Haya ndio majimbo utata UKAWA unashauri apewe nani?

Haya ndio majimbo utata UKAWA unashauri apewe nani?

Tata usiwe nawasiwasi, Nyambabe hana lake Serengeti....eti anajinadi mgombea maarufu. Kama UKAWA wanataka kumpata mgombea atakayefaa watuletee kura ya maoni kati yako, Ramso na Nyambabe uone utakavyowagalagaza. Umekijenga na kukisaidia hiki chama hadi kimefika hapa tata.

c.c Mwl Ryoba

Hommie don-oba habari ya siku mingi.

Tukifuata vigezo Sita vilivyoainishwa Jimbo la Serengeti atasimama Chadema kwa niaba ya UKAWA. Lakini kwakuwa Mosena Nyambabe Katibu Mkuu wa NCCR bado anaishi katika historia ya 1995, 2000 & 2005 ndiyo maana abasahau hata vigezo na kuwa king'ang'anizi.

Sasa ili kukata mzizi wa fitna viongozi wetu watuletee wagombea wa CHADEMA na NCCR ili tuamue ni nani atapeperusha bendera ya UKAWA Jinbo la Serengeti.
 
Last edited by a moderator:
Ni kweli na hili ni tatizo linalotokana na kuwa na wanasheria wachumia tumbo na waoga.
Ilitakiwa iwe imeshafunguliwa kesi ya kikatiba kupinga ujinga huu.
Mana katiba inaposema wabunge wapatikana kwa njia ya kuchaguliwa kupitia majimboni au kuteuliwa na rais au viti maalum .Sasa hao wanaopita bila kura wanaingia jimboni kwa kanuni ipi kama sio kuvunja katiba kunakofanywa na tume ya ucuaguzi.
Hata kama wengine wamejitoa lakini ni lazima apigiwe kura.

Hali hii inawababisha watu kununuliwa ili tu wajitoe au wafanye makosa kwenye kujaza Form.

Awamu hii UKAWA inabidi waweke watu makini wakukagua ujazaji wa form kabla ya kusirudisha.QUOTE
Kusirudisha bila Shaka wew ni mkibosho
 
SERENGETI ni Chadema si vinginevyo refer matokeo ya ubunge 2010
Ccm54%
Cdm41%
Nccr5%
Uchaguzi wa s/mitaa 2014
Cdm vijiji26 vitongoji131
Nccr hawana kijiji hata kimoja isipokuwa kitongoji1 moja
Na kumbuka nccr ilisimamisha wagombea maeneo mengi na huyu katibu Mkuu wa nccr aliwanadi sana wagombea wake na pia alitumia garama kubwa maana alikaa huku 3 months but to no avail
Kwa hiyo ukawa ikimwachia itaangukia pua.
Ni vyema wanaserengeti wenyewe waachiwe waamue wanayemtaka

Hizi takwimu azione nyamemba kwa niaba ya Msena Nyambabe!
 
Last edited by a moderator:
SERENGETI ni Chadema si vinginevyo refer matokeo ya ubunge 2010
Ccm54%
Cdm41%
Nccr5%
Uchaguzi wa s/mitaa 2014
Cdm vijiji26 vitongoji131
Nccr hawana kijiji hata kimoja isipokuwa kitongoji1 moja
Na kumbuka nccr ilisimamisha wagombea maeneo mengi na huyu katibu Mkuu wa nccr aliwanadi sana wagombea wake na pia alitumia garama kubwa maana alikaa huku 3 months but to no avail
Kwa hiyo ukawa ikimwachia itaangukia pua.
Ni vyema wanaserengeti wenyewe waachiwe waamue wanayemtaka

Hizi takwimu azione nyamemba kwa niaba ya Mosena Nyambabe!
 
Last edited by a moderator:
Kwa mujibu wa gazeti mtanzania majimbo haya ni-Segerea 2 Temeke 3 Ukonga 4 Ilala 5Ilala 6.Kinondoni 7.Kigamboni 8. Serengeti 9.Mafia 10.Morogoro mjini 11.Kilosa 12.Mtwara mjini 13.Vunjo limepatiwa ufumbuzi juzi kaachiwa mbatia. Toa sababu ya wazo lako

Hayo majimbo hayana utata ni wenyewe cuf.
 
Kwa mujibu wa gazeti mtanzania majimbo haya ni-Segerea 2 Temeke 3 Ukonga 4 Ilala 5Ilala 6.Kinondoni 7.Kigamboni 8. Serengeti 9.Mafia 10.Morogoro mjini 11.Kilosa 12.Mtwara mjini 13.Vunjo limepatiwa ufumbuzi juzi kaachiwa mbatia. Toa sababu ya wazo lako
Kwani hapo utata uko wapi?

1. Segerea hilo jimbo ni wazi wapewe Chadema, kwa kuwa hata 2010, inafahamika kuwa CDM walilichukua, kama isingekuwa yule kada wa Sisiem kutoka 'nduki' na yale masanduku ya kura!

2. Temeke, kwa historia ya jimbo hilo, naamini CUF wana nguvu zaidi hapo.

3. Ukonga nalo wapewe Chadema.

4. Ilala, hilo jimbo nalo wangepewa CUF

5. Kinondoni, hilo jimbo washugulike nalo Chadema.

6. Kigamboni nalo kihistoria, CUF wangeachiwa, kwa kuwa wana nguvu sana kipande hiyo.

7. Serengeti nalo wangeachiwa CDM.

8. Mafia waachiwe CUF.

9. Morogoro mjini waachiwe CUF

10. Kilosa, wapambane nalo Chadema

11. Mtwara mjini nalo waachiwe CUF
 
Nakuunga mkono 100%

Kwenye kura ya maoni siungi mkono kwa sababu ndiyo chanzo cha vurugu. Pale wanaoshindanishwa watakapo kuwa wanauza sera zao, ndio mwanzo wa adui kwani kila mmoja atataka ashinde na asiposhinda kama si muungwana anaweza akawasaidia ccm ushindi.
 
Imekaa sawa hii , viva Ukawa

Hapa UKAWA KIDOGO MUWE MAKINI, KWANI VYAMA NI VITATU TU AU VINNE. MBONA KILE KINGINE SIKIIONI,? HALAFU, MJARIBU KUWEKA USAWA NA KATIKA KUWEKA USAWA, MKUBALIANE KWA KUANGALIA UPEPO WA MGOMBEA KWA WANANCHI WAKE.
 
Kwani hapo utata uko wapi?

1. Segerea hilo jimbo ni wazi wapewe Chadema, kwa kuwa hata 2010, inafahamika kuwa CDM walilichukua, kama isingekuwa yule kada wa Sisiem kutoka 'nduki' na yale masanduku ya kura!

2. Temeke, kwa historia ya jimbo hilo, naamini CUF wana nguvu zaidi hapo.

3. Ukonga nalo wapewe Chadema.

4. Ilala, hilo jimbo nalo wangepewa CUF

5. Kinondoni, hilo jimbo washugulike nalo Chadema.

6. Kigamboni nalo kihistoria, CUF wangeachiwa, kwa kuwa wana nguvu sana kipande hiyo.

7. Serengeti nalo wangeachiwa CDM.

8. Mafia waachiwe CUF.

9. Morogoro mjini waachiwe CUF

10. Kilosa, wapambane nalo Chadema

11. Mtwara mjini nalo waachiwe CUF

Acha utani mkuu, morogoro mjini hakuna kitu kinachoitwa CUF, fatilia uchaguz wa serkali za mitaa utanielewa, UKAWA wakifanya makosa kwa kugawa jimbo hili kwa CUF basi itakuwa ndiyo offer ya bure kwa maCCM kunyakua jimbo asubuh kabisa kabla hata ya vituo vya kura kufunguliwa
 
Mkuu lakini mpaka sasa CHADEMA ndio yenye nguvu na mtandao mpana zaidi katika jimbo la Serengeti, sasa NCCR wanataka nini? Yaani tunaangalia mtu au Chama?
The same to Segerea, CHADEMA ndio yenye nguvu tena nguvu kubwa sana, sasa Mtatiro wa CUF anataka but CUF ni hafifu Segerea. Sasa tuangalie Nguvu ya chama au umaarufu wa mtu?
si kweli Mkuu, mimi naifahamu vizuri Serengeti, CDM haiwezi kushinda pale, kulingana na historia na jiografia ya pale. Nadhani wawaachie NCCR-MAGEUZI na ndg Nyambabe ambaye ni katibu Mkuu wa NCCR-MAGEUZI atapita kiurahisi. Mbunge wa sasa ccm ni mgoleme mwenzake bila shaka watagawana kura za Ngoreme na hizi pande nyingine watashinda.
 
Hommie don-oba habari ya siku mingi.

Tukifuata vigezo Sita vilivyoainishwa Jimbo la Serengeti atasimama Chadema kwa niaba ya UKAWA. Lakini kwakuwa Mosena Nyambabe Katibu Mkuu wa NCCR bado anaishi katika historia ya 1995, 2000 & 2005 ndiyo maana abasahau hata vigezo na kuwa king'ang'anizi.

Sasa ili kukata mzizi wa fitna viongozi wetu watuletee wagombea wa CHADEMA na NCCR ili tuamue ni nani atapeperusha bendera ya UKAWA Jinbo la Serengeti.
Mkuu heshima kwako, kwanza nikili kwamba NCCR-MAGEUZI hawakufanya vizuri ktk Uchaguzi Mkuu hiyo 2010 na pia katika serikali za mitaa last year ila pia tukubaliane kwa usahihi kabisa bado CCM inao mtandao mkubwa Serengeti na zingatia historia na jiografia yake. Kanda ya Ngoreme , kurya ambako tayari kumegawanyika wakira na nyabhasi, kuna Kanda ile ya Natta. Ukizingatia hilo utakubaliana nami kuwa tukibaki na unga'ang'anizi wa uchadema Serengeti itaendelea kuwa himaya ya ccm. Huyo jamaa mwl hana uhakika wa kupitishwa na Chadema, kuna mtu anaitwa Ramsey Rutiginga, anamtumia M/Kiti wa mkoa ambae ni rafiki yake na mtu wake wa karibu apitishwe yeye, so unaona dhahiri huo utaleta mpasuko mwingine tena. So wakurya mwisho wa siku watalala either kwa mgombea wa ccm au Chadema na kama mgombea wa ccm atakuwa mngoreme atapita kiurahisi kabisa. Dawa ya hayo yoote wampe heshima na kuwaachia jimbo NCCR-MAGEUZI kazi itakua ndogo, ngoreme wagawane kura na hizi Kanda nyingine wataipitisha ukawa.
 
Last edited by a moderator:
Kazi ndogo kabisa, kila chama kilete mgombea wake, wananchi wenye kadi za vyama husika wapge kura ya maoni kwa mwamvuli wa UKAWA , atakayeshinda ndiye awe mgombea na wengne wamuunge mkono

Wakifanya hivi, Chadema watachukua majimbo mengi, kwakuwa wana wanachama wengi kuliko vyama vingine vya upinzani.
 
Kwani hapo utata uko wapi?

1. Segerea hilo jimbo ni wazi wapewe Chadema, kwa kuwa hata 2010, inafahamika kuwa CDM walilichukua, kama isingekuwa yule kada wa Sisiem kutoka 'nduki' na yale masanduku ya kura!

2. Temeke, kwa historia ya jimbo hilo, naamini CUF wana nguvu zaidi hapo.

3. Ukonga nalo wapewe Chadema.

4. Ilala, hilo jimbo nalo wangepewa CUF

5. Kinondoni, hilo jimbo washugulike nalo Chadema.

6. Kigamboni nalo kihistoria, CUF wangeachiwa, kwa kuwa wana nguvu sana kipande hiyo.

7. Serengeti nalo wangeachiwa CDM.

8. Mafia waachiwe CUF.

9. Morogoro mjini waachiwe CUF

10. Kilosa, wapambane nalo Chadema

11. Mtwara mjini nalo waachiwe CUF
uamuzi usio na shaka
 
Ni sawa kabisa ndivyo nami nilivyoona. Ure right Bro!
 
Segerea CUF
Temeke CUF
Ukonga CHADEMA
Ilala NCCR
Kinondoni CUF
Kigamboni CUF
Serengeti CHADEMA
Mafia CUF
Morogoro mjini CUF
Kilosa CHADEMA
Mtwara mjini CUF
Vunjo NCCR
 
Back
Top Bottom