Haya ndio majimbo utata UKAWA unashauri apewe nani?

Haya ndio majimbo utata UKAWA unashauri apewe nani?

Kazi ndogo kabisa, kila chama kilete mgombea wake, wananchi wenye kadi za vyama husika wapge kura ya maoni kwa mwamvuli wa UKAWA , atakayeshinda ndiye awe mgombea na wengne wamuunge mkono

hii mbinu naiona effective sana kila mahala palipo utata na ninaimani hlo ndo lingetoa taswira ya ushindi moja kwa moja dhd ya ccm ktk jimbo husika.
 
Segerea CHADEMA
Temeke CUF
Ukonga CHADEMA
Ilala CUF
Kinondoni CUF
Kigamboni CHADEMA
Serengeti CHADEMA
Mafia CUF
Morogoro mjini CUF
Kilosa CHADEMA
Mtwara mjini CUF
Vunjo NCCR

Imekaa vizuri
 
kazeti lenyewe mtanzania, lililo sema UKAWA imevunjika.. leo wanakuja na story mpya kabisa. shikamoo mafisadi nyangumi
 
Nikusahihishe kidogo mkuu.

Kigamboni - CUF
Kinondoni - CHADEMA

Segerea CHADEMA
Temeke CUF
Ukonga CHADEMA
Ilala CUF
Kinondoni CUF
Kigamboni CHADEMA
Serengeti CHADEMA
Mafia CUF
Morogoro mjini CUF
Kilosa CHADEMA
Mtwara mjini CUF
Vunjo NCCR
 
Kazi ndogo kabisa, kila chama kilete mgombea wake, wananchi wenye kadi za vyama husika wapge kura ya maoni kwa mwamvuli wa UKAWA , atakayeshinda ndiye awe mgombea na wengne wamuunge mkono

Ukawa mmeisikia hiyo? Hilo ndilo jawabu muafaka kuondoa malalamiko! Kura ya maoni!
 
Wrong move, Why? Kwanini wasi stick kwenye vigezo walivyojiwekea kugawana majimbo ili kumpata mwakilishi wa UKAWA?

Kama hivyo vigezo waliivyojiwekea kugawana majimbo haviwezi kutoa mwakilishi wa UKAWA katika majimbo hayo, basi hivyo VIGEZO havifai inabididi wavili revisit na kuanza mchakato upya wa kugawana majimbo yote.

Kama kuna chama/vyama vinakataa huo mgawanyo wa majimbo kwa kufuata VIGEZO walivyojiwekea, simply kwa kukataa tu, basi UKAWA hawajawa tayari kuungana na hivyo huo UMOJA uvunjike na kila chama kiende kivyake kwenye uchaguzi mkuu, of course which will be advatge to CCM

Nini madhara ya kuanza kupindisha VIGEZO vya kugawana majimbo, kama UKAWA watafanya hivyo kwa ubunge kupindisha VIGEZO, God forbid kwenye Urais hawataweza kukubaliana kamwe kumpata mgombea na huo ndiyo utakuwa mwisho wa UKAWA na ndoto ya mda mrefu na inayosubiriwa kwa hamu na CCM kuikoa itakuwa imetimia.

Mimi ni mtu ninayeamni kwenye PRINCIPLES!

Issue hapa si principles bali busara!
 
Silijui sana hili jimbo naipokea changamoto yako

Mkuu kama kweli ukawa ni give and take hata jimbo la segerea kwa kura walizopata cdm cuf haiwazidi chadema.lakini nina imani muafaka utapatikana.
 
Sidhani kama Segerea kuna utata,matokeo ya SM yanasema kweli,naona ni kama Mtatiro atakosa pa kwenda kama lile jimbo atapewa Mwita Maranya.kwani jamani ni lazima wote watinge mjengoni?wengine wangesubiri viti maalum
 
Kweli UKAWA ni hatari!! Ktk majimbo yote tajwa hapo sioni hata moja la kwenda magambani!! UKAWA WEKENI MAMBO SAWA MSITUANGUSHE, UKOMBOZI U-MLANGONI!!
 
Kazi ndogo kabisa, kila chama kilete mgombea wake, wananchi wenye kadi za vyama husika wapge kura ya maoni kwa mwamvuli wa UKAWA , atakayeshinda ndiye awe mgombea na wengne wamuunge mkono
wapiga kura wawe sawa kwa vyama vyote
 
kazeti lenyewe mtanzania, lililo sema UKAWA imevunjika.. leo wanakuja na story mpya kabisa. shikamoo mafisadi nyangumi
Na watu hawahoji bali wanaamini taarifa za kupiga?! Kwa nini wakisubiri wanaojadiliana watoe taarifa rasmi?
 
Utata wa mAFIA ni chadema kutaka kumkabidhi Saed Kubenea , unashauri Kubenea aombwe kulichukua kupitia CUF au wamtafutie katika haya ya DSM?

Hapo atleast nimepata picha maana nilikuwa sielewi kwanini Chadema ing'ang'anie Mafia.
 
Segerea CHADEMA
Temeke CUF
Ukonga CHADEMA
Ilala CUF
Kinondoni CUF
Kigamboni CHADEMA
Serengeti CHADEMA
Mafia CUF
Morogoro mjini CUF
Kilosa CHADEMA
Mtwara mjini CUF
Vunjo NCCR
Serengeti aachiwe Mh Mosena NYAMBABE-NCCR MAGEUZI
 
Kwa mujibu wa gazeti mtanzania majimbo haya ni-Segerea 2 Temeke 3 Ukonga 4 Ilala 5Ilala 6.Kinondoni 7.Kigamboni 8. Serengeti 9.Mafia 10.Morogoro mjini 11.Kilosa 12.Mtwara mjini 13.Vunjo limepatiwa ufumbuzi juzi kaachiwa mbatia. Toa sababu ya wazo lako
1.0 Segerea wapewe Chadema kwani ndio wana nguvu,kata mbili tu ndo kuna waswahili wa cuf hivyo hawana ushawishi.
2.0 Temeke wapewe CUF.
3.0 Ukonga wapewe Chadema
4.0 Kigamboni pamoja na uswahili mwingi Chadema ina nguvu zaidi ya Cuf
5.0 Ilala wapewe cuf
6.0 Kinondoni ilipo makao makuu ya chadema wapewe cuf
7.0 Kilosa bila ubishi ni chadema
8.0 Mafia sijui upinzani upo kati ya cuf na chama kipi lakini kama ni kati ya cuf na NCCR basi wapewe NCCR
9.0 Serengeti wapewe Chadema
10.Mtwara mjini wapewe NCCR ili kuepuka kanda nima ya Mtwara na Lindi kuwa na utawala wa chama kimoja cha CUF na ccm.
11.Vunjo bila shaka Mbatia wa Nccr anatosha.
12 Morogoro mjini wapewe CUF maana sioni dalili ya ushindi pale.
 
Kama ubunge ndio mda mrefu hivi watachukua mda mrefu kujadili na kukubaliana udiwani
 
Source Mtanzania , waliotangaza kuwa Mbatia na NCCR wamepeleka barua ya kujitoa UKAWA, Siku moja baadae Mbatia na UKAWA wakaliumbua ......taarifa za kupikwa ........
 
Back
Top Bottom