Heaven on desert amerudi

Heaven on desert amerudi

Status
Not open for further replies.
sometime thread zangu zinanifanya niprove ni kias gani mi ni mti wenye matunda..ningekuwa mtu wa kawaida tu,hakuna ambae angekuwa anapay antetion na mimi,kutukana ama kunitupia kashfa zisizo za msingi
 
Hadi sisi rafiki zako unatuuziaa kha!!!!!makubwaa kuna ya bei kubwa zaidii tofauti na hiyo 20?

Ha ha ha tshirt siyo mari yangu mujuwe..brandy/product ya kampuni hiyo labda ungesema niwanunulie,niwagawie ama nini?? Dinazarde
 
Last edited by a moderator:
Hivi ninunue T-shirt za watoto wa mbagala kwa sh. 20000? hata kupigia deki tu mke wangu hawezi

Kitu kizuri huwa kinakumban na changamoto sana..mbona zinanunuliwa sana tu..haya we kanunue tshirt za watoto wa state
 
Hivi ninunue T-shirt za watoto wa mbagala kwa sh. 20000? hata kupigia deki tu mke wangu hawezi
Ila za watoto wa mikocheni utanunua?
Dah! hayo maneno ya kimbunye kweli, umeboa!
 
Ila za watoto wa mikocheni utanunua?
Dah! hayo maneno ya kimbunye kweli, umeboa!

Kimekuuma nini? Sipo hapa kufurahisha watu..

Hivi Mimi na elimu yangu nivae takataka?
 
sometime thread zangu zinanifanya niprove ni kias gani mi ni mti wenye matunda..ningekuwa mtu wa kawaida tu,hakuna ambae angekuwa anapay antetion na mimi,kutukana ama kunitupia kashfa zisizo za msingi

Mbwa akimng'ata mtu sio habari, habari ni mtu aking'ata dogi. Hapa JF ukileta stori ya kibweg.e watu wanajaa sana ili kujua aliyeleta stori yuko poa au katoroka Mirembe.

Ndo kama hivi sasa.
 
Mbwa akimng'ata mbwa sio habari, habari ni mtu aking'ata dogi. Hapa JF ukileta stori ya kibweg.e watu wanajaa sana ili kujua aliyeleta stori yuko poa au katoroka Mirembe.

Ndo kama hivi sasa.

Babu slow down
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom