He has done so much for me, I can't tell it all. Narekelema

He has done so much for me, I can't tell it all. Narekelema

Ngoja na mie nijipange nijaribu siku moja kupost huenda nitaopoa dodo.
 
Okay..siamini sana kwa mwanamke tena mweus kutafta mpenz mitandaoni..yaan lazima kuna uwalakin kwa mdada huyo

Yaan wanaume wakiafrica tulivo na njaa uwe mzur na vigezo ukose bwana..haiwezekan..mim nagoma

Mdada ukiona anatafta bwana mitandaon ujue ana uwalakin

Enewei..not personal..ila nasisitiza...mwanamke kutafta bwana mtandaon lazma kuna tatzo..yaan kuna namna tuu


Comment.tayar...

Wel.kwa mwanaume sio mbaya sabab sis tuna tamaa na weng ni mala.ya.
 
Back
Top Bottom