Haya ndio majimbo utata UKAWA unashauri apewe nani?

Haya ndio majimbo utata UKAWA unashauri apewe nani?

Acha utani mkuu, morogoro mjini hakuna kitu kinachoitwa CUF, fatilia uchaguz wa serkali za mitaa utanielewa, UKAWA wakifanya makosa kwa kugawa jimbo hili kwa CUF basi itakuwa ndiyo offer ya bure kwa maCCM kunyakua jimbo asubuh kabisa kabla hata ya vituo vya kura kufunguliwa
Toa ushauri wako, wapewe Chadema au NCCR?
 
Kama vigezo vilivyowekwa vitatumika ni dhahiri ukawa itakusanya majimbo mengi sana lakini kama issue ni kugawana tu bila kuangalia uhalisia wa chama gani na mgombea yupi ndani ya chama hicho ananguvu eneohusika itakuwa ngumu sana kuachieve ukawa goals and destiny
 
Hivi Bado Kuna Watu Wanasoma Hilo Gazeti, Au Ni Wale Wa Lumumba Na Mchepuko Wao?
 
Kama vigezo vilivyowekwa vitatumika ni dhahiri ukawa itakusanya majimbo mengi sana lakini kama issue ni kugawana tu bila kuangalia uhalisia wa chama gani na mgombea yupi ndani ya chama hicho ananguvu eneohusika itakuwa ngumu sana kuachieve ukawa goals and destiny
Ni kweli kabisa Mkuu, kwa mfano Serengeti aachiwe mtu mwenye ubavu kama Mh Mosena Nyambabe na si wewe au Ramsey Rutiginga, mtachomesha mechi kwa CCM mapema na baadae tunaanza kulia. We tulia kwenye udiwani and you can still growing little more and then it will come to your time.
 
Wachache wana uwezo wa kuona mambo sawasawa.

Kama mnashindwa kukubaliana na kanuni mlizozikubali wenyewe ziwaongoze katika uteuzi, hii ni cowardice of the highest order.
Kwenda kinyume na kanuni hizi kutaleta manung'uniko.....mtaweka mgombea na mwisho wa siku atapigiwa kura na chama chake tu na sio coalition ya UKAWA.

Wrong move, Why? Kwanini wasi stick kwenye vigezo walivyojiwekea kugawana majimbo ili kumpata mwakilishi wa UKAWA?

Kama hivyo vigezo waliivyojiwekea kugawana majimbo haviwezi kutoa mwakilishi wa UKAWA katika majimbo hayo, basi hivyo VIGEZO havifai inabididi wavili revisit na kuanza mchakato upya wa kugawana majimbo yote.

Kama kuna chama/vyama vinakataa huo mgawanyo wa majimbo kwa kufuata VIGEZO walivyojiwekea, simply kwa kukataa tu, basi UKAWA hawajawa tayari kuungana na hivyo huo UMOJA uvunjike na kila chama kiende kivyake kwenye uchaguzi mkuu, of course which will be advatge to CCM

Nini madhara ya kuanza kupindisha VIGEZO vya kugawana majimbo, kama UKAWA watafanya hivyo kwa ubunge kupindisha VIGEZO, God forbid kwenye Urais hawataweza kukubaliana kamwe kumpata mgombea na huo ndiyo utakuwa mwisho wa UKAWA na ndoto ya mda mrefu na inayosubiriwa kwa hamu na CCM kuikoa itakuwa imetimia.

Mimi ni mtu ninayeamni kwenye PRINCIPLES!
 
Ni kweli na hili ni
tatizo linalotokana na kuwa na wanasheria wachumia tumbo na waoga.
Ilitakiwa iwe imeshafunguliwa kesi ya kikatiba kupinga ujinga huu.
Mana katiba inaposema wabunge wapatikana kwa njia ya kuchaguliwa kupitia
majimboni au kuteuliwa na rais au viti maalum .Sasa hao wanaopita bila
kura wanaingia jimboni kwa kanuni ipi kama sio kuvunja katiba
kunakofanywa na tume ya ucuaguzi.
Hata kama wengine wamejitoa lakini ni lazima apigiwe kura.

Hali hii inawababisha watu kununuliwa ili tu wajitoe au wafanye makosa
kwenye kujaza Form.

Awamu hii UKAWA inabidi waweke watu makini wakukagua ujazaji wa form
kabla ya kusirudisha.

ikiwezekana weweke wagombea wawili mmoja ajitoe baadae
 
Ni kweli kabisa Mkuu, kwa mfano Serengeti aachiwe mtu mwenye ubavu kama Mh Mosena Nyambabe na si wewe au Ramsey Rutiginga, mtachomesha mechi kwa CCM mapema na baadae tunaanza kulia. We tulia kwenye udiwani and you can still growing little more and then it will come to your time.
You have to argue scienfically by showing us practical evidence not assumptions.
Mfano Uchaguzi Mkuu uliopita2010 na s/mitaa 2014
Cdm 26 villages; 131 sub villages
Nccr no village; 1 sub village
2010 election
 
2010 election ubunge
Ccm54%
Cdm41%
Nccr5%

Mtandao wa cham a
Cdm;kila Kitongoji kuna uongozi ktk vijiji vyote 78
Nccr;hawana mtandao wa chama
 
Segerea cdm.temeke cuf.ilala cuf.kinondonni cuf.ukonga cdm.kigambon cdm.sereget cdm.mafia cdm.moro cdm.kilosa cdm.mtwara cuf.vunjo nccr ni sawa.
 
uenyeviti walikubalianaje?

uenyeviti wa mitaa na vijiji uliachwa kwa ngazi husika za wilaya , hata hivyo utakubali kuwa kulikua na migogoro mingi ya kuhatarisha umoja mfano migombani tabata NCCR na CDM waligombea na sehemu nyingine haipaswi kutokea ngazi ya udiwani. Mchakato wa udiwani uanze mara moja kwa kuwa wagombea udiwani na wenyeviti wataongoza mashambulizi ya ukawa ni vizuri wakajulikana
 
Segerea CHADEMA
Temeke CUF
Ukonga CHADEMA
Ilala CUF
Kinondoni CUF
Kigamboni CHADEMA
Serengeti CHADEMA
Mafia CUF
Morogoro mjini CUF
Kilosa CHADEMA
Mtwara mjini CUF
Vunjo NCCR
mbona NLD siwaoni hapo
 
You have to argue scienfically by showing us practical evidence not assumptions.
Mfano Uchaguzi Mkuu uliopita2010 na s/mitaa 2014
Cdm 26 villages; 131 sub villages
Nccr no village; 1 sub village
2010 election
There's a fine line between
genius and insanity.You have not yet
erased this line. No great mind has ever existed without a touch of madness. Obstacles are those frightful things you see when you take your eyes off the goal.DOnt ever dream about being an MP for Serengeti constituency.
 
You are not my God and in that Case for God's grace I will be .I know you Nyambabe mosena
 
Back
Top Bottom