Lusungo
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 29,492
- 42,564
si wanasemaga heaven on desert ni Mchele? labda anajua.
Dogo mpaka anavyoandika duh! anayarembusha hadi maandishi
Last edited by a moderator:
si wanasemaga heaven on desert ni Mchele? labda anajua.
Nguo gani unazungumzia wewe?wasaficlothingline?? mbona zinanunuliwa kila siku kama voucher
Sion kabisa vitu vya msing vinavyowafanya watu mapovu yawatoke kias hiki juu yangu..kaz ni yangu mwenyewe,ningekuwa sina kaz kabisa cjui ingekuwaje Karucee
siyo mari au mali yko
Ila ana kamvuto. Diamond atakuwa anafaidi sana yale mambo yetu. Shiiii usimwambie mtu.
sometime thread zangu zinanifanya niprove ni kias gani mi ni mti wenye matunda..ningekuwa mtu wa kawaida tu,hakuna ambae angekuwa anapay antetion na mimi,kutukana ama kunitupia kashfa zisizo za msingi
....mamayo japo umenifanya nicheke.
Cc Heaven on Earth Asprin Excel lusungo utafiti miss neddy Honey Faith
Ha ha ha nini tenaa
Kwa marafiki zangu wote wa JF,ambao kwa namna moja ama nyingine,mlinikosa yote ni kwa sababu kazi nying kuzitafuta shiling,coz usipofanya kazi kwa bidii,maisha mazuri utaishia kuyaona kwenye picha za Diamond tu..ok nimerudi kwa muda..niulize,tuzungumze na tuelimishane pia.
karibu..
View attachment 145957![]()
....mamayo japo umenifanya nicheke.
Cc Heaven on Earth Asprin Excel lusungo utafiti miss neddy Honey Faith
Acha hizo bwana!
Hizi story zinatoka wapi?
Sipendi mtu akizuliwa jambo, its not right, its not fair!!
Mpwa kisia nimepiga nini asubuhi asubuhi:eyebrows::eyebrows::eyebrows:
....mamayo japo umenifanya nicheke.
Cc Heaven on Earth Asprin Excel lusungo utafiti miss neddy Honey Faith
lisemwalo lipo antie. si unaona anavojishongondoa.
Sina haja ya kukisia, naenda kukulipizia. Sikubali
ushamba mzigo mzito...........
ndio maana Halima kimwana alikufanya aliyokufanyia kule mtaa wa pili
Hujaona kijana yeye ni mti wenye matunda.
Acheni kuupopoa mawe basi lol.
Nimecheka sana kweli kichaa hajijui kichaa bali anawaona wenzake kichaa
hahahaaaa!!!
huyu jamaa hajuia kuwa hata vichaa huwa wanavuta watu kulingana na mambo wanayofanya?
heaven on desert, where were you when the earth was turning sphere?? you seem to be still flat...
mbona unaaibisha wasukuma wenzio mtandaoni bana!!! hebu change your back.... background! lols!
ngoja uone akija na attention zake...Yupo karne moja nyuma