Haya sasa ni Maradhi ya Rais Magufuli

Haya sasa ni Maradhi ya Rais Magufuli

Maisha tu yalivyokupiga yanatosha kukudhoofisa sasa
wewe unajuwa hata kutafuta pesa zaidi yakuwa kwenye chain ya wizi na akina dotto James lini ulifanya kitu chako cha kuingiza pesa wewe zero brain
 
Rais Magufuli amezuia wapinzani wasiseme wala kukohoa. kazuia bunge live. alimwagiza Ndugai awashughulikie wabunge wa upinzani ndani ya Bunge na yeye atawashughulikia nje ya Bunge. Alipoona haitoshi kuzuia mikutano ya nje, sasa anadhibiti hata mikutano ya ndani.

Kwenye uchaguzi wa Mwenyekiti wa CCM, alihakikisha anapata ushindi wa asilimia mia moja. Sikumbuki katika enzi zake kama Nyerere au waliomfuatia, aliwahi kupata asilimia hizo. Tunajua kwamba kama angetaka, Nyerere angeweza KUJIPA kura asilimia 100, kama alivyofanya Magufuli.

Kwenye chaguzi za marudio ngazi za udiwani na ubunge, Magufuli alihakikisha CCM inashinda asilimia 100. mkuu wa mkoa ambaye mkoa wake alipita diwani mmoja wa CHADEMA, aliomba radhi kwa Magufuli. Zilifanyika figisu za kila aina. kama uchaguzi utaachwa ufanyike, basi atatangazwa mgombea wa CCM ameshinda, hata kama ameshindwa. mara nyingi figisu zilikuwa kwenye kuchukua na kurejesha fomu, kama ilivyokuwa jimbo la Korogwe, uchaguzi wa marudio.

Sasa hivi kuna magazeti mapya lukuki, baada ya kuona Uhuru na Daily News hayatoshi kuimba mapambio. kuna channel za TV mbalimblai: TBC, Channel Ten ambazo daima huimba mapambio ya mafanikio ya JPM, lakini sasa hata TV zingine tuseme zinapewa tenda kumtangaza JPM. na kwa kuwa siku zote nyimbo ni hizo hizo, hii tathmini ya miaka 4 ya kuimba mapambio ni kama inachosha tu maana yale yale yanarudiwa kila siku.

JPM anajitangaza mafanikio yake na wengi wanaimba sifa zake. lakini hiyo yote haitoshi. bado JPM amejipanga kupora uchaguzi wa Serikali za mitaa. Yaani mafanikio ya Magufuli hayatoshi kuwafanya watanzania wachague CCM, mpaka kuwe na wizi na uporaji wa kiwango hiki?

Aliwaita watendaji wa ngazi za chini kule Ikulu. hatujui walichoongea, ila matokeo tunayaona. Watu sijui wamekula bangi? yaani vituko vinavyofanyika nchi nzima ni aibu tupu. haijawahi kutokea hii. CCM ni wezi wa kura inajulikana tokea enzi na enzi. lakini siyo kwa kiwango hiki. kwamba wameagizwa toka juu, unaweza kuona pale Waziri Jafo anatoa amri vituo visifungwe, lakini hali ndio inakuwa mbaya zaidi. anasema watu wasienguliwe, waachwe wakataliwe kwenye kura, ndio kwanza figisu zinaongezeka. Tatizo hasa ni nini?

Tatizo ni maradhi ya JPM: anataka daima kusifiwa, daima aonekane kwamba yeye ndiyo yeye. kama ni uchaguzi anashinda asilimia 100, kwa gharama yoyote ile. matokeo yake analiingiza taifa zima katika maradhi. gharama ya matibabu ya kuliponya taifa inazidi kuongezeka. siku Magufuli akiondoka madarakani, sijui tutakuwa wagonjwa kiasi gani kama taifa. wengi wanaamini miradi anayoianzisha magufuli ndio fidia ya figisu zake. Binadamu anahitaji sana uhuru wake, hata kama unamfuga kama kuku na kumlisha vizuri.

lakini hata chama chake ndio kabisaaa kinakufa kama chama cha siasa. CCM

90% ya watz ni washirikina watu wamerogeka.Watazinduka wakati kumekuchwa
 
Magufuli is a country bumpkin.

A Chato oompa loompa.

A vacuos vogon villain.
 
Bandiko zuri sana, umekosea tu kuinanga bangi, bangi haiko hivyo kama unabisha jaribu.
 
Kazi ya forozo ganze na moshi wake wa mwenge ingali ikitenda kazi hata sasa
 
Baadae ikawaje?Malizia hii story ili niweze kuchangia vizuri…...
 
Hahahahaha jomba naona hizi ndotp za alinacha ndizo unazoziota Sasa...Kuna tatizo gani kwa wananchi kuelewa au kujua Nini Magufuli anafanya na serikali yake...ni muhimu Sana wanachi wakajua ili msije kuwaongopea wakati wa kampeni
Mkuu, sina tatizo Rais wetu kupongezwa. Tatizo linaanzia pale anapobinafsisha kila kitu. Hata Rais mstaafu Mkapa aliliona hili pale aliposema hii ni Serikali ya CCM, siyo serikali ya fulani. yaani imekuwa too much. Nakubaliana kwamba ni muhimu wananchi kujua nini RAIS wao anafanya, na SERIKALI yao inafanya. lakini kama tunaamini wanaona, si tuwaache waamue kwa uhuru? haya matumizi ya nguvu kuwachagulia viongozi wao maana yake nini kama siyo maradhi?
 
Wanaomchukia jpm ni hawa

1/ wenye vyeti feki

2/mafisadi

3/ wauza madawa ya kulevya

4/walishindwa kwenye uchaguzi 2015

5/makuwadi wa mafisadi na mabeberu

6/wanaofanya siasa za kuchumia tumbo

State agent

mungu wenu anaogopa uchaguzi kuliko Ebola anaogopa kuchezea.Anajua akubaliki ndo maana kakimbia na mpira kukwepa kipondo cha magoli.Na atoki leo wala kesho bila nyundo
 
Rais Magufuli amezuia wapinzani wasiseme wala kukohoa. kazuia bunge live. alimwagiza Ndugai awashughulikie wabunge wa upinzani ndani ya Bunge na yeye atawashughulikia nje ya Bunge. Alipoona haitoshi kuzuia mikutano ya nje, sasa anadhibiti hata mikutano ya ndani.

Kwenye uchaguzi wa Mwenyekiti wa CCM, alihakikisha anapata ushindi wa asilimia mia moja. Sikumbuki katika enzi zake kama Nyerere au waliomfuatia, aliwahi kupata asilimia hizo. Tunajua kwamba kama angetaka, Nyerere angeweza KUJIPA kura asilimia 100, kama alivyofanya Magufuli.

Kwenye chaguzi za marudio ngazi za udiwani na ubunge, Magufuli alihakikisha CCM inashinda asilimia 100. mkuu wa mkoa ambaye mkoa wake alipita diwani mmoja wa CHADEMA, aliomba radhi kwa Magufuli. Zilifanyika figisu za kila aina. kama uchaguzi utaachwa ufanyike, basi atatangazwa mgombea wa CCM ameshinda, hata kama ameshindwa. mara nyingi figisu zilikuwa kwenye kuchukua na kurejesha fomu, kama ilivyokuwa jimbo la Korogwe, uchaguzi wa marudio.

Sasa hivi kuna magazeti mapya lukuki, baada ya kuona Uhuru na Daily News hayatoshi kuimba mapambio. kuna channel za TV mbalimblai: TBC, Channel Ten ambazo daima huimba mapambio ya mafanikio ya JPM, lakini sasa hata TV zingine tuseme zinapewa tenda kumtangaza JPM. na kwa kuwa siku zote nyimbo ni hizo hizo, hii tathmini ya miaka 4 ya kuimba mapambio ni kama inachosha tu maana yale yale yanarudiwa kila siku.

JPM anajitangaza mafanikio yake na wengi wanaimba sifa zake. lakini hiyo yote haitoshi. bado JPM amejipanga kupora uchaguzi wa Serikali za mitaa. Yaani mafanikio ya Magufuli hayatoshi kuwafanya watanzania wachague CCM, mpaka kuwe na wizi na uporaji wa kiwango hiki?

Aliwaita watendaji wa ngazi za chini kule Ikulu. hatujui walichoongea, ila matokeo tunayaona. Watu sijui wamekula bangi? yaani vituko vinavyofanyika nchi nzima ni aibu tupu. haijawahi kutokea hii. CCM ni wezi wa kura inajulikana tokea enzi na enzi. lakini siyo kwa kiwango hiki. kwamba wameagizwa toka juu, unaweza kuona pale Waziri Jafo anatoa amri vituo visifungwe, lakini hali ndio inakuwa mbaya zaidi. anasema watu wasienguliwe, waachwe wakataliwe kwenye kura, ndio kwanza figisu zinaongezeka. Tatizo hasa ni nini?

Tatizo ni maradhi ya JPM: anataka daima kusifiwa, daima aonekane kwamba yeye ndiyo yeye. kama ni uchaguzi anashinda asilimia 100, kwa gharama yoyote ile. matokeo yake analiingiza taifa zima katika maradhi. gharama ya matibabu ya kuliponya taifa inazidi kuongezeka. siku Magufuli akiondoka madarakani, sijui tutakuwa wagonjwa kiasi gani kama taifa. wengi wanaamini miradi anayoianzisha magufuli ndio fidia ya figisu zake. Binadamu anahitaji sana uhuru wake, hata kama unamfuga kama kuku na kumlisha vizuri.

lakini hata chama chake ndio kabisaaa kinakufa kama chama cha siasa. CCM
Ndugu yangu hiyo ni dhana yako tu. Mtu akitenda wema na watu wakauona [kwa tafsiri zao] sioni sababu kwa nini wasisifu.
 
TAFAKARI

➡Yapo mambo mengi ya kuzungumzia siyo kila baada ya dk 5 mtu alete Uzi kumuhusu MAGUFULI , mnatoa mileage kubwa kwake bila hata ninyi kujijua

➡Yapo mengi ya kujadiliwa tujipanue kimawazo,tujifikirishe zaidi tutormitizamo tofauti ya kujenga kkuliko kutumia muda mwingi kumzunguzia MTU
Ni hayo tu
Haya weka uzi wako sasa ili tujue kama unajitambua
 
kupata 100% kwenye uchaguzi ni jambo la kawaida sana. Kama kumbukumbu zako ziko sawa Lowasa 2015 alipitishwa kwa asilimia ngapi na mkutano mkuu Wa CHADEMA kuwa mgombea urais?

Magufuli ni kiongozi wetu sote ,wa Tanzania nzima. kila jambo linamhusu yeye ni habari, taarifa ama tukio la kitaifa. Kama hayo Magazeti na vituo vya runinga vinatutaarifu juu ya matukio na mafanikio ya Rais wetu kuna tatizo gani ? Kama huitaki TBC au nipashe kuna tanzaniadaima kasome hilo

Rais Magufuli licha ya kwamba ni mkuu Wa nchi na serikali pia ni mwenyekiti Wa CCM taifa hivyo atahahakisha CCM inashinda kwa 100% ndani ya siasa kwa kuwa ataulizwa sababu za kushindwa , hilo likumbuke. Kushinda kwa CCM kusihusishwe na mamlaka akiyonayo Rais kama amri jeshi bali kama mwenyekiti Wa CCM
1) Naongelea chaguzi zote za mwenyekiti wa CCM taifa, sijaona asilimia 100. kama unayo nisaidie.
2) Ni kweli Magufuli ni Rais wa watanzania wote. lakini mbona ni mbaguzi???
a) Kama watanzania wote wanalipa kodi kwa njia mbalimbali, inakuwaje waliosoma shule za binafsi wanabaguliwa utoaji wa mikopo elimu ya juu?
b) inakuwaje anakuwa mkali kwa wananchi waliochagua mpinzani katika jimbo au kata yao? anadai mnachelewa kwa sababu ya kuchagua wapinzani!!! halafu anadai tena kwamba MAENDELEO HAYANA CHAMA!!!

3) Sina tatizo kama anapiga kampeni vizuri na kuhamasisha wananchi wachague CCM. lakini yeye anatumia faulo, nguvu na ubabe wa dola kuisaidia CCM.
 
Ndugu yangu hiyo ni dhana yako tu. Mtu akitenda wema na watu wakauona [kwa tafsiri zao] sioni sababu kwa nini wasisifu.
Singeona tatizo kama wale wanaomkosoa nao wangeruhusiwa bila bugudha. kutaka sifa tu ni maradhi mabaya sana. ni dalili pia ya kutojiamini
 
Usitusemee Watanzania wote,mm ni mtanzania na ninampenda, sema BAADHI YA WATANZANIA ndio hawampendi FULL STOP
Nakubaliana na wewe. ila wote wapewe nafasi, wanaompenda na wasiompenda wote wana haki sawa ya kutoa maoni yao. ni hicho tu.
 
M
Hali hii ndiyo ilivyukuwa ndani ya Zaire ya Mobutu Seseko. Wapinzani wake aliwaua, kuwanunua au kufanya mchezo wa viti na meza.

TV station iliimba sifa za Mobutu na kutwa nzima ni sura yake tu ndiyo ilikuwa kwenye TV.

Watu walikosa ajira, waliokuwa na ajira ni wafanya kazi wa serikali tu. Alihakikisha walinzi wake wanapata mishahara minono ili waendelee kumlinda.
Mwisho wake ukawaje mkuu?
 
Sometimes ni busara sana kuficha upumbavu kwenye mijadala ya ishu sensitive kama hii.
Kama Serikali ya awamu hii imefanya mengi mazuri kama yanavyoandikwa na kusifiwa (yapo ndio), kwa nini wanaogopa kukosolewa ama kuacha uchaguzi uwe huru bila figisu? Kwa ninj wamewakata mpaka wana ccm ambao wanakubalika ktk jamii?
Yaani hapo pigia mstari mkuu. Hiyo ndiyo hoja kuu. Kama kweli JPM anapendwa, iweje hizi figisu, wizi, uporaji, hujuma, kwa kiwango kikubwa hivi????
 
Back
Top Bottom