Haya ndio majimbo utata UKAWA unashauri apewe nani?

Haya ndio majimbo utata UKAWA unashauri apewe nani?

Wrong move, Why? Kwanini wasi stick kwenye vigezo walivyojiwekea kugawana majimbo ili kumpata mwakilishi wa UKAWA?

Kama hivyo vigezo waliivyojiwekea kugawana majimbo haviwezi kutoa mwakilishi wa UKAWA katika majimbo hayo, basi hivyo VIGEZO havifai inabididi wavili revisit na kuanza mchakato upya wa kugawana majimbo yote.

Kama kuna chama/vyama vinakataa huo mgawanyo wa majimbo kwa kufuata VIGEZO walivyojiwekea, simply kwa kukataa tu, basi UKAWA hawajawa tayari kuungana na hivyo huo UMOJA uvunjike na kila chama kiende kivyake kwenye uchaguzi mkuu, of course which will be advatge to CCM

Nini madhara ya kuanza kupindisha VIGEZO vya kugawana majimbo, kama UKAWA watafanya hivyo kwa ubunge kupindisha VIGEZO, God forbid kwenye Urais hawataweza kukubaliana kamwe kumpata mgombea na huo ndiyo utakuwa mwisho wa UKAWA na ndoto ya mda mrefu na inayosubiriwa kwa hamu na CCM kuikoa itakuwa imetimia.

Mimi ni mtu ninayeamni kwenye PRINCIPLES!

Kweeli?
 
Kwa mujibu wa gazeti mtanzania majimbo haya ni-Segerea 2 Temeke 3 Ukonga 4 Ilala 5Ilala 6.Kinondoni 7.Kigamboni 8. Serengeti 9.Mafia 10.Morogoro mjini 11.Kilosa 12.Mtwara mjini 13.Vunjo limepatiwa ufumbuzi juzi kaachiwa mbatia. Toa sababu ya wazo lako

segerea morogoro na ukonga waachiwe chadema. serengeti nccr. yanayobaki cuf yawe yao. ni ushauri tu
 
Naona uzi huu umeanzishwa na ACT baada ya wakala wenu gazeti la mtanzania kuleta umbea

huna hoja kaa kimya wachambuzi watekeleze wajibu wao kisiasa, viva UKAWA unapaswa kutoka katika level ya sahabiki mandondo uwe mchabuzi
 
huna hoja kaa kimya wachambuzi watekeleze wajibu wao kisiasa, viva UKAWA unapaswa kutoka katika level ya sahabiki mandondo uwe mchabuzi


hoja gani unajadili? kumbuka UKAW hakuna sehemu yoyote ile wameshasema kuwa majimbo tajwa kama ambavyo mtanzania wanataka kutuaminisha ndiyo hayajapatiwa ufumbuzi. Nenda kasome vigezo kwanza vinavyotumika kuwa pata wagombea kila jimbo.
 
1.0 Segerea wapewe Chadema kwani ndio wana nguvu,kata mbili tu ndo kuna waswahili wa cuf hivyo hawana ushawishi.
2.0 Temeke wapewe CUF.
3.0 Ukonga wapewe Chadema
4.0 Kigamboni pamoja na uswahili mwingi Chadema ina nguvu zaidi ya Cuf
5.0 Ilala wapewe cuf
6.0 Kinondoni ilipo makao makuu ya chadema wapewe cuf
7.0 Kilosa bila ubishi ni chadema
8.0 Mafia sijui upinzani upo kati ya cuf na chama kipi lakini kama ni kati ya cuf na NCCR basi wapewe NCCR
9.0 Serengeti wapewe Chadema
10.Mtwara mjini wapewe NCCR ili kuepuka kanda nima ya Mtwara na Lindi kuwa na utawala wa chama kimoja cha CUF na ccm.
11.Vunjo bila shaka Mbatia wa Nccr anatosha.
12 Morogoro mjini wapewe CUF maana sioni dalili ya ushindi pale.
HAPANA. Ni hivi:
1)Mtwala mjini-CUF(rejea matokeo ya mitaa)
2)Mafia-CUF
3)Morogoro mjini-CHADEMA(jimbo jeupe kabisa kwa chadema)
4)Serengeti-ubunge asimame yule katibu mkuu nccr mageuzi lakini madiwani wote watoke chadema waje kuongoza halimashauri)
Majimbo yaliyobakia naungana na wewe.
 
Segerea CHADEMA
Temeke CUF
Ukonga CHADEMA
Ilala CUF
Kinondoni CUF
Kigamboni CHADEMA
Serengeti CHADEMA
Mafia CUF
Morogoro mjini CUF
Kilosa CHADEMA
Mtwara mjini CUF
Vunjo NCCR

Hii nzuri ila kwa moro mjini replace with chadema, CUF haina nguvu pale
 
Segerea CHADEMA
Temeke CUF
Ukonga CHADEMA
Ilala CUF
Kinondoni CUF
Kigamboni CHADEMA
Serengeti CHADEMA
Mafia CUF
Morogoro mjini CUF
Kilosa CHADEMA
Mtwara mjini CUF
Vunjo NCCR
KILOSA HAPANA, APEWE CUF anapata kabisa,.Hata kigamboni sio mbaya
 
Utata wa mAFIA ni chadema kutaka kumkabidhi Saed Kubenea , unashauri Kubenea aombwe kulichukua kupitia CUF au wamtafutie katika haya ya DSM?

Aaaah, kumbe ndo maana siku hizi kubenea anaropoka sana, anyway, apitie CUF
 
Kazi ndogo kabisa, kila chama kilete mgombea wake, wananchi wenye kadi za vyama husika wapge kura ya maoni kwa mwamvuli wa UKAWA , atakayeshinda ndiye awe mgombea na wengne wamuunge mkono
Kura ni gharama kaka na bado safari ni ndefu..
 
Segerea CHADEMATemeke CUFUkonga CHADEMAIlala CUFKinondoni CUFKigamboni CHADEMASerengeti CHADEMAMafia CUFMorogoro mjini CUFKilosa CHADEMAMtwara mjini CUFVunjo NCCR
Hehee kazi bado ipo
 
HAPANA. Ni hivi:
1)Mtwala mjini-CUF(rejea matokeo ya mitaa)
2)Mafia-CUF
3)Morogoro mjini-CHADEMA(jimbo jeupe kabisa kwa chadema)
4)Serengeti-ubunge asimame yule katibu mkuu nccr mageuzi lakini madiwani wote watoke chadema waje kuongoza halimashauri)
Majimbo yaliyobakia naungana na wewe.

Kwanini NCCR wanaliomba hili jimbo la SERENGETI?
 
Ukawa tusaidieni jamani jamani msigombane tahadhari sanawakuuwetu lipumba mbowe makaidi Mbatia tusaidieni
 
Back
Top Bottom