Asprin
Platinum Member
- Mar 8, 2008
- 68,271
- 96,398
Mie nipo pamoja nawe
Mtoto wa kike mpk mida hii hujapumzisha kikojoleo chako. Ukijazaa mapacha mfululizo usinilaumu.
Mie nipo pamoja nawe
Hahaha hapo ndo niko slow mkuu. Kama vipi nambie nisimame kabisa.
Hapo sawa Honey Faith, halafu nna mzigo wako
Kimekuuma nini? Sipo hapa kufurahisha watu..
Hivi Mimi na elimu yangu nivae takataka?
Upi huo?
Hata mie nisie na elimu siwezi kuvaa madekio.
Kujua flani ni kichaa siyo ujinga,ila ujinga ni wewe mzima kupay antetion kwa mtu ambae unajua ni kichaaMbwa akimng'ata mtu sio habari, habari ni mtu aking'ata dogi. Hapa JF ukileta stori ya kibweg.e watu wanajaa sana ili kujua aliyeleta stori yuko poa au katoroka Mirembe.
Ndo kama hivi sasa.
Nimevutwa sana na sentensi kibao zinazosema Mh. Amina hajasoma. Kwa mtazamo wangu ni kwamba hakuna mtu ambaye ameweza kuzisoma alama za nyakati kama Mh. Amina. Labda nianze kuichambua sentensi yangu kama hivi: Simfahamu vizuri Mh. Amina lakini naifahamu vizuri dhamira yake kwani inaonesha anataka kuwa mtu famous siku za usoni. Sasa ili alipate hili alikaa akatafakari AKAONA KUPITIA UTANGAZAJI atajulikana haraka mno. Kila mahali Redio Clouds inaposikika. Hili alifanikiwa.
Pili akafahamu fika kuwa sasa jina lake limefahamika. Kilichofuata ni kuingia kwenye siasa kwa nguvu zote. Hilo pia amefanikiwa tena sana....manake aliwaangusha hata wale waliojiita wakongwe katika siasa.
Tatu, akasoma alama za nyakati...AKAGUNDUA sasa hivi hot issues kwa Tanzania ni MAZINGIRA, UKIMWI na MADAWA YA KULEVYA. Mwana dada akaona kwenye mazingira kuna technical issues zitamtoa nje.. Akanasa kwenye Madawa ya Kulevya na kwa Karibu Ukimwi. Katika ukimwi kama ni wafuatiliaji wa habari kila anapoenda anatangaza vita dhidi ya UKIMWI. Akalimsha taifa kwamba anawajua wazungu wa Unga.. Kila mtu ameahidi kumsapoti hadi jeshi letu la Polisi....
Sasa nauliza jamani kama huyu mama asingekuwa amesoma hizi strategy angezifanyaje? Kuna wasomi wangapi wanao ona mbali namna hii. Je usomi tunaouongelea hapa ni ule wa kukariri na kupata vyeti au kuiweka katika practical life? PHd holders wa business adm. wangapi wanashindwa hata kuanzisha simple business? je huku ni kuwa na elimu au ujinga?
Kwa mtazamo wangu kama Mh. Amina ameweza kufanya yote haya kuliko wasomi kibao ambao wao kazi kulalamika tuuu kuwa fulani hakusoma kuliko wao na hawafanyi lolote? Kwenye mawizara kuna wasomi kibao lakini mbona mambo yanaenda ovyoovyo? KWA MANTIKI HII AMINA AMESOMA SANA KWANI ANAWEZA KUSOMA ALAMA ZA NYAKATI
Kujua flani ni kichaa siyo ujinga,ila ujinga ni wewe mzima kupay antetion kwa mtu ambae unajua ni kichaa
Upo. Ni wakwako
Kujua flani ni kichaa siyo ujinga,ila ujinga ni wewe mzima kupay antetion kwa mtu ambae unajua ni kichaa
ushamba mzigo mzito...........
ndio maana Halima kimwana alikufanya aliyokufanyia kule mtaa wa pili
Ha ha ha tshirt siyo mari yangu mujuwe..brandy/product ya kampuni hiyo labda ungesema niwanunulie,niwagawie ama nini?? Dinazarde
Dogo mi sikupata maisha mazuri kwa kubahatisha kama nyinyi mliotokea kwenye bwawa la dhiki mkabahatika tu ndio maana hamuishi kujitangaza..
Nina elimu ya kumzidi boss wako na standard life nimeikuta nyumbani tangu kuzaliwa hizo land cruiser wenzenu tumepelekewa shule na zilikua zinabadilishwa kila baada ya 5years usione waliomo humu maskini na wasafisha nyota kama nyie kiasi cha kuiga maisha ya ndomo..
Umewahi kujiuliza uhakika wa kula yako after 10 years?
We dogo usione watu hawakupendi wanakuweka sawa kwa kukuondoa harufu yako ya dhiki iliyogoma kutoka hata baada ya kubahatisha maisha...
Duuh unatumia nguvu nyingi sana aisee,hapo chini nimeongea swala la mtu kufanya kaz kwa bidii ili awe na maisha mazuri.so haya maandishi yote na story za wewe kupelekwa shuleni na gari zimetoka wapi??
Haya nimekuja kuuchukua
Kupay attention kwa kichaa ni muhimu. Ndo maana kuna hospitali za vichaa, ambazo watu wenye akili timamu wanapay attention kwa vichaa.
Bwahahahahahahahahahahah,,,, ili sio vizuri kumuuliza hivo akati unajua ni mwanaume mwenzie. Kwi kwi kwi kwi