He has done so much for me, I can't tell it all. Narekelema

Naam ..kama sio kwa sababu za kimaisha basi kwa kutenganishwa na kifo ...au wewe una maoni yapi
ila kwenye comment yako hukumaanisha kutenganishwa na kifo,kwani wengine ndoa zao zinavinjika vp kama sio sababu ya kimaisha?...
 
"You've done so much for me, I can't tell it all, narekelema. What shall i render to Jehovah for he has done so very much for me."

Basi buana kuna wakati Mungu anaweza kukutendea kitu katika mazingira ambayo hata hukutarajia. Mazingira ambayo hata hudhani kama Mungu anakaa huko

Nilijua JF ni mtandao tu wa kawaida ambao uwezi kukutana na mtu wa aina flani hivi (kwa akili zangu )
Kumbe Huku nako kuna Mungu na kuna watu wazuri sana .

Nilipoandika bandiko langu la kutafuta mume niliandika kwa sababu nilikuwa na maumivu ,i was not serious siyo kwamba nilikuwa sina uhitaji (nilikuwa ninao sana ) ila nilijua huku siwezi kupata aina ya mtu naemfikiria lakini nikasema liwalo na liwe acha nipost

Nilipoonana naye, ndipo nilijua kuwa hakuwa tu mtu wa kawaida ila alikuwa mwanaume ambaye ameandaliwa kwa ajili yangu (mume wangu )

Aisee tunaelewana na huyu baba hadi natamani kulia kuna saa tunazinguana lakini nashukuru kila mmoja yupo willing kuisaka amani na muda huo huo tunakuwa sawa.

Darling toka nizaliwe sijawahi kuona mwanaume mwenye mapenzi kama wewe, upo very romantic, nina deni darling na huu uchaga na ushamba juu najikuta napwaya kabisa

asante

Asante asante asante
 
Okay .. Lakini nilicho kiongea kina ukweli kwa sababu kiumbe binaadamu hakitabiriki katika suala zima la uaminifu katika sekta zote.. Anaweza kugeuka na kukutenda kinyume na matarajio yako

So katika suala zima La mahusiano huwenda sisi wote ni ma-x watarajiwa labda tu ulimwengu usitake kutupitisha baadhi miongoni mwetu katika hiyo njia
 
"You've done so much for me, I can't tell it all, narekelema. What shall i render to Jehovah for he has done so very much for me."

Basi buana kuna wakati Mungu anaweza kukutendea kitu katika mazingira ambayo hata hukutarajia. Mazingira ambayo hata hudhani kama Mungu anakaa huko

Nilijua JF ni mtandao tu wa kawaida ambao uwezi kukutana na mtu wa aina flani hivi (kwa akili zangu )
Kumbe Huku nako kuna Mungu na kuna watu wazuri sana .

Nilipoandika bandiko langu la kutafuta mume niliandika kwa sababu nilikuwa na maumivu ,i was not serious siyo kwamba nilikuwa sina uhitaji (nilikuwa ninao sana ) ila nilijua huku siwezi kupata aina ya mtu naemfikiria lakini nikasema liwalo na liwe acha nipost

Nilipoonana naye, ndipo nilijua kuwa hakuwa tu mtu wa kawaida ila alikuwa mwanaume ambaye ameandaliwa kwa ajili yangu (mume wangu )

Aisee tunaelewana na huyu baba hadi natamani kulia kuna saa tunazinguana lakini nashukuru kila mmoja yupo willing kuisaka amani na muda huo huo tunakuwa sawa.

Darling toka nizaliwe sijawahi kuona mwanaume mwenye mapenzi kama wewe, upo very romantic, nina deni darling na huu uchaga na ushamba juu najikuta napwaya kabisa

asante

Asante asante asante
All the best
 
Chunga sana mama [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] usiwekee mategemeo makubwa sana
 
ngoja na mm nitafute mchumba jaman humu naweza pata ya mungu mengi huwezi jua jamn cjaoa natafuta mchumba mwenye majanga mengi ya kutendawa sana na matatizo yake kiujumla tutalekebishana mbele ya safari pls naomba ajitokeze

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom