snowhite
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 18,422
- 25,320
Too girlish!ushamba mzigo mzito...........
ndio maana Halima kimwana alikufanya aliyokufanyia kule mtaa wa pili
Too girlish aseee !
Too girlish!ushamba mzigo mzito...........
ndio maana Halima kimwana alikufanya aliyokufanyia kule mtaa wa pili
dont worry,she is going to mature with time.Too girlish!
Too girlish aseee !
dont worry,she is going to mature with time.
Acha hizo bwana!
Hizi story zinatoka wapi?
Sipendi mtu akizuliwa jambo, its not right, its not fair!!
Mpwa kisia nimepiga nini asubuhi asubuhi:eyebrows::eyebrows::eyebrows:
....mamayo japo umenifanya nicheke.
Cc Heaven on Earth Asprin Excel lusungo utafiti miss neddy Honey Faith
umerudi SO WHAT!!!!!!!!!!!!!!!!!
....mamayo japo umenifanya nicheke.
Cc Heaven on Earth Asprin Excel lusungo utafiti miss neddy Honey Faith
lisemwalo lipo antie. si unaona anavojishongondoa.
Sina haja ya kukisia, naenda kukulipizia. Sikubali
nawewe sio vizuri kucheka wakati unajua swali ni la kufedhehesha,heheheehBwahahahahahahahahahahah,,,, ili sio vizuri kumuuliza hivo akati unajua ni mwanaume mwenzie. Kwi kwi kwi kwi
Too girlish!
Too girlish aseee !
....mamayo japo umenifanya nicheke.
Cc Heaven on Earth Asprin Excel lusungo utafiti miss neddy Honey Faith
ushamba mzigo mzito...........
ndio maana Halima kimwana alikufanya aliyokufanyia kule mtaa wa pili
mimi huwa nashangaa huyo wajina wako kama vile hakufagilii sana.
Nisingekuona kwenye hii thread ningekana kabila langu na kuhamia uzaramuni.
eenheee alimfanyaje nipe umbea best
hahaa tumekuja kushambulia mti wenye matunda
Kwa marafiki zangu wote wa JF,ambao kwa namna moja ama nyingine,mlinikosa yote ni kwa sababu kazi nying kuzitafuta shiling,coz usipofanya kazi kwa bidii,maisha mazuri utaishia kuyaona kwenye picha za Diamond tu..ok nimerudi kwa muda..niulize,tuzungumze na tuelimishane pia.
karibu..
View attachment 145957![]()