MOTOCHINI
JF-Expert Member
- Jan 20, 2014
- 29,097
- 35,478
CDM mwakahuu watalogana hadi wenyewe kwa wenyeweWe gamba pita kule hatugombani ng'o!
CDM mwakahuu watalogana hadi wenyewe kwa wenyeweWe gamba pita kule hatugombani ng'o!
Mkuu Luno G nccr wanadai kwamba huyu jamaa kama simkosei jina Nyambabe anaushawishi mkubwa sana hapo jimboni. Kwani mara zote alizogombea ameshindwa kwa kura chache sana hivyo kama akisimama kupitia UKAWA atashinda. Lakini kwa upande mwengine makamanda(chadema) wanadai kwamba wao ndio wanapaswa kusimamisha mgombea ubunge kwani katika matokeo ya uchaguzi wa serikali za mitaa wameshika no2 baada ya magamba.
Mkuu lakini mpaka sasa CHADEMA ndio yenye nguvu na mtandao mpana zaidi katika jimbo la Serengeti, sasa NCCR wanataka nini? Yaani tunaangalia mtu au Chama?Mkuu Luno G nccr wanadai kwamba huyu jamaa kama simkosei jina Nyambabe anaushawishi mkubwa sana hapo jimboni. Kwani mara zote alizogombea ameshindwa kwa kura chache sana hivyo kama akisimama kupitia UKAWA atashinda. Lakini kwa upande mwengine makamanda(chadema) wanadai kwamba wao ndio wanapaswa kusimamisha mgombea ubunge kwani katika matokeo ya uchaguzi wa serikali za mitaa wameshika no2 baada ya magamba.
Good observation! Brilliant!Segerea CHADEMA
Temeke CUF
Ukonga CHADEMA
Ilala CUF
Kinondoni CUF
Kigamboni CHADEMA
Serengeti CHADEMA
Mafia CUF
Morogoro mjini CUF
Kilosa CHADEMA
Mtwara mjini CUF
Vunjo NCCR
Na hilo ndio tatizo lilipo Serengeti huyu bwana wa nccr aligombea nadhani 2000 na 2005 nasikia alitikisa sana baada ya hapo akakimbia serengeti... 2010 chadema wakagombea wakashindwa kwa kura ndogo sana dhidi ya kebwe wa ccm... Chadema kama chama wanamtandao mkubwa sana huku huyu bwana wa nccr yeye anaushawishi binafsi
UKAWA watakuwa wanakosea tena sana kama wataachiana majimbo kwa kufuata misingi ya ushawishi binafsi wa mtu badala ya nguvu ya chama katika jimbo husika. Mimi nilidhani vigezo vya msingi viweNa hilo ndio tatizo lilipo Serengeti huyu bwana wa nccr aligombea nadhani 2000 na 2005 nasikia alitikisa sana baada ya hapo akakimbia serengeti... 2010 chadema wakagombea wakashindwa kwa kura ndogo sana dhidi ya kebwe wa ccm... Chadema kama chama wanamtandao mkubwa sana huku huyu bwana wa nccr yeye anaushawishi binafsi
Mkuu Luno G nccr wanadai kwamba huyu jamaa kama simkosei jina Nyambabe anaushawishi mkubwa sana hapo jimboni. Kwani mara zote alizogombea ameshindwa kwa kura chache sana hivyo kama akisimama kupitia UKAWA atashinda. Lakini kwa upande mwengine makamanda(chadema) wanadai kwamba wao ndio wanapaswa kusimamisha mgombea ubunge kwani katika matokeo ya uchaguzi wa serikali za mitaa wameshika no2 baada ya magamba.
Sasa huyo mwenye ushawishi binafsi si ajiunge CDM lengo si idadi ya viti
Hawezi kujiunga na wahuni
jimbo la Serengeti, NLD inakubalika sana
LAKI SI PESA apuuzwe donge limemkaba anaweza jinyonga jinsi watu wanavoishauri CDM kwa utulivu, hawa ndio hutolewa macho kwa kuchokoza misafara a CDM
laki si pesa leo Lumumba hawatakulipa posho, maana unaandika uchafu wa mama yako.
Vyovyote vile watavyofanya wajue tu kuna yule mdudu anaitwa PINGAMIZI huyo ndio virus pekee CCM alobakiwa nae kuumaliza upinzani yaani ushindi bila uchaguzi. Hivyo kosa Dogo la mgombea wa Chama kilichoaminiwa na UKAWA will mean CCM kuchukua jimbo bila uchaguzi
SERENGETI ni Chadema si vinginevyo refer matokeo ya ubunge 2010
Ccm54%
Cdm41%
Nccr5%
Uchaguzi wa s/mitaa 2014
Cdm vijiji26 vitongoji131
Nccr hawana kijiji hata kimoja isipokuwa kitongoji1 moja
Na kumbuka nccr ilisimamisha wagombea maeneo mengi na huyu katibu Mkuu wa nccr aliwanadi sana wagombea wake na pia alitumia garama kubwa maana alikaa huku 3 months but to no avail
Kwa hiyo ukawa ikimwachia itaangukia pua.
Ni vyema wanaserengeti wenyewe waachiwe waamue wanayemtaka