Kaizer
Platinum Member
- Sep 16, 2008
- 25,338
- 17,875
Hahahaaaaa... ni kweli mkuu, unajua sisi ndo watu pekee wa kuokoa jahazi, si unajua tena utu uzima dawa hata ya usingizi..
sisi ndo tuna run dunia ya hawa wadada
Hahahaaaaa... ni kweli mkuu, unajua sisi ndo watu pekee wa kuokoa jahazi, si unajua tena utu uzima dawa hata ya usingizi..
google insomnia hlf uangalie sababu yoyote kama unayo.
Huo usingo ndy unaokudhuru!
Utatafuta sana mchawi !
Usicheze na usimbe!
Doze ina umuhimu wake!
Wenzio wakipeanwa "kimoja" tu ! Fofofo! Tena wamemboji mkekani !
Confy wanalionaga kunako Tv tu!
na mie kama wewe ikifika saa 6 usiku nakuwa macho mpaka saa 12 vile watu wanaamka mie usingizi mzito balaaa inabidi nlale lale mpaka saa 1 ndo naamka ila kuanzia leo nitaanza kumeditate nilisoma darsa kwa Pasco na wewe kasome dia tuangalie matokeo
Habari zenyu binafsi....
Mwenzenu mie siku hizi sipati usingizi, hapa yaelekea saa nzima nahesabu matundu ya chandarua, hivi ni kwanini???? Kwanini sipati usingizi kama awali???? Huyo aliyenipokonya usingizi wangu nikimtambua walahi namgeuza mjusi kafiri au kenge...
Khaaaaaa..... Hivi kuna mtu ana tatizo kama langu!???? Nahisi hata kupungua now days lol!!!!!!
Msaada wadau.....
pole bestito ndo maana naona nakanyagwa kitandani wakati nikikoroma mwenzio
kumbe wala hulali unanishangaa na kunitolea :shocked: nikiota kwa nguvu mdogo
wangu kwanini usiniamshe nikufanyie maombi ya upako ili upate usingizi
Sasa leo niamshe nikuombee najua kuna nguvu fulani zinakunyima usingizi