haya macho ya invisible siyaelewielewi kabisa

figganigga

Platinum Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
28,175
Reaction score
64,552
nmejitahidi kumtambua macho ya Invisible lakini nmeshindwa. kila nikimuangalia ananikonyeza. naamin hapa jf kuna watu wanaweza kutambua jinsia ya mtu kwa kumuangalia macho, pua na hata masikio. natamani kujua jinsia yake. tuseme wote wanao vaa kininja ni wanaume tu?. hebu mchunguze macho kwa makini then mnipe jibu.
Ni kwa nia njema tu. usikute najichelewesha. Mia
 
Last edited by a moderator:
figganigga,

Mbona kawaida tu?

avatar72_9.gif
 
Last edited by a moderator:
nmejitahidi kumtambua macho ya Invisible lakini nmeshindwa. kila nikimuangalia ananikonyeza. naamin hapa jf kuna watu wanaweza kutambua jinsia ya mtu kwa kumuangalia macho, pua na hata masikio. natamani kujua jinsia yake. tuseme wote wanao vaa kininja ni wanaume tu?. hebu mchunguze macho kwa makini then mnipe jibu.
Ni kwa nia njema tu. usikute najichelewesha. Mia
Kwa hiyo shida yako ni kujua jinsia yake??
 
nmejitahidi kumtambua macho ya Invisible lakini nmeshindwa. kila nikimuangalia ananikonyeza. naamin hapa jf kuna watu wanaweza kutambua jinsia ya mtu kwa kumuangalia macho, pua na hata masikio. natamani kujua jinsia yake. tuseme wote wanao vaa kininja ni wanaume tu?. hebu mchunguze macho kwa makini then mnipe jibu.
Ni kwa nia njema tu. usikute najichelewesha. Mia
ninja!!!! hyo mbona kama ngozi yake mkuu we huoni!!!!!!
 
Komredi Katavi naona ndugu yetu anatafuta life ban,humuoni hapo aliposema anajichelewesha..??

Mkuu huwezi jua. Humu jf kuna wengine wana avator ya wanawake kumbe mwanaume. yaani wewe umesticky kwenye kujichelewesha!?..hahahahahaaaaaa.....!!!!!. mia
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom