Heaven on desert amerudi

Heaven on desert amerudi

Status
Not open for further replies.
We mshamba Kweli kuna watu tunamaisha huyo diamond atasubiri sana lakn nisikulaumu pengine kwako ww diamond ndio kila kitu kwako so huna namna zaid ya kumtukauza

Ulimbukeni jambo baya sana
Think of it this way. He is just a young man growing up. A celebrity like Diamond is his idol. Let him be. His age allows him to do some of these things.

I respect him for getting his ass busy earning his daily bread. The youth around us leave alot to be desired.

Go Go H.O.D !! Think Bigger and good luck.
 
Basi mimi alivoiba username yako afu akaichakachua kidogo tu ndo kilichonikera basi hakuna kingine..
ooh!!kumbe ndo mzizi wa fitina umeanzia hapo...lakini it just show heaven on desert anamfeel sana heavean on earth,si unaona hata anavyomjibu kwa upole,The boy is in love.
 
Hayo ya fitina sijui nini mi hata sijayagusa, sijui ka wanafitina au nini... Ila kuhusu love, haha! kama inapimwa kwa kuongea kwa upole, hayo mapenzi mapya
 
Jf bana kumbe ukitoka thn ukirudi hadi utoe taarifa?
 
Think of it this way. He is just a young man growing up. A celebrity like Diamond is his idol. Let him be. His age allows him to do some of these things.

I respect him for getting his ass busy earning his daily bread. The youth around us leave alot to be desired.

Go Go H.O.D !! Think Bigger and good luck.

Ila ana kamvuto. Diamond atakuwa anafaidi sana yale mambo yetu. Shiiii usimwambie mtu.
 
Aisee post za humu ndan unaweza ukalia yan kama una roho nyepesi
 
Think of it this way. He is just a young man growing up. A celebrity like Diamond is his idol. Let him be. His age allows him to do some of these things.

I respect him for getting his ass busy earning his daily bread. The youth around us leave alot to be desired.

Go Go H.O.D !! Think Bigger and good luck.
Sion kabisa vitu vya msing vinavyowafanya watu mapovu yawatoke kias hiki juu yangu..kaz ni yangu mwenyewe,ningekuwa sina kaz kabisa cjui ingekuwaje Karucee
 
Last edited by a moderator:
Naogopa kupigwa ban bahati yako ningeandika utumbo mpaka basi.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom