G4rpolitics
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 4,376
- 5,264
Wiki nzima iliyopita hadi jumatatu, wiki hii, vichwa vya habari vyote vilikuwa ni kesi ya Lema, lkn mawakili wake walipo pigwa chini kumwekea dhamana kila mtu kanyamaza hata waliokuwa wanasema wanamuunga mkono, wako kimya sasa....na kule aliko cyo kuzuri najua kipindi hiki akirudi lazima atabadilishana somo na Lissu make naye alishawahi kwenda huko gerezani akarudi, akisema huko hakufai, je, Lema kipindi hiki akirudi atakuwa amexibwa mdomo au ndo kwanza wamemnoa....nawakilisha.