Haya mahesabu ya Wazungu dhidi ya Urusi ni hatari

We endelea tu! Unadhani wote ni watoto! Kwan kua shabiki wa Marekani au NATO ndiyo lazima uwe shoga?? Kwan Russia hakuna Mashoga??

Mzee me naona bado unastress za kupata mke, tafuta kwanza mke then uje tuendelee. Kama ulishapata mke nambie tuendelee na hoja.

IMG_3523.jpg
 
Mkuu hebu tafakari Tangazo la urusi kwamba Rafiki Yeyote wa Adui yangu ni adui yangu na Atakaye Msaidia Atakiona cha mtema kuni!
Huoni nchi za AU wamepuuza mkwala wa Putin na kuisaidia Ukreine?!
Huoni Mapuuza hayo ya AU ni Utayari kwa lolote??

Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
Nilisikiliza kwa umakini kauli ya Putin, alisema nchi/alliance itakayo peleka Jeshi Ukraine ili kupambana na jeshi la Urusi ana kwa ana hilo likitokea basi Putin ata deal na nchi husika kwa nguvu zake zote bila simile - whatever that means - lakini si onyo la kupuuzia hata kidogo - mataifa ya Ulaya yanapashwa kutafakali onyo la Putin kwa umakini sana sana. Hayo ndio maoni yangu.
 
Ukraine hajapewa VIP membership acha kupotosha, ndo yupo kwenye hatua ya mwanzo ambayo ni Candidate status, kwa sasa Ukraine, Moldova na Georgia wako katika hatua hii ya mwanzo. Kuwa candidate inaweza chukua miaka na miaka kupata full EU Membership. Kumbuka kuna North Macedonia ana miaka 17, Albania ana 5 wapo kwenye candidate status. Ndani ya EU yenyewe kuna nchi zimesota kupata membership, wanaona kama ukraine anapendelewa, ndo maana France alikuwa anawaambia "No fast track for Ukraine" akimaanisha hakuna dirisha la haraka kwa Ukraine kupata membership. Kwa ufupi EU Grants Ukraine Candidate Status.

The European Council’s decision to grant Ukraine candidate status to the bloc has been hailed as a “unique and historic” moment by President Vladimir Zelensky, despite Belgian PM Alexander De Croo insisting Kiev is still “many years” from actual membership.

“This does not mean that Ukraine will soon be part of the European Union. It is a process of many years with a lot of reforms which will be very difficult,” De Croo said ahead of the EC Summit.

Natalia Forsyuk, Director General of Ukraine’s Government Office for Coordination of European and Euro-Atlantic Integration insisted Ukraine will only be able to join the EU in 2029 at the earliest due to the “huge amount of legislation that needs to be adopted and implemented”.

Subscribe to RT News: t.me/rtnews
 
Hiki kipindi walikadilia vizuri sana kumpunguza Magufuli angekutana nacho hakika dunia ilikua inaenda kuona mabadiliko makubwa ya Afrika mashariki na Afrika kwa ujumla alale salama Dkt. John Pombe Magufuli.
konki
 
Soma historia kijana, Wakubwa wa Ulaya huwa hawaikubali Urusi tangu enz na enz km Tz tusivyokubalika East Africa sabab ya kutotaka kucopy with others, Urusi ndo taifa pekee balani Ulaya lenye akili za Ki Asia (udikteta na utawala wa mabavu usiojali nin wananch wanataka, nguvu ya dola ipo mikononi mwa mtu mmoja, ona UK juz walikuwa wana mchallange Boris ila Bunge la Urusi halina kauli dhidi ya Putin, hiki ndo Mabeberu hawakitaki)
Hawamtaki kwa sababu Putin hapendi ujinga wa wamarekani!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jiwe alikuwa laana kwa taifa. Tushukuru Mungu kwa kuingilia kati
Labda alikua laana kwenu nyie.
ILA TANZANIA TOKA INAPATA UHURU MARAIS NI WAWILI TU NYERERE NA MAGUFULI AMBAO WALIJARIBU kutufundisha uchumi tegemezi na kuepukana na colonial mindset kitu ambacho watu wenye akili za kifisadi hamuwezi elewa.
Unamuitaje mtu aloweka nidhamu ktk utumishi wa umma ni laana!?
Unamuitaje rais alifanya uthubutu wa mambo mengi kimaendeleo ambayo HAKUNA RAISA ALOTHUBUTU ni laana!?
Leo ndio nimeelewa kwann bongo tunachelewa kuendelea kwa akili km hizi.
 
Endeleen kudanganyana ila nakuambia hakuna chawa yoyote mpaka Uyo superpower wenu wa mchongo Mr Canon hawezi kuthubutu kamwe.

EU hawawezi kwenda vitani bila US na hapo NATO lazima ihusike na nakwambia usifikiri NATO kama ataingia vitan Russia hawezi kuwa peke yake kuna NK, Iran, China, India, member wa CSTO wote lazma waje watoe sapoti hapo itakua WW3.
Mnajidanganya nyie,Iran japo ana nguvu hawezi hangaika na Vita ilhali Middle east Kuna Israel anamnyemelea akosee amtifue,pia ana matatizo ya kiuchumi.
India Ni taifa dhaifu kijeshi Pakistan tu inaisumbua .
China labda afadhili silaha maana mipango yake ni kujiimarisha kiuchumi zaidi awe superpower wa dunia.
Ndio maana USA siku hz amepunguza kujihusisha na direct wars ili kulinda uchumi wake dhidi ya China.
 
Labda alikua laana kwenu nyie.
ILA TANZANIA TOKA INAPATA UHURU MARAIS NI WAWILI TU NYERERE NA MAGUFULI AMBAO WALIJARIBU kutufundisha uchumi tegemezi na kuepukana na colonial mindset kitu ambacho watu wenye akili za kifisadi hamuwezi elewa.
Unamuitaje mtu aloweka nidhamu ktk utumishi wa umma ni laana!?
Unamuitaje rais alifanya uthubutu wa mambo mengi kimaendeleo ambayo HAKUNA RAISA ALOTHUBUTU ni laana!?
Leo ndio nimeelewa kwann bongo tunachelewa kuendelea kwa akili km hizi.
Una akili kweli wewe? Unauliza kwanini namwita mtu aliyekuwa anaua raia wake na mwizi kuwa ni laana ya Taifa? Ajabu hii
 
Back
Top Bottom