Haya sasa ni Maradhi ya Rais Magufuli

Haya sasa ni Maradhi ya Rais Magufuli

Wanaompimga Rais Magufuli Ni mafisadi na wauza madawa ya kulevya na wenye vyeti feki

Sisi Watanzania tunampenda Magufuli,hao wachache wanajiangaisha tu
Ukisema hivyo una maanisha hata Bashite anampinga rais? Acha ulongo
 
Hivi wanaoitetea sana serikali ya awamu ya tano wamelogwa na nani?
Nijengee barabara,ninunulie midege, Kama umenifunga pingu hivyo vyote vya kazi gani! Akiachia democracia mimi nitakuwa wa kwanza kusema Magufuli aongezewe miaka 100 anafanya mazuri sana ila anayofanya hayazidi democracia
 
Ok

Sasa nimeelewa Magufuli anataka kutawala milele, anataka kuwa dikteta
Hebu mwambieni na mkumbusheni kuwa tupo karne ya ngapi

Mbona jamaa ni muoga na mshamba hivii!!
Abadilishe basi katiba tujue moja, yaana huyu jamaa akitoka madarakani atatamani afe siku hiyohiyo

We tired him...
 
Wanaompimga Rais Magufuli Ni mafisadi na wauza madawa ya kulevya na wenye vyeti feki

Sisi Watanzania tunampenda Magufuli,hao wachache wanajiangaisha tu
Unalipwa Shilingi ngapi kwa kuandika ugoro huu?
 
Wanaompimga Rais Magufuli Ni mafisadi na wauza madawa ya kulevya na wenye vyeti feki

Sisi Watanzania tunampenda Magufuli,hao wachache wanajiangaisha tu
Hili kweli bogus....sema unampenda wewe na familia yako usiwasemee Watanzania.
 
Wanaompimga Rais Magufuli Ni mafisadi na wauza madawa ya kulevya na wenye vyeti feki

Sisi Watanzania tunampenda Magufuli,hao wachache wanajiangaisha tu
Alisikika shoga kutoka lumumba street akisema huu upuuzi
 
Kuna uwezekano Magufuli anatajwa sana kuliko Tanzania inavyotajwa...
 
.

Sio afya sana... Whatever the way... Positive or negative
tapatalk_1573010477519.jpeg
 
Hivi wanaoitetea sana serikali ya awamu ya tano wamelogwa na nani?
Nijengee barabara,ninunulie midege, Kama umenifunga pingu hivyo vyote vya kazi gani! Akiachia democracia mimi nitakuwa wa kwanza kusema Magufuli aongezewe miaka 100 anafanya mazuri sana ila anayofanya hayazidi democracia
Mkumbushe Gaddafi aliwaozesha lakini kilicho mkuta
 
Wanaompimga Rais Magufuli Ni mafisadi na wauza madawa ya kulevya na wenye vyeti feki

Sisi Watanzania tunampenda Magufuli,hao wachache wanajiangaisha tu
Jifunze kuizungumzia nafsi yako na acha kabisa kujipa utume wa kujipendekeza kuwazungumzia! Hujateuliwa Wala kuchaguliwa na mtanzania yeyote kujifanya kazi hiyo ya kumpenda huyo mtu wako! Mpende wewe mwenyewe na usiwaingize wengine!
 
Wanaomchukia jpm ni hawa

1/ wenye vyeti feki

2/mafisadi

3/ wauza madawa ya kulevya

4/walishindwa kwenye uchaguzi 2015

5/makuwadi wa mafisadi na mabeberu

6/wanaofanya siasa za kuchumia tumbo

State agent
Unamaanisha kina bashite na kinje pamoja na manji na wale waarabu wauza mapazia? Hawa si ni wafadhili wa ccm ambao humchotea makonda fedha za kujenga miradi isiyoisha? Vipi kina rost tamu mliyemrejesha kwa kumpigia magoti kaacha ufisadi?
Hebu jisome na uiache akili na nafsi yako huru uone Kama hujaanza Sala ya Toba kwa unafiki huu wa kuwaita wa upande wa pili majina mabaya ilihali unaowatuhumu ni ndugu na wafadhili wako! Punguza unafiki unenepe!
 
Kwani unafki ni dhambi??
Yaani kusifu pasipo na kitu cha kusifia au kujichekesha mbele ya bosi au mkuu wako ama kukejeli.
Naomba kujua kama unafki ni dhambi baasi motoni kuna wengi.
 
Wanaompimga Rais Magufuli Ni mafisadi na wauza madawa ya kulevya na wenye vyeti feki

Sisi Watanzania tunampenda Magufuli,hao wachache wanajiangaisha tu
Sasa kwanini hawakamati maana wanajulikana kuwa viongozi wa upinzani walio wengi wanampinga?
Nalog off
 
Back
Top Bottom