Hayati Mabina kuzikwa kesho tar 19/12/13

bnf

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
218
195
Aliyekuwa diwani wa kata ya kisesa, mheshimiwa hayati Mzee Climent Mabina kuzikwa kesho

Mazishi yatafanyika kisesa, mwanza kuanzia saa NNE asubuhi.

Wananchi, wakereketwa wa vyama vyote na viongozi wetu wapendwa watakuepo

RIP mpendwa, Mungu ndo mtoa hukumu, tuache jazba

source RFA
 
KISHINDO

JF-Expert Member
Jun 23, 2013
1,749
2,000
Huyo angezikwa hata siku ile ile aliyoua na kuuawa. Tena ningewapongeza sana wananchi kama wangemwua na kumzika siku ile ile. Yaani hata wangechoma mwili wake hapo hapo kilimani ingependeza sana.
 
controler

JF-Expert Member
Jul 3, 2012
1,560
1,500
Nachosema pamoja na kuwa mungu ndo mtoa hukumu lakin kwa vyovyote nisingelipenda kusrma arest in peace. Labda tu niseme alazwe anapostahili. Haiwezekan mabina na MADIBA WOTE WAREST IN PEACE. itakuwa hatujamtendea haki MADIBA
 
Precise Pangolin

JF-Expert Member
Jan 4, 2012
12,839
2,000
Aliyekuwa diwani wa kata ya kisesa, mheshimiwa hayati Mzee Climent Mabina kuzikwa kesho

Mazishi yatafanyika kisesa, mwanza kuanzia saa NNE asubuhi.

Wananchi, wakereketwa wa vyama vyote na viongozi wetu wapendwa watakuepo

RIP mpendwa, Mungu ndo mtoa hukumu, tuache jazba

source RFA
Atazikwa na Maraisi wangapi?
 
Bonson

Senior Member
Apr 20, 2013
183
250
Nachosema pamoja na kuwa mungu ndo mtoa hukumu lakin kwa vyovyote nisingelipenda kusrma arest in peace. Labda tu niseme alazwe anapostahili. Haiwezekan mabina na MADIBA WOTE WAREST IN PEACE. itakuwa hatujamtendea haki MADIBA

Mmmhh; JF kuna mambo humu! Ndugu yangu, marehemu kaacha mke na watoto; wanastahili faraja toka kwa jamii - mimi na wewe!
 
jzm-teak

JF-Expert Member
Jun 23, 2013
1,628
1,195
mfumo wa ubepari hufanya watu kutopendana, Nyerere alishasema ubepari ni unyama. Sasa watu wananyanganyana mali, wanauana ovyo, lakini huu mfumo bado watawala hawauoni,
wanafikiri tupo kwenye ujamaa.
 
nginda

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
745
0
Ni kweli hata tukiendelea kuutesa mwili wa jambazi hili lenyewe halioni tena ila ujumbe ufike kwa majambazi wenziwe na familia iliyokuwa inafaidi mali za wizi na iwe somo kwa wenzake nashauri azikwe kama mbwa. Bila sanda wala jeneza. Na kiongozi wadini atakaejaribu kwenda atengwe kwa njaa zake.
 
kigoda

JF-Expert Member
Oct 15, 2012
1,782
1,195
Mabina, hiiiii,huuuu,haaaaa! Umetangulia Jambazi, umetuulia kijana wetu.
 
Comi

JF-Expert Member
Oct 2, 2011
3,329
1,500
Aliyekuwa diwani wa kata ya kisesa, mheshimiwa hayati Mzee Climent Mabina kuzikwa kesho

Mazishi yatafanyika kisesa, mwanza kuanzia saa NNE asubuhi.

Wananchi, wakereketwa wa vyama vyote na viongozi wetu wapendwa watakuepo

RIP mpendwa, Mungu ndo mtoa hukumu, tuache jazba

source RFA

dah! Ccm na uheshimiwa tabu kweli. Jambazi mheshimiwa,mwizi mheshimiwa. Jamani lipeni hilo neno hadhi hata kidogo. Msalimie na dito huko ila Hongera mheshimiwa mabina muuaji wa mdogo wetu kipenzi.
 
MUSSA ALLAN

JF-Expert Member
Oct 13, 2013
18,935
2,000
dah! Ccm na uheshimiwa tabu kweli. Jambazi mheshimiwa,mwizi mheshimiwa. Jamani lipeni hilo neno hadhi hata kidogo. Msalimie na dito huko ila Hongera mheshimiwa mabina muuaji wa mdogo wetu kipenzi.

Mbona MINI KABANG anaitwa mheshimiwa?
 
Mzito Kabwela

JF-Expert Member
Nov 28, 2009
18,605
2,000
Aliyekuwa diwani wa kata ya kisesa, mheshimiwa hayati Mzee Climent Mabina kuzikwa kesho

Mazishi yatafanyika kisesa, mwanza kuanzia saa NNE asubuhi.

Wananchi, wakereketwa wa vyama vyote na viongozi wetu wapendwa watakuepo

RIP mpendwa, Mungu ndo mtoa hukumu, tuache jazba

source RFA

Mabina....Rest in peace
Nyerere....Rest in Peace
Ditopile....Rest in peace
Kardinal Rugambwa..RIP
Mwigulu....Rest in peace
Mzito ....Rest in peace
Gorogosi..Rest in peace
Aboud Rogo..Rest in Peace

Eboh?! Hivi nyie Mungu mmemgeuza Babu yenu eeh?
 
Msendekwa

JF-Expert Member
Mar 11, 2012
440
250
Aliyekuwa diwani wa kata ya kisesa, mheshimiwa hayati Mzee Climent Mabina kuzikwa kesho

Mazishi yatafanyika kisesa, mwanza kuanzia saa NNE asubuhi.

Wananchi, wakereketwa wa vyama vyote na viongozi wetu wapendwa watakuepo

RIP mpendwa, Mungu ndo mtoa hukumu, tuache jazba

source RFA

Hebu uache utani. Mtu aliye mheshimiwa, anaweza kuuawa kifo cha fedheha, cha kupigwa mawe?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom