UHURU JR
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 16,262
- 7,619
Yule dada kule Marekani ambaye aliwahi hadi kuhitisha maandamano kupinga serikali ya Magufuli naye juzi katika hili suala la bandari naye kamkumbuka Magufuli. Lakini pia hata Msigwa wa chadema ameshawahi kumkumbuka Magufuli kwa issue ya nidhamu kwa watumishi.Waliofai
dika na uongozi wake mbovu na upendeleo wa kikabila wanamkumbuka, akina Makonda hawatamsahau kamwe. Wabunge waliopita bila kupingwa hawatamsahau kamwe. Sabaya na wengine hawatamsahau Magufuli.