Haya sasa ni Maradhi ya Rais Magufuli

Haya sasa ni Maradhi ya Rais Magufuli

Wanaomchukia jpm ni hawa

1/ wenye vyeti feki

2/mafisadi

3/ wauza madawa ya kulevya

4/walishindwa kwenye uchaguzi 2015

5/makuwadi wa mafisadi na mabeberu

6/wanaofanya siasa za kuchumia tumbo

State agent
Una utani na Bashite?
 
Rais Magufuli amezuia wapinzani wasiseme wala kukohoa. kazuia bunge live. alimwagiza Ndugai awashughulikie wabunge wa upinzani ndani ya Bunge na yeye atawashughulikia nje ya Bunge. Alipoona haitoshi kuzuia mikutano ya nje, sasa anadhibiti hata mikutano ya ndani.

Kwenye uchaguzi wa Mwenyekiti wa CCM, alihakikisha anapata ushindi wa asilimia mia moja. Sikumbuki katika enzi zake kama Nyerere au waliomfuatia, aliwahi kupata asilimia hizo. Tunajua kwamba kama angetaka, Nyerere angeweza KUJIPA kura asilimia 100, kama alivyofanya Magufuli.

Kwenye chaguzi za marudio ngazi za udiwani na ubunge, Magufuli alihakikisha CCM inashinda asilimia 100. mkuu wa mkoa ambaye mkoa wake alipita diwani mmoja wa CHADEMA, aliomba radhi kwa Magufuli. Zilifanyika figisu za kila aina. kama uchaguzi utaachwa ufanyike, basi atatangazwa mgombea wa CCM ameshinda, hata kama ameshindwa. mara nyingi figisu zilikuwa kwenye kuchukua na kurejesha fomu, kama ilivyokuwa jimbo la Korogwe, uchaguzi wa marudio.

Sasa hivi kuna magazeti mapya lukuki, baada ya kuona Uhuru na Daily News hayatoshi kuimba mapambio. kuna channel za TV mbalimblai: TBC, Channel Ten ambazo daima huimba mapambio ya mafanikio ya JPM, lakini sasa hata TV zingine tuseme zinapewa tenda kumtangaza JPM. na kwa kuwa siku zote nyimbo ni hizo hizo, hii tathmini ya miaka 4 ya kuimba mapambio ni kama inachosha tu maana yale yale yanarudiwa kila siku.

JPM anajitangaza mafanikio yake na wengi wanaimba sifa zake. lakini hiyo yote haitoshi. bado JPM amejipanga kupora uchaguzi wa Serikali za mitaa. Yaani mafanikio ya Magufuli hayatoshi kuwafanya watanzania wachague CCM, mpaka kuwe na wizi na uporaji wa kiwango hiki?

Aliwaita watendaji wa ngazi za chini kule Ikulu. hatujui walichoongea, ila matokeo tunayaona. Watu sijui wamekula bangi? yaani vituko vinavyofanyika nchi nzima ni aibu tupu. haijawahi kutokea hii. CCM ni wezi wa kura inajulikana tokea enzi na enzi. lakini siyo kwa kiwango hiki. kwamba wameagizwa toka juu, unaweza kuona pale Waziri Jafo anatoa amri vituo visifungwe, lakini hali ndio inakuwa mbaya zaidi. anasema watu wasienguliwe, waachwe wakataliwe kwenye kura, ndio kwanza figisu zinaongezeka. Tatizo hasa ni nini?

Tatizo ni maradhi ya JPM: anataka daima kusifiwa, daima aonekane kwamba yeye ndiyo yeye. kama ni uchaguzi anashinda asilimia 100, kwa gharama yoyote ile. matokeo yake analiingiza taifa zima katika maradhi. gharama ya matibabu ya kuliponya taifa inazidi kuongezeka. siku Magufuli akiondoka madarakani, sijui tutakuwa wagonjwa kiasi gani kama taifa. wengi wanaamini miradi anayoianzisha magufuli ndio fidia ya figisu zake. Binadamu anahitaji sana uhuru wake, hata kama unamfuga kama kuku na kumlisha vizuri.

lakini hata chama chake ndio kabisaaa kinakufa kama chama cha siasa. CCM
Yanayotokea nchini ni aibu,kero na fedheha. Kama majina ya wagombea wa upinzani yanatolewa na wengine kukataliwa kurejesha fomu ili ionekane ccm inakubalika ni tusi kwa demokrasia. SHAME UPON JPM.
 
Wakosoaji hata wakati wa YESU walikuwepo Mkuu

Ndio maana tunaelimishana humu kazi kubwa ya Mzalendo Magufuli
Sometimes ni busara sana kuficha upumbavu kwenye mijadala ya ishu sensitive kama hii.
Kama Serikali ya awamu hii imefanya mengi mazuri kama yanavyoandikwa na kusifiwa (yapo ndio), kwa nini wanaogopa kukosolewa ama kuacha uchaguzi uwe huru bila figisu? Kwa ninj wamewakata mpaka wana ccm ambao wanakubalika ktk jamii?
 
Huna akili wewe, sisi Watanzania na nani? Usituingize kwenye ujinga wako.
Wanaompimga Rais Magufuli Ni mafisadi na wauza madawa ya kulevya na wenye vyeti feki

Sisi Watanzania tunampenda Magufuli,hao wachache wanajiangaisha tu
 
Kwako mnakula na kutumia demokrasia

Tunataka maendeleo demokrasia peleke ukweni kwenu

State agent
The terrible twins wako kazini hapa. Nami naongezea "Wanaomchukia JPM ni wale wapenda DEMOKRASIA na UTAWALA bora wa vyama vingi"
 
Tuweke Matusi pembeni tujadili uhalisia Mkuu
Awamu hii kama wewe ni mzembe mzembe lazima utaghafirika tu
Huna akili wewe, sisi Watanzania na nani? Usituingize kwenye ujinga wako.
 
.
IMG_20191019_094655.jpeg
 
Kwako mnakula na kutumia demokrasia

Tunataka maendeleo demokrasia peleke ukweni kwenu

State agent

Sisi tunaweza kuleta vyote, maendeleo na demokrasia. Asiyeweza vyote hastahili kuwa kiongozi.
 
Mwisho wake?
Hali hii ndiyo ilivyukuwa ndani ya Zaire ya Mobutu Seseko. Wapinzani wake aliwaua, kuwanunua au kufanya mchezo wa viti na meza.

TV station iliimba sifa za Mobutu na kutwa nzima ni sura yake tu ndiyo ilikuwa kwenye TV.

Watu walikosa ajira, waliokuwa na ajira ni wafanya kazi wa serikali tu. Alihakikisha walinzi wake wanapata mishahara minono ili waendelee kumlinda.
 
Baadae ikawaje?Malizia hii story ili niweze kuchangia vizuri…...
 
Wanaomchukia jpm ni hawa

1/ wenye vyeti feki

2/mafisadi

3/ wauza madawa ya kulevya

4/walishindwa kwenye uchaguzi 2015

5/makuwadi wa mafisadi na mabeberu

6/wanaofanya siasa za kuchumia tumbo

State agent
ALOTUMIA TRION 2 Bila idhini Ya Bunge!! naye vipi??

We DADA unamdhalilisha tu huyo unayemtetetea! 😆😆😃😃😂😂😁😁
 
Kwako mnakula na kutumia demokrasia

Tunataka maendeleo demokrasia peleke ukweni kwenu

State agent
Hata Hitler, Mussolin, Botha, Verwood walileta maendeleo. Pili nani kakuambia maendeleo hayaendani na itawala bora, demokrasia , na vyama vingi? Cha ajabu huwa mnapenda kutuambia kuwa CCM ndio mafundi wa demokrasia wakati ni wazi hamuipendi. Si mfute tu vyama vingi tujue moja. Kumbe demokrasia mmepeleka kwa wakwe zenu, sikujua. LoL
 
Rais Magufuli amezuia wapinzani wasiseme wala kukohoa. kazuia bunge live. alimwagiza Ndugai awashughulikie wabunge wa upinzani ndani ya Bunge na yeye atawashughulikia nje ya Bunge. Alipoona haitoshi kuzuia mikutano ya nje, sasa anadhibiti hata mikutano ya ndani.

Kwenye uchaguzi wa Mwenyekiti wa CCM, alihakikisha anapata ushindi wa asilimia mia moja. Sikumbuki katika enzi zake kama Nyerere au waliomfuatia, aliwahi kupata asilimia hizo. Tunajua kwamba kama angetaka, Nyerere angeweza KUJIPA kura asilimia 100, kama alivyofanya Magufuli.

Kwenye chaguzi za marudio ngazi za udiwani na ubunge, Magufuli alihakikisha CCM inashinda asilimia 100. mkuu wa mkoa ambaye mkoa wake alipita diwani mmoja wa CHADEMA, aliomba radhi kwa Magufuli. Zilifanyika figisu za kila aina. kama uchaguzi utaachwa ufanyike, basi atatangazwa mgombea wa CCM ameshinda, hata kama ameshindwa. mara nyingi figisu zilikuwa kwenye kuchukua na kurejesha fomu, kama ilivyokuwa jimbo la Korogwe, uchaguzi wa marudio.

Sasa hivi kuna magazeti mapya lukuki, baada ya kuona Uhuru na Daily News hayatoshi kuimba mapambio. kuna channel za TV mbalimblai: TBC, Channel Ten ambazo daima huimba mapambio ya mafanikio ya JPM, lakini sasa hata TV zingine tuseme zinapewa tenda kumtangaza JPM. na kwa kuwa siku zote nyimbo ni hizo hizo, hii tathmini ya miaka 4 ya kuimba mapambio ni kama inachosha tu maana yale yale yanarudiwa kila siku.

JPM anajitangaza mafanikio yake na wengi wanaimba sifa zake. lakini hiyo yote haitoshi. bado JPM amejipanga kupora uchaguzi wa Serikali za mitaa. Yaani mafanikio ya Magufuli hayatoshi kuwafanya watanzania wachague CCM, mpaka kuwe na wizi na uporaji wa kiwango hiki?

Aliwaita watendaji wa ngazi za chini kule Ikulu. hatujui walichoongea, ila matokeo tunayaona. Watu sijui wamekula bangi? yaani vituko vinavyofanyika nchi nzima ni aibu tupu. haijawahi kutokea hii. CCM ni wezi wa kura inajulikana tokea enzi na enzi. lakini siyo kwa kiwango hiki. kwamba wameagizwa toka juu, unaweza kuona pale Waziri Jafo anatoa amri vituo visifungwe, lakini hali ndio inakuwa mbaya zaidi. anasema watu wasienguliwe, waachwe wakataliwe kwenye kura, ndio kwanza figisu zinaongezeka. Tatizo hasa ni nini?

Tatizo ni maradhi ya JPM: anataka daima kusifiwa, daima aonekane kwamba yeye ndiyo yeye. kama ni uchaguzi anashinda asilimia 100, kwa gharama yoyote ile. matokeo yake analiingiza taifa zima katika maradhi. gharama ya matibabu ya kuliponya taifa inazidi kuongezeka. siku Magufuli akiondoka madarakani, sijui tutakuwa wagonjwa kiasi gani kama taifa. wengi wanaamini miradi anayoianzisha magufuli ndio fidia ya figisu zake. Binadamu anahitaji sana uhuru wake, hata kama unamfuga kama kuku na kumlisha vizuri.

lakini hata chama chake ndio kabisaaa kinakufa kama chama cha siasa. CCM

Meko anajua anachokitaka, huu ulimbukeni wake anatumia kuongoza Taifa utatugharimu siku moja. Mi siwezi kuongozwa na mtu ambaye amejipa madaraka, wala hatutashirikiana nao kamwe! Tanzania ni yetu sote, naweza kujiongoza mwenyewe ila sio vichaa kama hawa CCM.
 
Hali hii ndiyo ilivyukuwa ndani ya Zaire ya Mobutu Seseko. Wapinzani wake aliwaua, kuwanunua au kufanya mchezo wa viti na meza.

TV station iliimba sifa za Mobutu na kutwa nzima ni sura yake tu ndiyo ilikuwa kwenye TV.

Watu walikosa ajira, waliokuwa na ajira ni wafanya kazi wa serikali tu. Alihakikisha walinzi wake wanapata mishahara minono ili waendelee kumlinda.
Nasikia kwa huyu baba, ikifika wakati wa taarifa ya habari kwenye TV Mawingu yanafunguka halafu yeye anashuka kutoka huko juu (sijui juu ya wapi), anaongea yake ndio habari za siku zina anza. Tusipoangalia tutaelekea huko.
 
Back
Top Bottom