Vipi na nyie uchaguzi wa 2015 mlikuwa wanasiasa malaya malaya mkanunuliwa na Lowasa?Bahati nzuri umetaja uovu mwingine wa magufuli ambao ni biashara ya siasa! Ndio raisi pekee tuliemuona wazi akitumia kodi za wananchi kununua wanasiasa malayamalaya. Shetani mkubwa yule Mungu fundi akamnyofoa kama unyoya.
Sasa vyeti huamini hadi leo hakuna ajira kwa wenye vyeti feki unafikiri ukianzisha uzi wa kumkejeli Magufuli ndio utaonewa huruma ya ajira embu tafuta kazi nyingine bana hata kalime tu muache Mzee wa watu apumzike unafikiri wewe kifo hakikihusuKwa vipimo vyote magufuli alikuwa kiongozi mbaya ila kwakuwa Watanzania ni watu wenye upeo mdogo aliwa win mioyo yao.
Magufuli alihakikisha mifumo yote ya good governance anai paralyze au kuiuwa kabisa ili yeye ndio awe sheria alisahau kwamba binadamu hupita ila continuity ya taifa inategemea mifumo imara na sio mtu imara.
Watu huja na kupita ila mifumo hubaki kwa muda mrefu. Stability ya taifa hutegemea mifumo sio mtu.
Magufuli alihakikisha bunge linakuwa mfukoni mwake na ndio maana alidiriki kununua wapinzani na kuvuruga uchaguzi wa 2019 na 2020.
Kwakuwa watanzania wengi wana upeo na uelewa mdogo walimpongeza kwa vile waliona akiwajengea miundombinu mizuri na kwa bahati nzuri watanzania ni watu wa kuridhika haraka na kwa vitu vidogovidogo.
Wanasahau kwamba popote penye utawala bora au good governance kwa kizungu hayo yote ya barabara madaraja stendi masoko ya kisasa huja automatically.
Kwahiyo Magufuli alitumia ujinga wa watanzania kuwarubuni na wao qakarubunika. Magufuli alikuwa anajinasibu kuwa mtetezi wa wanyonge huku akigawa hela barabarani na kukaa chini ili wananchi wamshangae wampende kumbe ule ni utapeli wa kisiasa angeishi hata mwaka mmoja taifa lingeangamia.
Adolf hitla anasemwa mpaka kesho sembuse yule dikteta uchwara huyo mjinga anaumia sanamu lake kusemwa ila hajiulizi familia ya Ben saanane mama mke watoto wanajisikiaje kutokuona hata kaburi la baba yao? Vaa viatu vya watoto wa Ben saanane Azory gwanda halafu jiulize yule mwehu alikuwa mtu mbaya kiasi gani?Wazeee mpumzisheni huyu baba ameshaenda imetoshaaa!!
Bora huyo Shetani ambaye hakuuza nchi na kuwabeba wafisadiNi wachache watakao kuelewa sukuma ganga, watakuona wewe ufai ila ukweli ni kwamba. Magufuli ilikua shetani kubwa katika nchi hi he did more harm than good katika nchi hi.
Umesema ukweli kwa 100%, dhalimu hakustahili kuwa rais kwenye nchi hii.Kama nimeandika uongo au nimemsingkzia sema jamiiforum ni jukwaa huru.
Na kweli furaha ya mafisadi imerudi na wauza nchiMungu yupo aisee kwa jinsi tulivyoishi maisha ya huzuni kipindi lile jamaa Lipo tuliteseka sana Mungu akaamua aturudishie furaha yetu
Vyeti ha ha ha unajijua lakini? Sisi wengine tunazisemea familia za kina Ben saanane kama nyie mnaumia anaposemwa vibaya basi nasisi tunaumizwa kwa kutokuona makaburi ya wapendwa wetu kina Ben saanane.Sasa vyeti huamini hadi leo hakuna ajira kwa wenye vyeti feki unafikiri ukianzisha uzi wa kumkejeli Magufuli ndio utaonewa huruma ya ajira embu tafuta kazi nyingine bana hata kalime tu muache Mzee wa watu apumzike unafikiri wewe kifo hakikihusu
Tushasema hapaKama nimeandika uongo au nimemsingkzia sema jamiiforum ni jukwaa huru.
Wewe ni kichefu chefu tu, tena wewe utakua ni mmoja wa mafisadi au wakwepa Kodi ktk nchi hii. WaTanzania Wana akili tofauti na unavyo dhani, ndiyo maana unawaona hawakusoma lakini namna wanavyo endesha maisha yao ni zaidi ya wasomi, kwa hivyo wanaelewa sana JPM alikua anafanya nini, unaponda maendeleo aliyokua akifanya kweni nchi na wananchi inahitaji nini zaidi ya hivyo alivyo fanya ambavyo wewe unaponda? Mi naona wewe ni mpuuzi tu.
Yaani tufanye unaponda daraja la Busisi, sehemu ambayo watu walikua wakizama maji kwa kuvilisha mazao ya bustani na samaki kupitia mitumbwi, leo waje wapite salama juu ya daraja then wewe uwaambie hayo ni mambo rahisi kwao na wakuelewe, mjinga tu wewe.
Na hatutaacha kumsema yule hayawani mpaka mtuambie ben saanane na azory gwanda mliwafukia wapi mnadhani marehemu wenu tuu ndio anastahili heshima umeshawahi kuvaa viatu vya watoto wa Ben saanane uone trauma wanayoipitia? Mshenzi kabisa yule Mungu wenu na kabudi.Tushasema hapa
Mfuate pale alipolala Chato.
Mfukue Msuteee.
ukichoka mzike tena rudi kwenu,
Nyie ndo mnasababisha tupigwe Ban.
Mkuu inaonyesha haufahamu kwanini watu walimkubali Magufuli na kwanini sasa hivi wanamkumbuka.Magufuli anakumbukwa kwasababu amefariki juzi tu na sio vinginevyo.
Una ushahidi?Na hatutaacha kumsema yule hayawani mpaka mtuambie ben saanane na azory gwanda mliwafukia wapi mnadhani marehemu wenu tuu ndio anastahili heshima umeshawahi kuvaa viatu vya watoto wa Ben saanane uone trauma wanayoipitia? Mshenzi kabisa yule Mungu wenu na kabudi.
Sio kila mtu ana muda wa kuunga mkono majizi ya kura. Muunge mkono ww maana ni mfaidika wa hayo majizi.Crocodile mkubwa kabisa. Rais Dkt Samia ndiye rais wetu, kila uamuzi lazima muunge mkono lasivyo muhame nchi!
Wewe kama mtanzania ni aibu sana kama unashabikia majizi na matepeli kama akina lisuSio kila mtu ana muda wa kuunga mkono majizi ya kura. Muunge mkono ww maana ni mfaidika wa hayo majizi.
Mimi sio mtanzania aliyechotwa akili ni mwenge wa uhuru. Hivyo sina muda wa kujipendekeza kwa majizi ya kura na wauza raslimali za nchi, eti kisa wana madaraka ya kunajisi uchaguziWewe kama mtanzania ni aibu sana kama unashabikia majizi na matepeli kama akina lisu
Kwa hiyo hii good governance haijawahi kuwepo kabla ya Magufuli??,Kikubwa ushaambiwa ni good governance ambayo italeta hivyo vyote na zaidi
dika na uongozi wake mbovu na upendeleo wa kikabila wanamkumbuka, akina Makonda hawatamsahau kamwe. Wabunge waliopita bila kupingwa hawatamsahau kamwe. Sabaya na wengine hawatamsahau Magufuli.Mkuu inaonyesha haufahamu kwanini watu walimkubali Magufuli na kwanini sasa hivi wanamkumbuka.