Ole wako wewe utoaye hukumu , nakujifanya ni yeye atoaye hukumu, kwa maana umejikweza kama yule aliyekuwa mpiga Kerubi mkuuNachosema pamoja na kuwa mungu ndo mtoa hukumu lakin kwa vyovyote nisingelipenda kusrma arest in peace. Labda tu niseme alazwe anapostahili. Haiwezekan mabina na MADIBA WOTE WAREST IN PEACE. itakuwa hatujamtendea haki MADIBA
Nikurekebishe kidogo; Mwokozi wa Ulimwengu, Yesu Kristo, yule Mnazareti, pamoja na kuwa alikuwa "yuna namna ya Mungu", aliuwawa kifo cha fedheha na aibu kwa kutundikwa Msalabani hadharani. So, generally, sio kweli kwamba aina ya kifo anachouwawa mtu kina-reflect "uheshimiwa" wake. Vilevile sio kweli kwamba uheshimiwa wa mtu huamua aina ya kifo chake.
Nakala: FaizaFoxy, Ritz
Na kwa kusema kwao: Sisi tumemuuwa Masihi Iisa, mwana wa Maryam, Mtume wa Allah - nao hawakumuuwa wala hawakumsulubu, bali walifananishiwa tu. Na hakika waliokhitalifiana katika haya wamo katika shaka nayo. Wao hawana ujuzi nayo wowote, ila ni kufuata dhana tu. Wala hawakumuuwa kwa yakini. Bali Allah alimnyanyua Kwake, na hakika Allah ni Mwenye nguvu, Mwenye hikima ( Qur'an 4: 157 158).
Ndo nini!?au umetafsiri kiarabu
Mmmhh; JF kuna mambo humu! Ndugu yangu, marehemu kaacha mke na watoto; wanastahili faraja toka kwa jamii - mimi na wewe!
huyo hana uheshimiwa wowote..