Heaven on desert nimenasa kwa binti msomi(masters)

Heaven on desert nimenasa kwa binti msomi(masters)

Umempenda yeye au MASTERS yake.
Nakuona jinsi unavyojiandaa kugegeda shahada ya uzamili.
Kumbuka hakupendi kwa kuwa anakupenda.
amekuona ---- wa kuweza kuishi naye kwa kuwa amekuwa Nungayembe
Kidato cha Sita akatoka bila bila
Shahada ya kwanza akatatoka suluhu
Shahada ya uzamili hakuna goli hata la Ndondocha.​
alipokuona wewe unambabaikia, unamsobokea na kuleta shobo
Akaona nafuu afunge hata goli moja.

Tumika mwanakwetu kwa kuwa atakuwa Mwanaume kama Binti
Sio kwa kupenda bali kwa kuwa atakuwa analinda usimponyoke na wewe.
Mwanawane tumia nguvu za mwanamke
Kwani wametunyonya sana, wametutumia sana na bado wahajali.

Hongera kwa maana halisi ya hongera.


Ndimi Bazazi!

​
mind you the levels of education one has passed through doesn't matters if at all God did not plan the two to be together umeanalyse vibaya
 
we elimu yako ni ya kiwango gani tuanzie hapo
 
Kimbia hakufai huyo..Muongo..

Je akikutana na mpole zaidi yako?

Akimuona mwenye tabia njema kuliko wewe?

Wewe pia una vigezo vyako katika kuchagua..Anavyo?
heaven on desert mapenzi ni ubinafsi kila mtu anavutia kwake...
kwa mimi ukiondoa gape la elimu na umri
sifa zingine anazo ,mzuri na mrembo sana,ananiheshim na kuniskiliza
tukitoka tumewekeana utaratibu wa kulipiana bill kwa zamu,sielewi huko mbele mambo
yatakuwaje
 
Last edited by a moderator:
mind you the levels of education one has passed through doesn't matters if at all God did not plan the two to be together umeanalyse vibaya
Nimetoka kapa,sijaona point ya kuchukua,by de
way sikushoboka..alionyesha kuvutiwa nami,nikajiongeza thats all
 
Haaahaa ww jamaa mi naishia kucheka 2 maana nimesh2ka kukuona huku km vp endelea nae uyo binti as long as anakupenda ila kipengele cha wadada kukujazia PM duh ngoja waje wenyewe kwl JF ni stress remover aseee.
 
nimeuliza na kuna watu wameuliza ila naona swali hili linelukwa

je elimu yako ni ya kiwango gani ili tuanze hapo
 
Huyu raia mbona anachukiwa hivo? Ni shida aisee.... ila mi najua kwanini anachukiwa? ameanza kuwaponda wanawake wa JF pasi nakujua kwamba wanaweza kuwa wamemzidi huyo msichana wake mbali sana........ "usidharau dafu kaka, embe tunda la msimu"... we ungeeka mada yako mezani na sio kuanza kuwa downgrade wanawake wa jf na kuwaona hawana maana, eti wanajipendekeza kwako...!!! Ok! issue on the table; huyo msichana hakufai kabisa, amekuzidi elimu, pesa na cheo. Kwa mtu conservative kama mimi sijawahi kufikiri kama ubavu wangu atanizidi elimu kibaya zaidi anizidi na pesa.....!!! kama ikitokea ukaoa mtu wa namna hiyo maisha yatakua:flame::A S 13::flame::A S 13::flame:
 
Nimetoka kapa,sijaona point ya kuchukua,by de
way sikushoboka..alionyesha kuvutiwa nami,nikajiongeza thats all
kuna jamaa nilimquote yeye kasema huyo demu chuo hadi huko mastrez hakupata mtu ndo nilikuwa narectify huyo jamaa sio wewe
 
Huyu raia mbona anachukiwa hivo? Ni shida aisee.... ila mi najua kwanini anachukiwa? ameanza kuwaponda wanawake wa JF pasi nakujua kwamba wanaweza kuwa wamemzidi huyo msichana wake mbali sana........ "usidharau dafu kaka, embe tunda la msimu"... we ungeeka mada yako mezani na sio kuanza kuwa downgrade wanawake wa jf na kuwaona hawana maana, eti wanajipendekeza kwako...!!! Ok! issue on the table; huyo msichana hakufai kabisa, amekuzidi elimu, pesa na cheo. Kwa mtu conservative kama mimi sijawahi kufikiri kama ubavu wangu atanizidi elimu kibaya zaidi anizidi na pesa.....!!! kama ikitokea ukaoa mtu wa namna hiyo maisha yatakua:flame::A S 13::flame::A S 13::flame:
eti eeh??ila si kila fact huwa kweli
 
kanizid vyote elimu na pesa..anadai alivutiwa na nilivyo..tabia yangu na upole wangu.pamoja na yote ananiskiliza na kuniheshim
kinachonitatiza ni hivyo alivyonizd huko mbelz kutakuwaje?
jiamini tu heaven on desert kwani masterz si yake bana mbona wapo wadau hadi uprofesa ila wako peace tu, upendo hauangalii masters either ya Mzumbe,UDSM, Strathclyde
 
Yaani wewe kama wewe umependa huyo mtu sababu ya hiyo shule yake, kipato,au a real love from heart? Maana hatujakusoma. Kipi ulipenda. All in all take care of your self. Give your heart what is deserve. That is mine.

Nimependa urembo wake(kila mtu anapenda awe na binti mrembo kuliko wengine)
then ukarimu wake,mstaarabu sana na ananiheshim ndicho,
nilichompendea sijui huko mbeleni
ndiyo maana nimeuliza wazoefu.
 
Back
Top Bottom