[emoji38]acha utani utakufa njaa ww
huu uchaga na ushamba juu najikuta napwaya kabisa ..
Hilo nakubali, na yeye anajuwa na bado ananipenda hivyo hivyoTruly, ur Mshamba wa love.
Penzi jipya Tunu.Hongera kwa kupata hubba mantashari
Mungu awatunzie mahaba yenu
Hii comment yako kwa maneno uliyotumia, imenifikirisha sana.Hongera kwa kupata hubba mantashari
Mungu awatunzie mahaba yenu
Hilo nakubali, na yeye anajuwa na bado ananipenda hivyo hivyo
Kuna kingine?!
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole,Nani kakudanganya kuwa mwanaume hasifiwi?????Unamsifia mwanaume? Mna muda gani kwanza tangu muanze kudate?
Hatuachani milele daimaPenzi jipya Tunu.
Wataachana tu[emoji1787][emoji1787]
Kamati ya fitna [emoji23]Penzi jipya Tunu.
Wataachana tu[emoji1787][emoji1787]