huko kwenu vipi
JF-Expert Member
- Jun 4, 2015
- 1,540
- 1,475
Shujaa gan,ni tendo gan la kishujaa alilowahi kulifanya?Mnajisumbua kumfanananisha Lema na Mandela. Huyo mhuni wenu acheni aendelee kusota lupango hadi hapo atakapojifunza kuwa mstaarabu. Eti shujaa; shujaa wa matusi?