Hayati Mabina kuzikwa kesho tar 19/12/13

mabina hawezi kua hayati kwa kwa namna yoyote vile, hata hadhi ya uheshimiwa ulikwisha pale wananchi wake walipomchoka na kuamua kumuuwa. mumzike tu kwa taratibu zinazostahili hauzuniki mtu hapa
 
Last edited by a moderator:
Aliyekuwa diwani wa kata ya kisesa, mheshimiwa hayati Mzee Climent Mabina kuzikwa kesho

Mazishi yatafanyika kisesa, mwanza kuanzia saa NNE asubuhi.

Wananchi, wakereketwa wa vyama vyote na viongozi wetu wapendwa watakuepo

RIP mpendwa, Mungu ndo mtoa hukumu, tuache jazba

source RFA
find "mheshimiwa hayati" replace with "Mtuhumiwa wa uporaji wa ardhi"
 
Nashauri kabla hawajauleta mwili polisi waokote mawe yote yaliopo katika eneo la msiba.
 
Hebu uache utani. Mtu aliye mheshimiwa, anaweza kuuawa kifo cha fedheha, cha kupigwa mawe?

Nikurekebishe kidogo; Mwokozi wa Ulimwengu, Yesu Kristo, yule Mnazareti, pamoja na kuwa alikuwa "yuna namna ya Mungu", aliuwawa kifo cha fedheha na aibu kwa kutundikwa Msalabani hadharani. So, generally, sio kweli kwamba aina ya kifo anachouwawa mtu kina-reflect "uheshimiwa" wake. Vilevile sio kweli kwamba uheshimiwa wa mtu huamua aina ya kifo chake.

Nakala: FaizaFoxy, Ritz
 
Last edited by a moderator:
Aliyekuwa diwani wa kata ya kisesa, mheshimiwa hayati Mzee Climent Mabina kuzikwa kesho

Mazishi yatafanyika kisesa, mwanza kuanzia saa NNE asubuhi.

Wananchi, wakereketwa wa vyama vyote na viongozi wetu wapendwa watakuepo

RIP mpendwa, Mungu ndo mtoa hukumu, tuache jazba

source RFA

Hivi diwani naye ni Muheshimiwa?? Au hapa Uheshimiwa wake unatokana na nini??
 
Nikurekebishe kidogo; Mwokozi wa Ulimwengu, Yesu Kristo, yule Mnazareti, pamoja na kuwa alikuwa "yuna namna ya Mungu", aliuwawa kifo cha fedheha na aibu kwa kutundikwa Msalabani hadharani. So, generally, sio kweli kwamba aina ya kifo anachouwawa mtu kina-reflect "uheshimiwa" wake. Vilevile sio kweli kwamba uheshimiwa wa mtu huamua aina ya kifo chake.

Nakala: FaizaFoxy, Ritz

Mpuuzi unawatumia wapuuzi wenzakoo nakala, Eti Foxxy na Ritz, hawa siwanasema Yesu si mwana wa Mungu? Ebu acha upumbavu wako.
 
Last edited by a moderator:
Watu kama hao dawa yao ni kifo tu! Hakuna mjadala na wauwaji...hao ndo viongozi wa ccm hao!!! Majanga matupu.
 
Wampe nafasi ya kipekee Ndg. Matata aendeshe sala ya mazishi maana ndo Jambazi mwenzake aliye baki hapa Mwanza. Alale mahala pema motoni. AMINA
 
Back
Top Bottom