don-oba
JF-Expert Member
- Dec 8, 2011
- 1,388
- 683
Hommie don-oba habari ya siku mingi.
Tukifuata vigezo Sita vilivyoainishwa Jimbo la Serengeti atasimama Chadema kwa niaba ya UKAWA. Lakini kwakuwa Mosena Nyambabe Katibu Mkuu wa NCCR bado anaishi katika historia ya 1995, 2000 & 2005 ndiyo maana abasahau hata vigezo na kuwa king'ang'anizi.
Nzuri kaka, umekuwa kimya sana.
c.c Mwita Maranya
Sasa ili kukata mzizi wa fitna viongozi wetu watuletee wagombea wa CHADEMA na NCCR ili tuamue ni nani atapeperusha bendera ya UKAWA Jinbo la Serengeti.
umekuwa kimya sana kaka Mwita Maranya
Last edited by a moderator: