Hawa watoto wa kike, mmmh tuzaeni tu

Hawa watoto wa kike, mmmh tuzaeni tu

Ha ha ha sio kila siku gest mkuu kuna experience nyengne huw na excitment sana kama hzo
Jaribu siku moja utaelewa
 
Watoto wanaharibikiwa kwa sababu maadili ya wazazi pia yameporomoka..

Usitegemee wewe baba ujana wako uutumie kuvua chupi kina dada na wew dada ujana uutumie kuwavulia nguo wanaume afu uote kupata mtoto mwema..hamnaga hioo..
Watoto wa siku hizi wanalipa fadhila za wazazi wao...

Usiogope kuzaa mtoto wa kike,,,ukiwa mwema na Mungu atakupa kizazi kilcho chema. N vice versa.

Wamama siku hizi wakitoka kazini wanapitia bar kupiga mbili Tatu,,,weekend yupo busy na vitchen party na outings na marafiki,,huyo mtoto hayo maadili anafundishwa na nanii?!!!!!

Wamama tumesahau sana wajibu wetu katika familia.! Malipo ni kizazi kuharibikiwa.
 
kumbe ni ww ulikuwa unatucheki na kufanya mazoezi upande wetu au ulikuwa unafanya mbio fupi acha umbea bhna na kesho uje utakiona cha mtema kuni uzur nilikumaki sura
 
Quickie hainaga sehemu maalum mkuu. Mi naona hujakerwa na binti bali sehemu aliyofanyia. Maana umeshauri waende guest. Pia ungewafata ukawapa ushauri ingekua poa maana unasrma bado kibinti. Anga zake ni fb na ig hapa message not sent
 
Aaah tena mapenzi ya hivyo matamu kweliiii tena umenikumbusha mbali kweliii,, kwa kwa kwa kwa kwaa[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Aaah tena mapenzi ya hivyo matamu kweliiii tena umenikumbusha mbali kweliii,, kwa kwa kwa kwa kwaa[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimekumbuka trip za shule... Siti ya mwisho na mstari unaofuata unaachwa kwa ajili ya couples... Kama unajijua uko singo unakimbilia vitivywa mbele na katikati...
Huko nyuma ni kupakatana huku shunghuli inaendelea!!!
 
Quickie hainaga sehemu maalum mkuu. Mi naona hujakerwa na binti bali sehemu aliyofanyia. Maana umeshauri waende guest. Pia ungewafata ukawapa ushauri ingekua poa maana unasrma bado kibinti. Anga zake ni fb na ig hapa message not sent
Yaani mbaya zaidi mkakutana wote speed 180... Ni balaa!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimekumbuka trip za shule... Siti ya mwisho na mstari unaofuata unaachwa kwa ajili ya couples... Kama unajijua uko singo unakimbilia vitivywa mbele na katikati...
Huko nyuma ni kupakatana huku shunghuli inaendelea!!!
Hahahahaaa
 
Moja ya kitu ambacho Magufuli angedictate basi ingekuwa swali hili la kuoa na kuolewa...ukimkuta mtu tu nabinti walitakiwa kulazimisha kuoa na asiachene nae hili lingekoma
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimekumbuka trip za shule... Siti ya mwisho na mstari unaofuata unaachwa kwa ajili ya couples... Kama unajijua uko singo unakimbilia vitivywa mbele na katikati...
Huko nyuma ni kupakatana huku shunghuli inaendelea!!!
Vipi we ulikuwa unakaa upande upi?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom