Heaven on desert amerudi

Heaven on desert amerudi

Status
Not open for further replies.
Welcome back mkuu. Naomba kuuliza je wewe ungependelea muungano wetu uwe wa aina gani je unaafiki tuwe na serikali 2,3 au 1. Natanguliza shukrani mkuu.
 
Maisha mazuri kwenye picha za Diamond! !!
 
Welcome back mkuu. Naomba kuuliza je wewe ungependelea muungano wetu uwe wa aina gani je unaafiki tuwe na serikali 2,3 au 1. Natanguliza shukrani mkuu.

Hayo anayajua sasa mwenzio muulize kuhusu diamond ndio mwisho wake wa kujuaa
 
Umetaka kuulizwa,

OK, mbona unapenda sana kunyanyua hiyo mistari kwenye paji la uso (ndita)??

Huwezi kupiga picha bila hiyo??
 
Watu wana definitions za ajabu sana za maisha mazuri

Huyo dogo maisha standard kayapata baada ya ndomo kubahatisha...
Hajui maisha mazuri maana yake nini na huo ushamba unamdhalilisha japo hajatambua hilo..

Tuwaonee huruma lakn si unajua kuanza kula mkate wa blue band ukubwani ni shidaaa?
Teh teh teh
 
Mkuu hyo kali siagi amejua ukubwani kwahyo huyo haijui Tanbond.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom