Amehlo
JF-Expert Member
- May 8, 2019
- 10,941
- 31,906
Avatar yako inaanza kunibadilisha mtazamo.
baki na yuleyule[emoji23][emoji23] na mi najiandaa nilete uzi wa kutafuta mume pengine mwaka huu unaweza usiishe[emoji23][emoji23]
Avatar yako inaanza kunibadilisha mtazamo.
😃😃😃 mimi sina hayo matatizo lakini unasababisha nipate goosebumpsweeee kumbe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wenye hayo matatizo wako wapi waje waitazame
[emoji2][emoji2][emoji2] mimi sina hayo matatizo lakini unasababisha nipate goosebumps
Mama nishatoka kuwa darling na kuwa huyu baba tena mara hii"You've done so much for me, I can't tell it all, narekelema. What shall i render to Jehovah for he has done so very much for me."
Basi buana kuna wakati Mungu anaweza kukutendea kitu katika mazingira ambayo hata hukutarajia. Mazingira ambayo hata hudhani kama Mungu anakaa huko
Nilijua JF ni mtandao tu wa kawaida ambao uwezi kukutana na mtu wa aina flani hivi (kwa akili zangu )
Kumbe Huku nako kuna Mungu na kuna watu wazuri sana .
Nilipoandika bandiko langu la kutafuta mume niliandika kwa sababu nilikuwa na maumivu ,i was not serious siyo kwamba nilikuwa sina uhitaji (nilikuwa ninao sana ) ila nilijua huku siwezi kupata aina ya mtu naemfikiria lakini nikasema liwalo na liwe acha nipost
Nilipoonana naye, ndipo nilijua kuwa hakuwa tu mtu wa kawaida ila alikuwa mwanaume ambaye ameandaliwa kwa ajili yangu (mume wangu )
Aisee tunaelewana na huyu baba hadi natamani kulia kuna saa tunazinguana lakini nashukuru kila mmoja yupo willing kuisaka amani na muda huo huo tunakuwa sawa.
Darling toka nizaliwe sijawahi kuona mwanaume mwenye mapenzi kama wewe, upo very romantic, nina deni darling na huu uchaga na ushamba juu najikuta napwaya kabisa
asante
Asante asante asante
😃😃😃 nimeanza kujihisi nina hayo matatizo pia so nifikirie namimi please... ila msaada wenyewe uwe mkubwa zaidi isiwe kuishia kutazama avatar tu pekee[emoji23][emoji23][emoji23]mi nitafutie wenye hayo matatizo niwasaidie
Jamaa anakojoza au siyo"You've done so much for me, I can't tell it all, narekelema. What shall i render to Jehovah for he has done so very much for me."
Basi buana kuna wakati Mungu anaweza kukutendea kitu katika mazingira ambayo hata hukutarajia. Mazingira ambayo hata hudhani kama Mungu anakaa huko
Nilijua JF ni mtandao tu wa kawaida ambao uwezi kukutana na mtu wa aina flani hivi (kwa akili zangu )
Kumbe Huku nako kuna Mungu na kuna watu wazuri sana .
Nilipoandika bandiko langu la kutafuta mume niliandika kwa sababu nilikuwa na maumivu ,i was not serious siyo kwamba nilikuwa sina uhitaji (nilikuwa ninao sana ) ila nilijua huku siwezi kupata aina ya mtu naemfikiria lakini nikasema liwalo na liwe acha nipost
Nilipoonana naye, ndipo nilijua kuwa hakuwa tu mtu wa kawaida ila alikuwa mwanaume ambaye ameandaliwa kwa ajili yangu (mume wangu )
Aisee tunaelewana na huyu baba hadi natamani kulia kuna saa tunazinguana lakini nashukuru kila mmoja yupo willing kuisaka amani na muda huo huo tunakuwa sawa.
Darling toka nizaliwe sijawahi kuona mwanaume mwenye mapenzi kama wewe, upo very romantic, nina deni darling na huu uchaga na ushamba juu najikuta napwaya kabisa
asante
Asante asante asante
[emoji2][emoji2][emoji2] nimeanza kujihisi nina hayo matatizo pia so nifikirie namimi please... ila msaada wenyewe uwe mkubwa zaidi isiwe kuishia kutazama avatar tu pekee
Kuwa makinii usije ukakuta jamaa ana familia Yake kabisa Mke na watoto."You've done so much for me, I can't tell it all, narekelema. What shall i render to Jehovah for he has done so very much for me."
Basi buana kuna wakati Mungu anaweza kukutendea kitu katika mazingira ambayo hata hukutarajia. Mazingira ambayo hata hudhani kama Mungu anakaa huko
Nilijua JF ni mtandao tu wa kawaida ambao uwezi kukutana na mtu wa aina flani hivi (kwa akili zangu )
Kumbe Huku nako kuna Mungu na kuna watu wazuri sana .
Nilipoandika bandiko langu la kutafuta mume niliandika kwa sababu nilikuwa na maumivu ,i was not serious siyo kwamba nilikuwa sina uhitaji (nilikuwa ninao sana ) ila nilijua huku siwezi kupata aina ya mtu naemfikiria lakini nikasema liwalo na liwe acha nipost
Nilipoonana naye, ndipo nilijua kuwa hakuwa tu mtu wa kawaida ila alikuwa mwanaume ambaye ameandaliwa kwa ajili yangu (mume wangu )
Aisee tunaelewana na huyu baba hadi natamani kulia kuna saa tunazinguana lakini nashukuru kila mmoja yupo willing kuisaka amani na muda huo huo tunakuwa sawa.
Darling toka nizaliwe sijawahi kuona mwanaume mwenye mapenzi kama wewe, upo very romantic, nina deni darling na huu uchaga na ushamba juu najikuta napwaya kabisa
asante
Asante asante asante
Hongera Sana japo kwa nwanaume inahitaji muda kidgo kumsoma vizuriPole,Nani kakudanganya kuwa mwanaume hasifiwi?????
Tuna miezi mitatu ila kwa taarifa yako week inatosha kujua ni MSANII AU MUME
Sent using Jamii Forums mobile app
Kusikia Kwa Kenge Hadi Atoke Damu Puani Na MasikioniHongera Sana japo kwa nwanaume inahitaji muda kidgo kumsoma vizuri
Aione Mama RC Wa KilimanjaroKuwa makinii usije ukakuta jamaa ana familia Yake kabisa Mke na watoto.
JF ni JF.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Pole,Nani kakudanganya kuwa mwanaume hasifiwi?????
Tuna miezi mitatu ila kwa taarifa yako week inatosha kujua ni MSANII AU MUME
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha say something bwana... Usianze uchoyo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]weee