Abunwasi
JF-Expert Member
- Jun 25, 2009
- 5,486
- 3,483
Mbona wengi tunamkosoa kwenye mitandao???Singeona tatizo kama wale wanaomkosoa nao wangeruhusiwa bila bugudha. kutaka sifa tu ni maradhi mabaya sana. ni dalili pia ya kutojiamini

Jibu mbona rahisi sana? wenyewe wanasema THE REST IS HISTORY. Mwisho wa Mobutu unajulikana, na matokeo ya sera hizo ndio tunachokiona huko DRC. Swali ni je, tungependa na sisi tufike huko? TAFAKARI, CHUKUA HATUA MAPEMA!!M
Mwisho wake ukawaje mkuu?
Watasema umetumwa na mabeberuRais Magufuli amezuia wapinzani wasiseme wala kukohoa. kazuia bunge live. alimwagiza Ndugai awashughulikie wabunge wa upinzani ndani ya Bunge na yeye atawashughulikia nje ya Bunge. Alipoona haitoshi kuzuia mikutano ya nje, sasa anadhibiti hata mikutano ya ndani.
Kwenye uchaguzi wa Mwenyekiti wa CCM, alihakikisha anapata ushindi wa asilimia mia moja. Sikumbuki katika enzi zake kama Nyerere au waliomfuatia, aliwahi kupata asilimia hizo. Tunajua kwamba kama angetaka, Nyerere angeweza KUJIPA kura asilimia 100, kama alivyofanya Magufuli.
Kwenye chaguzi za marudio ngazi za udiwani na ubunge, Magufuli alihakikisha CCM inashinda asilimia 100. mkuu wa mkoa ambaye mkoa wake alipita diwani mmoja wa CHADEMA, aliomba radhi kwa Magufuli. Zilifanyika figisu za kila aina. kama uchaguzi utaachwa ufanyike, basi atatangazwa mgombea wa CCM ameshinda, hata kama ameshindwa. mara nyingi figisu zilikuwa kwenye kuchukua na kurejesha fomu, kama ilivyokuwa jimbo la Korogwe, uchaguzi wa marudio.
Sasa hivi kuna magazeti mapya lukuki, baada ya kuona Uhuru na Daily News hayatoshi kuimba mapambio. kuna channel za TV mbalimblai: TBC, Channel Ten ambazo daima huimba mapambio ya mafanikio ya JPM, lakini sasa hata TV zingine tuseme zinapewa tenda kumtangaza JPM. na kwa kuwa siku zote nyimbo ni hizo hizo, hii tathmini ya miaka 4 ya kuimba mapambio ni kama inachosha tu maana yale yale yanarudiwa kila siku.
JPM anajitangaza mafanikio yake na wengi wanaimba sifa zake. lakini hiyo yote haitoshi. bado JPM amejipanga kupora uchaguzi wa Serikali za mitaa. Yaani mafanikio ya Magufuli hayatoshi kuwafanya watanzania wachague CCM, mpaka kuwe na wizi na uporaji wa kiwango hiki?
Aliwaita watendaji wa ngazi za chini kule Ikulu. hatujui walichoongea, ila matokeo tunayaona. Watu sijui wamekula bangi? yaani vituko vinavyofanyika nchi nzima ni aibu tupu. haijawahi kutokea hii. CCM ni wezi wa kura inajulikana tokea enzi na enzi. lakini siyo kwa kiwango hiki. kwamba wameagizwa toka juu, unaweza kuona pale Waziri Jafo anatoa amri vituo visifungwe, lakini hali ndio inakuwa mbaya zaidi. anasema watu wasienguliwe, waachwe wakataliwe kwenye kura, ndio kwanza figisu zinaongezeka. Tatizo hasa ni nini?
Tatizo ni maradhi ya JPM: anataka daima kusifiwa, daima aonekane kwamba yeye ndiyo yeye. kama ni uchaguzi anashinda asilimia 100, kwa gharama yoyote ile. matokeo yake analiingiza taifa zima katika maradhi. gharama ya matibabu ya kuliponya taifa inazidi kuongezeka. siku Magufuli akiondoka madarakani, sijui tutakuwa wagonjwa kiasi gani kama taifa. wengi wanaamini miradi anayoianzisha magufuli ndio fidia ya figisu zake. Binadamu anahitaji sana uhuru wake, hata kama unamfuga kama kuku na kumlisha vizuri.
lakini hata chama chake ndio kabisaaa kinakufa kama chama cha siasa. CCM
Hakuna sehemu nimefanya dharau ila wewe unleta ujuaji mwingiAcha dharau kwa nyuzi za wenzako
Kwenye mitandao hapa kuna demokrasia, kuna wanaomkosoa na wanaomuunga mkono. basi aache na huko kwingine kuwe na ulinganifu. Vyama vya upinzani, ambavyo vipo kisheria na vipo kumkosoa kisheria, vifanye kazi zao kwa uhuru. Wafanye mikutano na maandamano kama ilivyokuwa enzi za JK. Aachie bunge live ili wabunge wa upinzani wanaporusha nondo zao zisikike nchi nzima. Aache magazeti yaandike kwa uhuru. aache TV zitoe kwa uhuru. TV na magazeti wameadhibiwa sana hapa kati. sasa hivi waoga balaa. huo UPENDO wa kulazimisha ni MARADHIMbona wengi tunamkosoa kwenye mitandao???
Ingekuwa unajua hata usingeongea huuu upuuzi wako. Nenda kasifie huko jiwe atakasifa zako.Maisha tu yalivyokupiga yanatosha kukudhoofisa sasa
Punguza ugoro unawehuka kwani naona sasa hata jinsia yako unaisahau!Wanaotaka wafie kwenye uwenyekiti wa chama, wakisema wanakubalika
Kwani yamekatazwa????? Ila ninavyoona mimi nikwamba 'mkate uliowekwa siagi huwa chaguo la kwanza na ule usio na siagi ndiyo hufuata.Kwenye mitandao hapa kuna demokrasia, kuna wanaomkosoa na wanaomuunga mkono. basi aache na huko kwingine kuwe na ulinganifu. Vyama vya upinzani, ambavyo vipo kisheria na vipo kumkosoa kisheria, vifanye kazi zao kwa uhuru. Wafanye mikutano na maandamano kama ilivyokuwa enzi za JK. Aachie bunge live ili wabunge wa upinzani wanaporusha nondo zao zisikike nchi nzima. Aache magazeti yaandike kwa uhuru. aache TV zitoe kwa uhuru. TV na magazeti wameadhibiwa sana hapa kati. sasa hivi waoga balaa. huo UPENDO wa kulazimisha ni MARADHI
Ni kweli usemayo. lakini kumbuka pia kwamba Magufuli ni Citizen namba moja. akipiga chafya tu nchi inatikisika. tumempa madaraka makubwa sana kuhusu hatma ya nchi yetu. hatuna njia ila kumzungumzia sana tu. Pia kusema ni bora kuliko kukaa kimya.TAFAKARI
➡Yapo mambo mengi ya kuzungumzia siyo kila baada ya dk 5 mtu alete Uzi kumuhusu MAGUFULI , mnatoa mileage kubwa kwake bila hata ninyi kujijua
➡Yapo mengi ya kujadiliwa tujipanue kimawazo,tujifikirishe zaidi tutormitizamo tofauti ya kujenga kkuliko kutumia muda mwingi kumzunguzia MTU
Ni hayo tu
Kama wanaompenda ni wengi,kwa nini hamtendi haki kwenye chaguzi zinazofanyika?Mara kuwanyima fomu za kugombea,kukwepa wasirudishe fomu,wanatekwa,kupigwa na uchaguzi ukifanyika matokeo hayaaminiki.Upendo gani huo?Wanaompimga Rais Magufuli Ni mafisadi na wauza madawa ya kulevya na wenye vyeti feki
Sisi Watanzania tunampenda Magufuli,hao wachache wanajiangaisha tu
Yamekatazwa? Hujamsikia JPM akisema sasa tuacheni tufanye kazi. anaamini kwamba wapinzani wakimkosoa hataweza kufanya kazi yake! udhaifu ulioje huo?Kwani yamekatazwa????? Ila ninavyoona mimi nikwamba 'mkate uliowekwa siagi huwa chaguo la kwanza na ule usio na siagi ndiyo hufuata.
Zuzu kweli wewe, Bashite ana vyeti fake je anampinga mungufuli? Nyie Inzi wa kijani akili zenu mnazijua wenyewe.Wanaompimga Rais Magufuli Ni mafisadi na wauza madawa ya kulevya na wenye vyeti feki
Sisi Watanzania tunampenda Magufuli,hao wachache wanajiangaisha tu
Huyu ndio polepole sasa
Nimeishia hapo uliposema local channels zinasifia juhudi za mwenyekiti. Well! Kama kusifia maendeleo yetu ni dhambi, basi jiunge na Fox news ukamsifie TrumpRais Magufuli amezuia wapinzani wasiseme wala kukohoa. kazuia bunge live. alimwagiza Ndugai awashughulikie wabunge wa upinzani ndani ya Bunge na yeye atawashughulikia nje ya Bunge. Alipoona haitoshi kuzuia mikutano ya nje, sasa anadhibiti hata mikutano ya ndani.
Kwenye uchaguzi wa Mwenyekiti wa CCM, alihakikisha anapata ushindi wa asilimia mia moja. Sikumbuki katika enzi zake kama Nyerere au waliomfuatia, aliwahi kupata asilimia hizo. Tunajua kwamba kama angetaka, Nyerere angeweza KUJIPA kura asilimia 100, kama alivyofanya Magufuli.
Kwenye chaguzi za marudio ngazi za udiwani na ubunge, Magufuli alihakikisha CCM inashinda asilimia 100. mkuu wa mkoa ambaye mkoa wake alipita diwani mmoja wa CHADEMA, aliomba radhi kwa Magufuli. Zilifanyika figisu za kila aina. kama uchaguzi utaachwa ufanyike, basi atatangazwa mgombea wa CCM ameshinda, hata kama ameshindwa. mara nyingi figisu zilikuwa kwenye kuchukua na kurejesha fomu, kama ilivyokuwa jimbo la Korogwe, uchaguzi wa marudio.
Sasa hivi kuna magazeti mapya lukuki, baada ya kuona Uhuru na Daily News hayatoshi kuimba mapambio. kuna channel za TV mbalimblai: TBC, Channel Ten ambazo daima huimba mapambio ya mafanikio ya JPM, lakini sasa hata TV zingine tuseme zinapewa tenda kumtangaza JPM. na kwa kuwa siku zote nyimbo ni hizo hizo, hii tathmini ya miaka 4 ya kuimba mapambio ni kama inachosha tu maana yale yale yanarudiwa kila siku.
JPM anajitangaza mafanikio yake na wengi wanaimba sifa zake. lakini hiyo yote haitoshi. bado JPM amejipanga kupora uchaguzi wa Serikali za mitaa. Yaani mafanikio ya Magufuli hayatoshi kuwafanya watanzania wachague CCM, mpaka kuwe na wizi na uporaji wa kiwango hiki?
Aliwaita watendaji wa ngazi za chini kule Ikulu. hatujui walichoongea, ila matokeo tunayaona. Watu sijui wamekula bangi? yaani vituko vinavyofanyika nchi nzima ni aibu tupu. haijawahi kutokea hii. CCM ni wezi wa kura inajulikana tokea enzi na enzi. lakini siyo kwa kiwango hiki. kwamba wameagizwa toka juu, unaweza kuona pale Waziri Jafo anatoa amri vituo visifungwe, lakini hali ndio inakuwa mbaya zaidi. anasema watu wasienguliwe, waachwe wakataliwe kwenye kura, ndio kwanza figisu zinaongezeka. Tatizo hasa ni nini?
Tatizo ni maradhi ya JPM: anataka daima kusifiwa, daima aonekane kwamba yeye ndiyo yeye. kama ni uchaguzi anashinda asilimia 100, kwa gharama yoyote ile. matokeo yake analiingiza taifa zima katika maradhi. gharama ya matibabu ya kuliponya taifa inazidi kuongezeka. siku Magufuli akiondoka madarakani, sijui tutakuwa wagonjwa kiasi gani kama taifa. wengi wanaamini miradi anayoianzisha magufuli ndio fidia ya figisu zake. Binadamu anahitaji sana uhuru wake, hata kama unamfuga kama kuku na kumlisha vizuri.
lakini hata chama chake ndio kabisaaa kinakufa kama chama cha siasa. CCM
Kutoka hapa... Mpaka hapa...Rais Magufuli amezuia wapinzani wasiseme wala kukohoa. kazuia bunge live. alimwagiza Ndugai awashughulikie wabunge wa upinzani ndani ya Bunge na yeye atawashughulikia nje ya Bunge. Alipoona haitoshi kuzuia mikutano ya nje, sasa anadhibiti hata mikutano ya ndani.