Heaven on desert nimenasa kwa binti msomi(masters)

Heaven on desert nimenasa kwa binti msomi(masters)

Wadada JF mna upendeleo sana yaaani huyu ndio mnajazia PM wakati mimi sijawahi pata hata moja all this time. inabidi nikaoge maji ya chumvi kuondoa gundu

Hivi hujui kuwa huyu anatembelea nyota ya DayaDomo...mambo ya mara Wema, mara Jokate

Ukitaka hicho kismati we ungana na mshikaji kufuta vumbi viatu vya Daya...

PM lazima zifurike...
 
hebu kamuulize kwanza huyo dada, akikupa jibu tujulishe.
 
daimond si mtaalam wa kupanga mabinti? anaweza kukupa ushauri mzuri

au dougiemasta12 kama sio matikiboko yao, hawa watakushauri vyema

anyway sisi hatuwezi kujua kama anafaa au hafai, kama wote mmeridhia kuwa pamoja lazima mtake-risk muwe wote kimapenzi huku mkisomana tabia, mkiona mnafit mtaendelea mbele kwa hatua zaidi,
msisahau kupima na kujua status yenu kabla hamjaanza kugegedana, ingawa ni vyema mkasubiri hadi ndoa....

umri si kitu mapenzini
wala elimu

kikubwa ni heshima na kuweka shobo pembeni

all the best
 
Wadada JF mna upendeleo sana yaaani huyu ndio mnajazia PM wakati mimi sijawahi pata hata moja all this time. inabidi nikaoge maji ya chumvi kuondoa gundu

ngoja nikupm bas...usilie
 
Sasa kama una sifa ambazo yeye anazozihitaji unataka ushaur gani au umekuja kushoboka as usual???

Wewe na huyo mastaface wako mnaulakini!!!
 
Wadada JF mna upendeleo sana yaaani huyu ndio mnajazia PM wakati mimi sijawahi pata hata moja all this time. inabidi nikaoge maji ya chumvi kuondoa gundu

chungulia inbox!!
 
kwa maelezo yako: kakufurahia company yako tu ila kwa ipeo wako na diploma ya mogadishu ukahisi kakupenda. nakushauri msikilize tena kwa makini na utofautishe i love' na I like you.

Ñî kweli . Dada wa watu kam-like na so kam-love. Za IPO kutenganisha pumba na Mahindi.
 
Samahani Mtoa mada, kwani wee una kiwango gani cha elimu?
 
we nae kwa kupenda shobo!!!!!!!

Afu kumbe ni wewe.nilijua tu utacoment kihivi..
haters wangu wote wa jf nilishawawakariri
heaven on desert vs Heaven on Earth
BannerBackground.jpg
 
Back
Top Bottom