu la wadada (wakiwemo wa JF maana PM zao zilivyojaa nafahamu mwenyewe).

Hatimae siku chache zilizopita tukiwa kwenye event flan iliyohusisha mameneja na watu toka makampuni

mbali mbali,

ndipo nillikutana na huyu mdada ninaetaka kumzungumzia sasa.

Ni mrembo sana,i mean sana ,kichwani yupo vizuri(masters)

anaishi Mikocheni(kwake na si kwao)

na anafanya kazi kwenye kampuni flani kubwa nchini

na zaidi nikiri ananizid hata kipato

Nafahamu kanipenda mimi kama mimi

Sababu kawaida yangu nitafutapo mwenzi wa maisha

huwa sipend kufake naisha

napenda kuishi maisha yangu harisi

na sipendi kujionyesha..means kama mdada anaamua kuwa na mimi

anakuwa na mtu aliyemridhia

Na kingine kanizidi umri (2)
Kiukweli ananipenda si kwa maneno bali vitendo sababu anadai nina sifa za mwanamme aliyemhitaji

Wapendwa wazoefu wa haya makitu(mapenzi)naombeni mnifahamishe kuna changamoto zipi nitakumbana nazo

na nifanye nini niziepuke

je ni sahihi kuwa nae kwa mahusiano ya seriouz??

Ahasanteni
hizi mambo masterz inashia ofcn bana ,if the two of you are in love make things happen bana ukichelewa mtaambulia manyoya maisha ni haya haya oohh
 
heaven on desert vs Heaven on Earth
BannerBackground.jpg

Hahahaa haaaa uwiii Imebidi nicheke tu
 
Back
Top Bottom