Bome-e
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 17,104
- 26,070
Mkuu hii Russia anaita special operation, sio vita! Waziri wa Mambo ya nje wa Russia alipoulizwa kwanini vita imechukua muda mrefu tofauti na watu walivyohisi kama ingechukua siku 3 na hivyo kuwaona Russia kama jeshi dhaifu!Kwanza kila nchi ya Ulaya ina Nukes, isitoshe imeshagundulika zana nyingi za Mrusi ni Obsolete, hana jipya, pili Mrusi ana silaha lakini hana mbinu za Kivita, mfumo wa jeshi lake sio wa kisasa, sasa hivi Vita vinapiganwa kwa Tekinolojia, Kabla haujalaunch hiyo Silaha yake atakuwa ameshashambuliwa, Kwa taarifa yako kupitia Vita hii Amejiexpose sana.
Majibu yalikuwa hivi,Russia haijataka kufanya kama kile US alichofanya huko Afghan au Yugoslav,Russia inaenda taratibu Ili kupunguza vifo vya raia wa Ukraine! Pia akasema askari wa Ukraine wamekuwa wakitega mabomu ardhini kila wanaporudishwa nyuma,hiyo imepelekea wao kwenda taratibu kusecure kwanza maeneo yenye mabomu ya kufukia ndio waadvance!
Lakini akasema Kwa bahati mbaya mabomu hayo yameua raia wa Ukraine ambao hawajaondoka kwenye war zones!
My take:Russia sio wa kumchukulia poa,US analijua Hilo ndio maana kila siku hataki escalation of the war!
Fikiri jinsi Russia anavyozishambulia silaha za west kabla hata ya kufika site! Mpaka US anaogopa kupeleka drones zake Kwa kuogopa zitakamatwa na Russia!
Ikiingia world war 3, hiyo itakuwa vita ya nukes! We Sema Ulaya Wana Nuclear,lakini Urusi pekee anamiliki nukes kuliko ulaya nzima!Us ndio anafatia Kwa umiliki wa nukes baada ya Russia!