wa kisiasaHivi Lema anatafuta umaarufu gan?
Huu ni udumavu wa akili uliokomaa. Hivi ni kweli nchi yetu itapata maendeleo? Ikiwa wewe unatakiwa uishi kwa kujitegemea utafanikiwaje kumudu maisha? Au unategemea kuhudumiwa? Mantiki ya kukua ni pamoja na kutumia akili vizuri kwa faida ya kesho. Kuiruhusu nafsi yako kujaa kinyongo, husuda na kisokorokwinyo ni utumwa wa hiari. Ndugu yangu dunia inazunguka lakini pia inajizungusha. Mahabusu kuna maisha ndiyo maana watu wapo, mahabusu na walinzi.. Lema ni shujaa kwa watu, wanaotambua ushujaa wake wanakucheka. Mandela alikuwa shujaaa lakini walitambua wachache, wengine walidharau.Wiki nzima iliyopita hadi jumatatu, wiki hii, vichwa vya habari vyote vilikuwa ni kesi ya Lema, lkn mawakili wake walipo pigwa chini kumwekea dhamana kila mtu kanyamaza hata waliokuwa wanasema wanamuunga mkono, wako kimya sasa....na kule aliko cyo kuzuri najua kipindi hiki akirudi lazima atabadilishana somo na Lissu make naye alishawahi kwenda huko gerezani akarudi, akisema huko hakufai, je, Lema kipindi hiki akirudi atakuwa amexibwa mdomo au ndo kwanza wamemnoa....nawakilisha.
Acha ujinga wewe. Yeye si kajitakia? Acha afunzwe na Ulimwengu!!Wiki nzima iliyopita hadi jumatatu, wiki hii, vichwa vya habari vyote vilikuwa ni kesi ya Lema, lkn mawakili wake walipo pigwa chini kumwekea dhamana kila mtu kanyamaza hata waliokuwa wanasema wanamuunga mkono, wako kimya sasa....na kule aliko cyo kuzuri najua kipindi hiki akirudi lazima atabadilishana somo na Lissu make naye alishawahi kwenda huko gerezani akarudi, akisema huko hakufai, je, Lema kipindi hiki akirudi atakuwa amexibwa mdomo au ndo kwanza wamemnoa....nawakilisha.
Jipe moyo....jaribu kwenda wewe kma ni field uje ufanyie kazi utakayoyapata huko....sikilizia tu kwa mwenzako,
Wanashuhudia matukio ya Donald Trumph kwenye TV wakati mbunge wao ananyea debe.
Mnajisumbua kumfanananisha Lema na Mandela. Huyo mhuni wenu acheni aendelee kusota lupango hadi hapo atakapojifunza kuwa mstaarabu. Eti shujaa; shujaa wa matusi?...Lema ni shujaa kwa watu, wanaotambua ushujaa wake wanakucheka. Mandela alikuwa shujaaa lakini walitambua wachache, wengine walidharau.
Kwa hiyo kma ulienda kakangu unaona ni pakufanyia mazoea?Mimi c wa jana mdogo wangu, huko nshaenda sana
Biko. Stephen Bantu Biko aka Steve Biko....steven bicco...
Tatizo lililopo kwa wengi ukiwemo wewe ni umaskini wa akili. Saikolojia ya mabadiliko yoyote yàle lazima yàambatane na mgongano wa fikra. Sehemu kubwa ya Afrika ni kwamba wananchi wanaabudu viongozi. Ndiyo maana Karne ya leo watu wanafanya kazi kwa kutekeleza agizo la fulani. Tuna utumwa wa fikra na kudhani watu fulani ni wenye Sifa tofauti na awali yao. Leo unamwona Lena ni mhuni, lakini nakuhakikishia wanaomwona ni shujaa wanakuona wewe mhuni. Na hivyo ndivyo dunia ilivyo. Wewe kama wewe hakuna kitu utabadilisha, kumbuka Lema yuko ulingoni anapambana na wewe umshangilie, umtukane au umkashifu kadiri unavyowezà, yeye anapambana. Mwisho wa siku matokeo ya mapambano yake (whether + or -) yatajulikàna, na wewe na vijineno vyako utabaki kama ulivyo.Mnajisumbua kumfanananisha Lema na Mandela. Huyo mhuni wenu acheni aendelee kusota lupango hadi hapo atakapojifunza kuwa mstaarabu. Eti shujaa; shujaa wa matusi?