Haya ndio majimbo utata UKAWA unashauri apewe nani?

Haya ndio majimbo utata UKAWA unashauri apewe nani?

Segerea CHADEMA
Temeke CUF
Ukonga CHADEMA
Ilala CUF
Kinondoni CUF
Kigamboni CHADEMA
Serengeti CHADEMA
Mafia CUF
Morogoro mjini CUF
Kilosa CHADEMA
Mtwara mjini CUF
Vunjo NCCR

Mbona NLD haipo hapa?
 
gazeti la mtanzania siliamini kabisa , ngoja nisubiri chanzo kingine cha uhakika .
 
Mbona NLD haipo hapa?

Mgao wa majimbo 239, cHADEMA( 50%)=114 CUF(35%)=80 NCCR( 13%)=33 NLD 2% MAJIMBO 12 ndio yapo kwenye mzozo inasemekana 6 kati ya hayo tayari wameya solve bado sita
 
moro na kilosa CDM ina nguvu sana kwa dar japo last time cdm walifanya vema tmk na kino zaidi ya cuf ila kwa busara waachie kino,tmk,kigamboni na ilala then wao CDM wabaki na kawe,ubungo,ukonga,segerea inatosha kikubwa ni kubana magamba
 
Utata wa mAFIA ni chadema kutaka kumkabidhi Saed Kubenea , unashauri Kubenea aombwe kulichukua kupitia CUF au wamtafutie katika haya ya DSM?

Mkuu kwani ukawa wametaja majimbo mengine waliyoafikiana na wagombea wake?
 
Naona uzi huu umeanzishwa na ACT baada ya wakala wenu gazeti la mtanzania kuleta umbea
 
Kwa mujibu wa gazeti mtanzania majimbo haya ni-Segerea 2 Temeke 3 Ukonga 4 Ilala 5Ilala 6.Kinondoni 7.Kigamboni 8. Serengeti 9.Mafia 10.Morogoro mjini 11.Kilosa 12.Mtwara mjini 13.Vunjo limepatiwa ufumbuzi juzi kaachiwa mbatia. Toa sababu ya wazo lako

Hakuna kitu kama hicho kiongozi, hizo ni habari za kupikwa na watu wanaoiwazia mabaya UKAWA kwa maslahi yao.

UKAWA iko ngangari,watahangaika sana mwaka huu.
 
Ukonga, CHADEMA

Ilala, CHADEMA

Segerea CHADEMA

Siringeti CHADEMA

Morogoro Mjini CHADEMA

Temeke NCCR/CHADEMA (kama nccr hawana mtu)

Kilosa NCCR

Vunjo NCCR

Kigamboni CUF

Kinondoni CUF

Mtwara CUF

Mafia CUF

segerea apewe saidi kubenea.
 
moro na kilosa CDM ina nguvu sana kwa dar japo last time cdm walifanya vema tmk na kino zaidi ya cuf ila kwa busara waachie kino,tmk,kigamboni na ilala then wao CDM wabaki na kawe,ubungo,ukonga,segerea inatosha kikubwa ni kubana magamba

imekaa vizuri.
 
Utata wa mAFIA ni chadema kutaka kumkabidhi Saed Kubenea , unashauri Kubenea aombwe kulichukua kupitia CUF au wamtafutie katika haya ya DSM?

Kumbe mwanangu kuzunguka kote huko unamtafuta Kubenea?
 
Sitaki kuziamini taarifa hizi unless kama zingitolewa rasmi
na Viongozi wa UKAWA wenyewe kwa sababu
1/Taarifa zimetolewa na Gazeti la Mtanzania, gazeti ambalo liko kimkakati kuivuruga UKAWA siku zote.
2/Mbona majimbo mengi katika hayo yanayotajwa kuwa kwenye Utata mbona hayana utata kabisa, kwa mfano
VUNJO(ni wazi NCCR watapewa kwa sababu ya Mbatia)

SEGEREA(ni wazi CHADEMA watapewa kwa sababu ndio chama chenye nguvu na hata 2010 wakishinda lakini wakaibiwa ushindi wao)

UKONGA(Ni wazi CHADEMA watapewa kwa kuwa tayari wana mtandao mpana)

ILALA(ni ngome ya CUF)

TEMEKE(CUF ina nguvu zaidi)

KILOSA(CHADEMA ina nguvu sana)

MAFIA(CUF ina nguvu zaidi)

MOROGORO MJINI(Ni ngome ya CHADEMA)

MTWARA MJINI(Ni ngome ya CUF)

3/Majimbo yenye utata ni haya
*SERENGETI(Chama chenye nguvu ni CHADEMA lakini mgombea wa NCCR ni mtu mashuhuri zaidi kuliko wengine)
*KINONDONI(CUF na CHADEMA wana mvuto unaokaribiana sana kwa kuangalia matokeo ya uchaguzi wa serikali za mitaa)
*KIGAMBONI(CUF imekuwa na nguvu kwa muda mrefu sana lakini kwa sasa CHADEMA imekuwa na mtandao mpana sana hasa ukizingatia matokeo ya uchaguzi wa serikali za mitaa)
 
kigezo ulichotumia kuonesha utata ndicho hicho hicho kwa mfano Segerea kuna Mtatiro, Vunjo kuna Mwana chadema analitolea macho
 
Segerea CHADEMA
Temeke CUF
Ukonga CHADEMA
Ilala CUF
Kinondoni CUF
Kigamboni CHADEMA
Serengeti CHADEMA
Mafia CUF
Morogoro mjini CUF
Kilosa CHADEMA
Mtwara mjini CUF
Vunjo NCCR

Nadhani wewe ni political analyst mzuri sana.

Hayo majimbo hayana haja ya mvutano mana yapo wazi sana.

Nguvu ya CUF mwaka 2000 na 2005 izingatiwa na historia ya kukua kwa Chadema nayo pia ni muhimu.

Labda natofautiana na wewe kwenye jimbo la
Kigamboni na
Kilosa

Kilosa iwe CUF
Pia
Kigamboni .CUF

Ni lazima ukawa wacheze na uwezekano wa kuruka kihunzi kitakachotumiwa na CCM cha kuhubiri siasa za kuwagawa ukawa kwa misingi ya udini.
Lengo kuu liwe ni kuua na kuliondoa joka kuu CCM kwa mbinu zote.
Wakishindwa mwaka huu itakua ni vigumu sana kuitoa CCM 2020.Itabidi wajaribu tena 2025.
 
Kumbe mwanangu kuzunguka kote huko unamtafuta Kubenea?

Unakosa fikra huru ndio maana unaona anatafutwa Kubenea , unajipendekeza. Kama ningekuwa na haja ya kubenea ningemweka kwenye title najibu hoja za wanaorespond kwa nini kuwe na utata. Tumemtaja Mtatiro na Nyabange kosa liko wapi? Hizi ni facts kaa zilivyoandikwa na source nunua hiyo source acha fitna . Tunajaribu kusaidia hawa jamaa na huu utata hatujadili watu. Ndio maana nimeshauri ikiwezekana agombee Mafia kwa tiketi ya CUF ama Chadema wampatie jimbo hapa DSM tena dsm atapita kuliko Mafia
 
mm nanza na DSM
kuna majimbo nane mawili yashapta wahusika kwa sbbu yana wenyewe
haya sita

Vigezo vyangu ni nguvu ya chama
1:mazoea ya wananchi
2:historia
3:aina ya wakazi:
4:mgombea aliyetangaza nia anaavyouzika.
KINONDONI -CUF
ILALA -NCCR
TEMEKE -CUF
KIGAMBONI -CUF
UKONGA -CHADEMA
SEGEREA -CUF

kwa upande wa mtwara na maafia ni aibu kwa vyama vingine kung'ang'ania zaidi ya CUF sijui moshi na arusha

SERENGETI -NCCR sijajua nguvu ya chama lakini nimeambiwa wana mgombea keki kama ilivyo kwa MBATIA na VUNJO.

MOROGORO MJINI
NA KILOSA -kwanza mngetuletea hayo majimbo mengine tukaona kwa MOROGORO
 
Segerea CHADEMA
Temeke CUF
Ukonga CHADEMA
Ilala CUF
Kinondoni CUF
Kigamboni CHADEMA
Serengeti CHADEMA
Mafia CUF
Morogoro mjini CUF
Kilosa CHADEMA
Mtwara mjini CUF
Vunjo NCCR

Segerea iwe chadema si sawa kwa sababu uchaguzi wa serikali za mitaa cuf wapepata viti vingi kuliko chadema.
 
Back
Top Bottom