Haya sasa ni Maradhi ya Rais Magufuli

Haya sasa ni Maradhi ya Rais Magufuli

Wanaompimga Rais Magufuli Ni mafisadi na wauza madawa ya kulevya na wenye vyeti feki

Sisi Watanzania tunampenda Magufuli,hao wachache wanajiangaisha tu

Angekuwa anapendwa kiasi hicho asingeogopa sanduku la kura kwa kuwaletea figisu figisu wapinzani wasipambane na wagombea wa chama chake,angeacha tu kura ziamue kama anajiamini kuwa yeye ni kipenzi chetu
 
Sawa, sasa kwa nini Magufuli anaogopa sana uchaguzi huru? kwa nini asiwaache watanzania kwa mamilioni wanaompenda wampigie kura? anaogopa nini hasa?
Hivi huyu yuko wapi? Ghadhabu ya mungu itamwangamiza yeye na kizazi chake
 
Shida ni kuwa ktk marais wrote wa nchi hii wameshuudia udhalilishwaji na kupuuzwa kwao ktk take waliyoyatenda, muda utampa majibu rais huyu sijui anataka awe nani maana sio mjamaa na wala sio beberu
 
Wanaompimga Rais Magufuli Ni mafisadi na wauza madawa ya kulevya na wenye vyeti feki

Sisi Watanzania tunampenda Magufuli,hao wachache wanajiangaisha tu

Jisemee mwenyewe!

Unawasemea Watanzania wote wewe kama nani?

Tulikutuma?

Personally sijakutuma,hayo matako unamtanulia nani?
 
Huna aibu,wala hujui kuwa wenye vyeti feki wanakondeana humo ndani ya nyumba.
Wanaompimga Rais Magufuli Ni mafisadi na wauza madawa ya kulevya na wenye vyeti feki

Sisi Watanzania tunampenda Magufuli,hao wachache wanajiangaisha tu
 
Wanaompimga Rais Magufuli Ni mafisadi na wauza madawa ya kulevya na wenye vyeti feki

Sisi Watanzania tunampenda Magufuli,hao wachache wanajiangaisha tu

Hapo Blue unataka kutuambia shoga yako Bashite anampinga Rais wetu?
 
Wanaompimga Rais Magufuli Ni mafisadi na wauza madawa ya kulevya na wenye vyeti feki

Sisi Watanzania tunampenda Magufuli,hao wachache wanajiangaisha tu
Tanzania itakuwa kama Korea Kaskazini kwa sababu ya wapumbavu wachache
 
Sawa, sasa kwa nini Magufuli anaogopa sana uchaguzi huru? kwa nini asiwaache watanzania kwa mamilioni wanaompenda wampigie kura? anaogopa nini hasa?

Kuna mtu aliwahi kudai kuwa rais Magufuli alikuwa akipita Ubunge bila kupingwa! Ironically, sifa za mgombea urais wa ccm ilikuwa ni pamoja na kuipenda demokrasia!
 
Wanaompimga Rais Magufuli Ni mafisadi na wauza madawa ya kulevya na wenye vyeti feki

Sisi Watanzania tunampenda Magufuli,hao wachache wanajiangaisha tu
We kilaza unampendaje mwanaume mwenzako? Lumumba mmekuwa danguro la ushoga?
 
Wanaompimga Rais Magufuli Ni mafisadi na wauza madawa ya kulevya na wenye vyeti feki

Sisi Watanzania tunampenda Magufuli,hao wachache wanajiangaisha tu
[/QUOTEWewe umeishajulikana ni sikio la kufa halisikii Dawa huna lolote ulijualo yaani kichwa chako kimejaa makamasi shame on you.
 
Back
Top Bottom