CCM Kuwaingiza watoto kwenye siasa sio sahihi waacheni watoto wasome kwanza

Mzee wa Twitter

JF-Expert Member
Nov 5, 2023
1,272
2,035
Hakika nimeshangazwa sana na hili suala la chipukizi ktk siasa za Tanzania. Hawa vijana chipukizi ni wanafunzi wa shule za msingi. Na shule hizi ndio kituo cha kumwaandaa mtoto ktk safari yake ya kielimu. Akishindwa kufanya vizuri ktk elimu ya msingi basi matarajio yake kielimu yanakuwa yameingia dosari na pengine kutoweka kabisa.

Kuwaingiza watoto hawa kwenye siasa wakiwa shule za msingi binafsi napinga sana kwani sioni uharaka wa kufanya hivyo kwani siasa zipo tu hata ukimaliza chuo kikuu unaweza ukaanza siasa kwanini CCM inawaanzishia watoto siasa wakati ndio kwanza wanajiandaa kutafuta elimu?

Hawa watoto ni kama wanatwishwa mzigo mwingine wakiwa bado wadogo na sielewi hizo siasa kwa umri wao zinawasaidia nini zaidi ya kuwapotezea muda wa kujiandaa na shule je ni wakati gani watasoma na wakati gani watafanya siasa?

Ushauri kwa serikali

Ni vema watoto wa shule za msingi wakazuiwa kushiriki katika masuala ya siasa kama ni lazima basi ushiriki wao siasa uanzie kwa wanafunzi wa sekondari.Kufanya hivyo kutawafanya hawa watoto chipukizi wakabaki na jukumu moja tu la elimu yao ya msingi.Tusiwaharibie maisha yao mtoto akifeli darasa la saba haijulikani ataenda wapi na atafanya nini

Siasa kwa watoto chipukizi ipigwe marufuku.
 
Watoto wanarithishwa uchawi
 
wapo shule ya chama kwan shida nin
 
Back
Top Bottom