Heaven on desert nimenasa kwa binti msomi(masters)

Heaven on desert nimenasa kwa binti msomi(masters)

Nimegundua kilichokuchanganya ni Masters yake ya Chuo Kikuu cha Kata.
 
6 x 6 (masters inafanya kaziiiiii??????????)
 
Sababu kawaida yangu nitafutapo mwenzi wa maisha

huwa sipend kufake naisha

napenda kuishi maisha yangu harisi

na sipendi kujionyesha..

Ahasanteni

Hiyo mistari hapo juu sijaielewa kabisa............hv inawezaje kuwa kawaida yako kutafuta mwenzi wa maisha????
 
heaven on desert vs Heaven on Earth
BannerBackground.jpg

hahahaaaaaaaaa nimecheka sana aiseeeeeeee
 
Sasa hapa tudiscuss nini wakati amekupenda na ana masters, anaishi mikocheni sisi wa uswazi tulioishia form six ututaki, go for it vikwazo ni kwamba ujiandae kwa competition.
 
hapo kaka unaonekana unataka kuanzisha tatizo..maana yake ni kwamba mpaka hapo umeshajishusha na kujiona kuwa huyo LABDA sio wa LEVO YAKO...pole sana..kikubwa hapo kaka ni kujitambua wewe km mwanaume na huyo dada hakikisha analitambua hilo na kukupa heshima km mwanaume wake huku akiacha kuangalia tofauti za elimu zenu...masters yake ni huko huko kazini kwake lakini aiilete ktk mapenzi...hapo mtakwenda sawa. Pia kama kweli anakupenda na wewe unampenda kwa dhati kabisa, hata suala la umri sio ishu kwani ni namba tu hiyo haijalishi lolote...mimi kwa upande wangu sijaona shida ipo wapi, wewe km umemkubali chukua to WHOLESALE (jumla)....mwisho wa Siku ndoa maana yake ni MAELEWANO na sio UMRI wala MASTAZ.....changanya na zako lakini....kila la kheri inshaallah!
 
Habari wakuru,siyo jukwaa langu hili

ila naombeni mnikaribishe tu kwa leo

kwa hili linalonisibu

Sikuwa na mpenzi kwa mda kidogo kutokana na kazi yangu

kuniweka busy mda mwingi

kiasi nakosa mda wa kukaa nifanye searching ya binti wa kutulia nae

japo kazi yangu inanikutanisha na wadada wa kila aina kila siku.

napengine ni vile nimetulia siyo player otherwise
ningekuwa na Burungutu la wadada (wakiwemo wa JF maana PM zao zilivyojaa nafahamu mwenyewe).

Hatimae siku chache zilizopita tukiwa kwenye event flan iliyohusisha mameneja na watu toka makampuni

mbali mbali,

ndipo nillikutana na huyu mdada ninaetaka kumzungumzia sasa.

Ni mrembo sana,i mean sana ,kichwani yupo vizuri(masters)

anaishi Mikocheni(kwake na si kwao)

na anafanya kazi kwenye kampuni flani kubwa nchini

na zaidi nikiri ananizid hata kipato

Nafahamu kanipenda mimi kama mimi

Sababu kawaida yangu nitafutapo mwenzi wa maisha

huwa sipend kufake naisha

napenda kuishi maisha yangu harisi

na sipendi kujionyesha..means kama mdada anaamua kuwa na mimi

anakuwa na mtu aliyemridhia

Na kingine kanizidi umri (2)
Kiukweli ananipenda si kwa maneno bali vitendo sababu anadai nina sifa za mwanamme aliyemhitaji

Wapendwa wazoefu wa haya makitu(mapenzi)naombeni mnifahamishe kuna changamoto zipi nitakumbana nazo

na nifanye nini niziepuke

je ni sahihi kuwa nae kwa mahusiano ya seriouz??

Ahasanteni

go to hell mazafanta with mido finger!
 
Duuh..Jf nouma yaani kuna vyama vya upinzani mpaka MMU.Mchizi kweli una gundu.
 
Kwani huna marafiki mpaka ukimbilie humu? Hizi liwaya za kutunga nazo ni aibu na taabu tupu!
 
Last edited by a moderator:
kwa maelezo yako: kakufurahia company yako tu ila kwa ipeo wako na diploma ya mogadishu ukahisi kakupenda. nakushauri msikilize tena kwa makini na utofautishe i love' na I like you.

ku like ni hatua ya kwanza kabla ya kupenda..keshapenda sasa
 
Hahahaa Tyta mwazoni nilikuwa na changanya sana. heaven on desert Heaven on Earth Earth on heaven....

Sasa majibu kwako heaven on desert ..kwanza kama mwanaume punguza majivuno..

pili...Mwanamke akikuzidi Elimu inatakiwa uwe na pesa ya kutosha..

Kama huna pesa Umzidi Elimu..

safari njema..

kanizid vyote elimu na pesa..anadai alivutiwa na nilivyo..tabia yangu na upole wangu.pamoja na yote ananiskiliza na kuniheshim
kinachonitatiza ni hivyo alivyonizd huko mbelz kutakuwaje?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom