Adrian2716
Member
- Oct 23, 2023
- 98
- 293
- Thread starter
-
- #141
sawa sawa mkuuPole sana aisee, maisha ni safari iliyojawa na mambo kadha wa kadha, haya ni majira yako ya kuwa katika hali hiyo. Napenda kukutia moyo usikate tamaa amini kesho yako nzuri yaja. Nyakati ngumu kwenye maisha huja na kupita. Nakutakia mapambano mema, penda kujichanganya na watu usikae peke yako muda mwingi.
wewe aiwezekan akose hata dispensarTembea uone
Inawezekana hawakupata au walioitwa hawakufikisha maksi za kubaki kuwa academician.Sio kweli mkuu, kila siku kuna nafasi za kufundisha ziko re-advertised!! Niliona mzumbe walitaka tutorial assistants wawe na 4.0 ya Undergrad na zile posts zikawa re advertised few months ago meaning hawakupata applicants wa kutosha wenye qualifications.
Ila kazi zingine zote za entry level lazima applications zivuke buku
muambie mkuuInawezekana hawakupata au walioitwa hawakufikisha maksi za kubaki kuwa academician.
Unapokaa mtaani muda mrefu si rahisi kufaulu interview za academics kwani zingine zinahitaji vitu vya ndani sana ambavyo wengi wanakuwa wamesahau.
Kwa hiyo unashauri watu wote wasome MD au unashauri kozi za account and finance zifutwe?Sasa wanaosoma MD wasemaje boss tena ww diploma wenzio wamepiga five na six PCB na chuo wakasoma MD na wengine wamemaliza chuo ila wamekosa kaz
JAMII FORUMS KUNA MAFISI
mkuu achana naye huyu siyo wa kumjibu, ana andika ujinga wa kiwango cha lamiKwa hiyo unashauri watu wote wasome MD au unashauri kozi za account and finance zifutwe?
Hao MD wakifungua hospital zao hawahitaji accountants?
Au Kila kitu wanafanya wenyewe mpk kutengeneza magari yao?
Mm nimetoa life experience kwamba kuna ambao wamehaso kuliko yy ila hawana maisha bado so asijione mnyongeKwa hiyo unashauri watu wote wasome MD au unashauri kozi za account and finance zifutwe?
Hao MD wakifungua hospital zao hawahitaji accountants?
Au Kila kitu wanafanya wenyewe mpk kutengeneza magari yao?
MD iliingiaje hapo? Kwani waliosoma kozi nyingine hawahaso?Mm nimetoa life experience kwamba kuna ambao wamehaso kuliko yy ila hawana maisha bado so asijione mnyonge
Haya ya nn kunifokea
JAMII FORUMS KUNA MAFISI
Kwaiyo tusiseme ukwel kwamba dogo kapiga diploma ya koz ya kawaidaMD iliingiaje hapo? Kwani waliosoma kozi nyingine hawahaso?
Ukakashifu na diploma yake kana kwamba si qualifications waakti amesoma na degree hata hujaona.
Kwa kifupi ulimuandermine.
Ndio uhalisia wa maisha mkuuHii reply imenifurahisha sana[emoji23][emoji23][emoji23]
Bongo elimu pekee haitoshi.. inabid uwe na degree nyingne ya kunyenyekea watu na kulamba sana matacle ya watu... Ita sana watu majina kama hayaWahenga walisema kua uyaone na kweli nimeyaona natamani hata nisingekuwepo duniani. Nimepiga kitabu kwa bidii diploma G.P.A ya 4 degree 4.0 na sioni muelekeo wowote.
Wakuu kitaa ni kugumu natamani hata niyeyuke nilisoma accounting and finance na sioni ikininufaisha kwa chochote, nawaza kwanini nilizaliwa
Ina maana hizo GPA famba, ni vilaza wako empty academically. Hawawezi kufundisha vipanga.Sio kweli mkuu, kila siku kuna nafasi za kufundisha ziko re-advertised!! Niliona mzumbe walitaka tutorial assistants wawe na 4.0 ya Undergrad na zile posts zikawa re advertised few months ago meaning hawakupata applicants wa kutosha wenye qualifications.
Ila kazi zingine zote za entry level lazima applications zivuke buku
Pole man!Wahenga walisema kua uyaone na kweli nimeyaona natamani hata nisingekuwepo duniani. Nimepiga kitabu kwa bidii diploma G.P.A ya 4 degree 4.0 na sioni muelekeo wowote.
Wakuu kitaa ni kugumu natamani hata niyeyuke nilisoma accounting and finance na sioni ikininufaisha kwa chochote, nawaza kwanini nilizaliwa
ndiyo mkuuMkuu bado unakumbuka kumbuka financial accounting cost accounting uni brush kidogo?
sawa sawa mkuuPole man!
Usijilaum coz ulitimiza wajibu wako mkuu!
Mwambie Mungu akusidie pa kuanzia yaani kazi ambayo itakupa amani Ili ikupeleke Kyle uliposomea yaani kwenye kilele ya kile ulichosomea!mwambie kianzio eeh Mungu pa kuanzia!!
Tatizo hi mfumo tu!!
pole sana mkuu usikate tamaaWahenga walisema kua uyaone na kweli nimeyaona natamani hata nisingekuwepo duniani. Nimepiga kitabu kwa bidii diploma G.P.A ya 4 degree 4.0 na sioni muelekeo wowote.
Wakuu kitaa ni kugumu natamani hata niyeyuke nilisoma accounting and finance na sioni ikininufaisha kwa chochote, nawaza kwanini nilizaliwa