Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,188
- 128,272
Mnajua kupeana hope,Nimeipenda hiyo mkuu
Poleni sana.
Mnajua kupeana hope,Nimeipenda hiyo mkuu
Kwema mkuu.
Mkumbusheni Kuwa :-
Dunia imejaa mashujaa wengi waliokufa kwa hiyo asijaribu Kuwa shujaa.....!!
wanaume tumeumbwa MATESOWanashuhudia matukio ya Donald Trumph kwenye TV wakati mbunge wao ananyea debe.
Mkuu Nani amuongelee? Habari huwa zinaongelewa zikiwa moto baada ya siku tatu zinaanza kupoa na mwisho atabaki kukumbukwa na mkewe tu, wanaojitambua wako busy wanakimbiza shilingi, labda siku ya kupelekwa mahakamani wasiona na kazi muhimu watakusanyika kumuangalia kama bado kanenepa au kapungua kidogoWiki nzima iliyopita hadi jumatatu, wiki hii, vichwa vya habari vyote vilikuwa ni kesi ya Lema, lkn mawakili wake walipo pigwa chini kumwekea dhamana kila mtu kanyamaza hata waliokuwa wanasema wanamuunga mkono, wako kimya sasa....na kule aliko cyo kuzuri najua kipindi hiki akirudi lazima atabadilishana somo na Lissu make naye alishawahi kwenda huko gerezani akarudi, akisema huko hakufai, je, Lema kipindi hiki akirudi atakuwa amexibwa mdomo au ndo kwanza wamemnoa....nawakilisha.
Watu wanagonja Mbowe atoe ushahidi, sio kuleta longolongo tu.Mbona hamuongelei 10 mil mlizo gawana wakati madawa hakuna
Ukisikia neno mtanzania muogope kama sijui nini------------!!!!!!!Watanzania ni watu wanaaafiki sana duniani.
walivyo na kiherere ccm pale mjengoni, Lazma wangeomba mwongozo alete ushahidi ili akishindwa kamati imuadhibu!Watu wanagonja Mbowe atoe ushahidi, sio kuleta longolongo tu.
Yaani hata kutoa ushahidi unawangojea ccm?walivyo na kiherere ccm pale mjengoni, Lazma wangeomba mwongozo alete ushahidi ili akishindwa kamati imuadhibu!
Cheusi akaweka mpira kwapani!
shame!!
Ukitaka matusi kaka tafuta sehemu nyingne....cjamwita babko na mamako kwenye huu mjadala...na kuongelea mzazi cyo kitu kizuri...ninajiheshimu na nakuheshmu...kma unataka kuni attack do it to me personally excluding wazazi wangu...kma huna hoja pita kimya...wamechangia watu zaidi ya mis bila matusi..ivo nakuheshmu na naheshmu wazaxi wako pia...so tuwaweki pembeni tulumbane kwa hoja.Wewe ni hasara hata kwa mama na baba yako.
Wajaluo ni watu wenye heshma ivo kuwa na heshimaWewe ni hasara hata kwa mama na baba yako.
Kwa hoja ipi hapo ?! Bahati mbaya waTz tumekuwa watumwa wa siasa zetuUkitaka matusi kaka tafuta sehemu nyingne....cjamwita babko na mamako kwenye huu mjadala...na kuongelea mzazi cyo kitu kizuri...ninajiheshimu na nakuheshmu...kma unataka kuni attack do it to me personally excluding wazazi wangu...kma huna hoja pita kimya...wamechangia watu zaidi ya mis bila matusi..ivo nakuheshmu na naheshmu wazaxi wako pia...so tuwaweki pembeni tulumbane kwa hoja.
Poa nimekusameheKwa hoja ipi hapo ?! Bahati mbaya waTz tumekuwa watumwa wa siasa zetu
Ok I am sorry
Heshima kwa lipi mkuu ?! Wewe una heshimu ubinadamu wa wenzio wanaoteswa kwa hila za watawala? !Wajaluo ni watu wenye heshma ivo kuwa na heshima
kama uongo angesema hapana kuliko nguvu iliyotumika kumteteaYaani hata kutoa ushahidi unawangojea ccm?
Nguvu gani ilitumika?kama uongo angesema hapana kuliko nguvu iliyotumika kumtetea
Uzi wangu ni kuwasukuma watetezi wake wafanye kila wawezalo kumtoa..labda kma hunielewi.Heshima kwa lipi mkuu ?! Wewe una heshimu ubinadamu wa wenzio wanaoteswa kwa hila za watawala? !