ukitaka pm yangu, nigongee "like" kila siku kwenye kila post yangu kwa mwezi mmoja.Wadada JF mna upendeleo sana yaaani huyu ndio mnajazia PM wakati mimi sijawahi pata hata moja all this time. inabidi nikaoge maji ya chumvi kuondoa gundu
Umempenda yeye au MASTERS yake.
Nakuona jinsi unavyojiandaa kugegeda shahada ya uzamili.Kumbuka hakupendi kwa kuwa anakupenda.
amekuona ---- wa kuweza kuishi naye kwa kuwa amekuwa Nungayembe
Kidato cha Sita akatoka bila bila
Shahada ya kwanza akatatoka suluhu
Shahada ya uzamili hakuna goli hata la Ndondocha.alipokuona wewe unambabaikia, unamsobokea na kuleta shobo
Akaona nafuu afunge hata goli moja.
Tumika mwanakwetu kwa kuwa atakuwa Mwanaume kama Binti
Sio kwa kupenda bali kwa kuwa atakuwa analinda usimponyoke na wewe.
Mwanawane tumia nguvu za mwanamke
Kwani wametunyonya sana, wametutumia sana na bado wahajali.
Hongera kwa maana halisi ya hongera.
Ndimi Bazazi!
Is it necessary kusema domo?we ndio yule jamaa unae act as msemaji wa domo (diamond plutnumz)hapa jf?!.
Kulikuwa na haja kuita domo?we ndio yule jamaa unae act as msemaji wa domo (diamond plutnumz)hapa jf?!.
Is it necessary kusema domo?
Kceulikuwa na haja kuita domo?
Habari wakuru,siyo jukwaa langu hili
ila naombeni mnikaribishe tu kwa leo
kwa hili linalonisibu
Sikuwa na mpenzi kwa mda kidogo kutokana na kazi yangu
kuniweka busy mda mwingi
kiasi nakosa mda wa kukaa nifanye searching ya binti wa kutulia nae
japo kazi yangu inanikutanisha na wadada wa kila aina kila siku.
napengine ni vile nimetulia siyo player otherwise
ningekuwa na Burungutu la wadada (wakiwemo wa JF maana PM zao zilivyojaa nafahamu mwenyewe).
Hatimae siku chache zilizopita tukiwa kwenye event flan iliyohusisha mameneja na watu toka makampuni
mbali mbali,
ndipo nillikutana na huyu mdada ninaetaka kumzungumzia sasa.
Ni mrembo sana,i mean sana ,kichwani yupo vizuri(masters)
anaishi Mikocheni(kwake na si kwao)
na anafanya kazi kwenye kampuni flani kubwa nchini
na zaidi nikiri ananizid hata kipato
Nafahamu kanipenda mimi kama mimi
Sababu kawaida yangu nitafutapo mwenzi wa maisha
huwa sipend kufake naisha
napenda kuishi maisha yangu harisi
na sipendi kujionyesha..means kama mdada anaamua kuwa na mimi
anakuwa na mtu aliyemridhia
Na kingine kanizidi umri (2)
Kiukweli ananipenda si kwa maneno bali vitendo sababu anadai nina sifa za mwanamme aliyemhitaji
Wapendwa wazoefu wa haya makitu(mapenzi)naombeni mnifahamishe kuna changamoto zipi nitakumbana nazo
na nifanye nini niziepuke
je ni sahihi kuwa nae kwa mahusiano ya seriouz??
Ahasanteni
A very good question. Mimi pia kaniacha hapo.Hiyo mistari hapo juu sijaielewa kabisa............hv inawezaje kuwa kawaida yako kutafuta mwenzi wa maisha????
uyu ------ simpendi kamwe
ukitaka pm yangu, nigongee "like" kila siku kwenye kila post yangu kwa mwezi mmoja.
Mkuu tayari nimeanza kugonga like lakini je wewe ni wa kike
was it necessary to address your question in both swahili and english?!.
Wadada JF mna upendeleo sana yaaani huyu ndio mnajazia PM wakati mimi sijawahi pata hata moja all this time. inabidi nikaoge maji ya chumvi kuondoa gundu
Uwiii mbavu zangu jmn, hahahahahahahahaaaaaaaaaaa
happy new year