Heaven on desert nimenasa kwa binti msomi(masters)

Heaven on desert nimenasa kwa binti msomi(masters)

heaven on desert

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2013
Posts
1,025
Reaction score
393
Habari wakuru,siyo jukwaa langu hili

ila naombeni mnikaribishe tu kwa leo

kwa hili linalonisibu

Sikuwa na mpenzi kwa mda kidogo kutokana na kazi yangu

kuniweka busy mda mwingi

kiasi nakosa mda wa kukaa nifanye searching ya binti wa kutulia nae

japo kazi yangu inanikutanisha na wadada wa kila aina kila siku.

napengine ni vile nimetulia siyo player otherwise
ningekuwa na Burungutu la wadada (wakiwemo wa JF maana PM zao zilivyojaa nafahamu mwenyewe).

Hatimae siku chache zilizopita tukiwa kwenye event flan iliyohusisha mameneja na watu toka makampuni

mbali mbali,

ndipo nillikutana na huyu mdada ninaetaka kumzungumzia sasa.

Ni mrembo sana,i mean sana ,kichwani yupo vizuri(masters)

anaishi Mikocheni(kwake na si kwao)

na anafanya kazi kwenye kampuni flani kubwa nchini

na zaidi nikiri ananizid hata kipato

Nafahamu kanipenda mimi kama mimi

Sababu kawaida yangu nitafutapo mwenzi wa maisha

huwa sipend kufake naisha

napenda kuishi maisha yangu harisi

na sipendi kujionyesha..means kama mdada anaamua kuwa na mimi

anakuwa na mtu aliyemridhia

Na kingine kanizidi umri (2)
Kiukweli ananipenda si kwa maneno bali vitendo sababu anadai nina sifa za mwanamme aliyemhitaji

Wapendwa wazoefu wa haya makitu(mapenzi)naombeni mnifahamishe kuna changamoto zipi nitakumbana nazo

na nifanye nini niziepuke

je ni sahihi kuwa nae kwa mahusiano ya seriouz??

Ahasanteni
 
we ndio yule jamaa unae act as msemaji wa domo (diamond plutnumz)hapa jf?!.
 
Big up mzee kwa kutofake maisha.Cha kuzingatia kama utapenda kuwa naye role yako kama mwanaume lazima ibaki pale pale regardless amekuzidi Elimu etc..
 
Ondoa upuuzi wako mtu mwenyewe shoga...bbuuuuuhhh.nani asokujua
 
Mmmhh....!

Wacha tu niendelee kunyonya mie!

Mtu kajisifia weee na kuwaponda wadada wa jf halafu anajidai kuomba ushauri!

Huu ni unafiki mkubwa kabisa! A great thinker cant express his minds like this to the mass!!

Celine deon alisema 'love doesnt ask why'..... Sasa wewe kwanini unakuja kuuliza why uwe na mpenzi wa masters?

Btw, wacha niendelee kufanya sucking here to my baby!
 
Wadada JF mna upendeleo sana yaaani huyu ndio mnajazia PM wakati mimi sijawahi pata hata moja all this time. inabidi nikaoge maji ya chumvi kuondoa gundu
 
Big up mzee kwa kutofake maisha.Cha kuzingatia kama utapenda kuwa naye role yako kama mwanaume lazima ibaki pale pale regardless amekuzidi Elimu etc..

Hapo penye nyekundu ndo ugumu unapoanzia.... kwanza inaonekana jamaa ashaogopa maisha ya huyo mdada.... tayari inferiority ishaingia hapa!!!! Ajifikirie mara mbili!!!!
 
Back
Top Bottom