Kanungila Karim
JF-Expert Member
- Apr 29, 2016
- 20,741
- 25,681
CentralNi wapi uko na mimi nije kufanya mazoezi?
CentralNi wapi uko na mimi nije kufanya mazoezi?
CONFIDENTIAL [emoji23][emoji23]Vipi we ulikuwa unakaa upande upi?
Naww huko kwny miti unarnda kuangalia watu wanachofanya si ndio umbea huo
Sasa kama nyumbani anabaniwa kutoka ila mazoezini asubuhi anaruhusiwa kwa nn asitake advantageHabari za jumatatu ya pasaka wapendwa. Nilichokiona leo saa alfajiri, kimenifanya nifikilie hali itakuwaje kwa hawa mabinti zetu mwaka michache ijayo.
Hivi inakuwaje binti unatoka kwenu kwa kisingizio cha kufanya mazoezi wakati unaenda kupigwa shughuli tena kwenye miti iliyopo uwanjani bila haya. Kwa nini usababishe usumbufu kwa watu wengine? Guest hazipo siku hizi!? Au huyo boy wako hakuwa na hela za kuandea guest? Sasa si bora mgeliomba mchango wa guest tukawachangia!?
Kuweni wastaarabu bwana.
Mwana mke ni mtoto siku zote hata barabarani unapiga tu ila ni busara za mwanaume inabidi zitumike kukamilisha mambo hayo sehemu husika na sahihi kwa mantiki hiyo basi hiyo movie uliyoishuhudia mwanamme ndie anaepaswa kulaumiwa 99%. hiyo moja tu ndo umdondoshee mwanadada kujirahisisha kiasi hicho.Habari za jumatatu ya pasaka wapendwa. Nilichokiona leo saa alfajiri, kimenifanya nifikilie hali itakuwaje kwa hawa mabinti zetu mwaka michache ijayo.
Hivi inakuwaje binti unatoka kwenu kwa kisingizio cha kufanya mazoezi wakati unaenda kupigwa shughuli tena kwenye miti iliyopo uwanjani bila haya. Kwa nini usababishe usumbufu kwa watu wengine? Guest hazipo siku hizi!? Au huyo boy wako hakuwa na hela za kuandea guest? Sasa si bora mgeliomba mchango wa guest tukawachangia!?
Kuweni wastaarabu bwana.
Halafu huwa zinakuwa tamuYaani mbaya zaidi mkakutana wote speed 180... Ni balaa!
Huyo mtoto wa kike kwani alikuwa mwenye hapo uwanjani? Au huyo aliyekuwana nae alichofanya ni sawa wa kike ndo kakosea? Kwann mnapenda kuwatwisha wanawake mizigo hata kwa mambo ambayo sio makosa yao peke yao?Habari za jumatatu ya pasaka wapendwa. Nilichokiona leo saa alfajiri, kimenifanya nifikilie hali itakuwaje kwa hawa mabinti zetu mwaka michache ijayo.