Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 34,125
- 32,978
Haya mambo ya Biblia yalifanyika takriban miaka elfu nne iliyopita. Unayaleta leo?Unajua kwa nini pigo la Musa lilienda kwa mtoto wa farao na wazaliwa wa kwanza wengine na sio kwa farao mwenyewe?
Ni kwa vile ndio alikuwa kipenzi chake ili asikie maumivu. Tafakari kisha utaelewa nasema nini?