Haya ndio majimbo utata UKAWA unashauri apewe nani?

Haya ndio majimbo utata UKAWA unashauri apewe nani?

Kila chama kina maslahi mapana kwenye hayo majimbo 12.
Nashauri waache kila chama kisimamishe mgombea huko...
 
​kazi ni ndogo sana, kuna haja ya wao kukaa upya na kutafakari uchaguzi wa 2010 na kufikiri huu ujao kwa kina
 
Imekaa sawa hii , viva Ukawa
Viva UKAWA
Mkuu kama kweli ukawa ni give and take hata jimbo la segerea kwa kura walizopata cdm cuf haiwazidi chadema.lakini nina imani muafaka utapatikana.
Segerea kugumu kweli kweli maana CHADEMA waliwekeza sana kwenye hili jimbo lakini pia inaonekana CUF kupitia Mtatiro nao wanalitaka
Mgawanyo Mzuri Kabisa Kama Utafuatwa
Viva UKAWA tuwaombee mema viongozi wetu utatuzi upatikane
Mbona NLD haipo hapa?
UKAWA hawagawi tu majimbo kuna vitu vya kuangalia
Nadhani wewe ni political analyst mzuri sana.

Hayo majimbo hayana haja ya mvutano mana yapo wazi sana.

Nguvu ya CUF mwaka 2000 na 2005 izingatiwa na historia ya kukua kwa Chadema nayo pia ni muhimu.

Labda natofautiana na wewe kwenye jimbo la
Kigamboni na
Kilosa

Kilosa iwe CUF
Pia
Kigamboni .CUF

Ni lazima ukawa wacheze na uwezekano wa kuruka kihunzi kitakachotumiwa na CCM cha kuhubiri siasa za kuwagawa ukawa kwa misingi ya udini.
Lengo kuu liwe ni kuua na kuliondoa joka kuu CCM kwa mbinu zote.
Wakishindwa mwaka huu itakua ni vigumu sana kuitoa CCM 2020.Itabidi wajaribu tena 2025.

Naam Kigamboni na Kilosa kuna changamoto kiukweli, mfano Kigamboni ilikuwa ngome ya CUF na kwa kuangalia wakazi wa kigamboni umwinyi mwingi hivyo CUF inaonekana wananafasi ila kupitia uchaguzi wa serikali za mitaa CHADEMA nao inaonekana wamejikita vilivyo
 
Segerea cuf. Ndio yenye mitaa mingi, na Ina mgombea mzuri JULIUS MTATIRO
 
hoja gani unajadili? kumbuka UKAW hakuna sehemu yoyote ile wameshasema kuwa majimbo tajwa kama ambavyo mtanzania wanataka kutuaminisha ndiyo hayajapatiwa ufumbuzi. Nenda kasome vigezo kwanza vinavyotumika kuwa pata wagombea kila jimbo.

Kuna vigezo vilivyo wazi na vilivojificha siasa ni ngumu kijana si hesabu
 
SERENGETI ni Chadema si vinginevyo refer matokeo ya ubunge 2010
Ccm54%
Cdm41%
Nccr5%
Uchaguzi wa s/mitaa 2014
Cdm vijiji26 vitongoji131
Nccr hawana kijiji hata kimoja isipokuwa kitongoji1 moja
Na kumbuka nccr ilisimamisha wagombea maeneo mengi na huyu katibu Mkuu wa nccr aliwanadi sana wagombea wake na pia alitumia garama kubwa maana alikaa huku 3 months but to no avail
Kwa hiyo ukawa ikimwachia itaangukia pua.
Ni vyema wanaserengeti wenyewe waachiwe waamue wanayemtaka
 
  • Thanks
Reactions: jme
Kwanini NCCR wanaliomba hili jimbo la SERENGETI?

Mkuu Luno G nccr wanadai kwamba huyu jamaa kama simkosei jina Nyambabe anaushawishi mkubwa sana hapo jimboni. Kwani mara zote alizogombea ameshindwa kwa kura chache sana hivyo kama akisimama kupitia UKAWA atashinda. Lakini kwa upande mwengine makamanda(chadema) wanadai kwamba wao ndio wanapaswa kusimamisha mgombea ubunge kwani katika matokeo ya uchaguzi wa serikali za mitaa wameshika no2 baada ya magamba.
 
Last edited by a moderator:
Viva UKAWA

Segerea kugumu kweli kweli maana CHADEMA waliwekeza sana kwenye hili jimbo lakini pia inaonekana CUF kupitia Mtatiro nao wanalitaka

Viva UKAWA tuwaombee mema viongozi wetu utatuzi upatikane

UKAWA hawagawi tu majimbo kuna vitu vya kuangalia

Naam Kigamboni na Kilosa kuna changamoto kiukweli, mfano Kigamboni ilikuwa ngome ya CUF na kwa kuangalia wakazi wa kigamboni umwinyi mwingi hivyo CUF inaonekana wananafasi ila kupitia uchaguzi wa serikali za mitaa CHADEMA nao inaonekana wamejikita vilivyo

Mkuu unajua chini ya muafaka wa Zanzibar na kwenye utawala huu wa Kikwete(mswahili) ilikua ni vigumu mno kutathmini nguvu ya CUF.
Kwa kipindi chote cha utawala unaopita wa Kikwete CUF ilificha makucha kutokana na siasa chafu za udini na ukanda zilizokua zinaendeshwa na CCM. Waswahili wengi wakaambiwa kuwa wamuunge mkono ndugu yao wa ukanda wa Pwani. Lakini kiuhalisia Ukanda wa Pwani ni Ukanda wa CUF 75% na CCM 25%.
Mara nyingi ukanda huu CCM inashinda kwa ulaghai. Na hofu yao kubwa ni kuona nguvu ya kudhibiti wizi wa kura imeongezeka kupitia UKAWA.
 
SERENGETI ni Chadema si vinginevyo refer matokeo ya ubunge 2010
Ccm54%
Cdm41%
Nccr5%
Uchaguzi wa s/mitaa 2014
Cdm vijiji26 vitongoji131
Nccr hawana kijiji hata kimoja isipokuwa kitongoji1 moja
Na kumbuka nccr ilisimamisha wagombea maeneo mengi na huyu katibu Mkuu wa nccr aliwanadi sana wagombea wake na pia alitumia garama kubwa maana alikaa huku 3 months but to no avail
Kwa hiyo ukawa ikimwachia itaangukia pua.
Ni vyema wanaserengeti wenyewe waachiwe waamue wanayemtaka
Asante sana Mwl Ryoba kwa kutupatia data. Hizi data zitatusaidia katika michango yetu.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom