Hazina za baharini

Hazina za baharini

5679ffad-68f8-490b-a723-897f9a138459.jpeg
 
Kuna mambo makuu matatu baharini
1. Ikutapike
2. Ikumeze
3. Ikuzike
Bahari haifugi uchafu ndio maana always maji yake ni safi kutokana na utaratibu iliyojiwekea ya kujitibu
Ukikikuta pwani ujue kimetapikwa
Ukikikuta kwenye tumbo la mnyama bahari jua kimemezwa
Ukikikuta chini ya uso wa bahari jua kimezikwa!
Wanasema bahari ndio kaburi la kila kituView attachment 3409343
Kwelii mkuu
 
Back
Top Bottom